Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

Iran wanajitoa, ufaham Wana sahau nchi Yao ime jaa petrol na gesi, myaudi akiamua kuichoma ni swala la kuwasha fegi, na kurusha kiberiti kama sheli ni mlipuko nchi Ina geuka jivu na kile kilemba cha ayatoli kwisha
 
Nauona mwisho wa utawala wa Ayatollah wa Iran na serikali yake ya kishia ukitokea hivi karibuni,sababu kuu utawala huo unaenda kipigwa tokea nje na ndani pia.
 
Waislamu hutia aibu sana, nguvu zote hizo bila athari zozote.
Athari ni kubwa ila huwawezi kukuambia,habari zinazohusu vita huwa zimefumbwa,na zinabadilishwa sana,kiasi kwamba mtu ambaye Yuko busy kufuatilia vita zinavyoendelea ni kama anapoteza mda wake.
 
Ayatola atangulizwe tu akamfate mwenzake Hania na Nasrallah hawa maboya wanamaneno mengi na kulialia hovyo.
Huu mwez wa ngap mkuu..wa kumi ? Mwezi huu huu ayatollah na sinwar wanauwawa. Rekodi huu ujumbe wangu hapa leo.
 
90% ya missiles zimepiga targets hawakulenga raia wamelenga Air base na oil facilities kama kuna raia wamepata majeraha basi wamejijeruhi kwa uoga wao wenyewe
 
Ukitoa Simba na Yanga kwa Sasa Vita ni chaguo la pili .
 
Naomba sasa Isael waikande kidogo Iran kwa mafuta ya mzeituni
Walahi billahi Ayattola hana bahati
 
Mashoga wapo kila taifa, halafu Mungu anaangalia agano lake kwa Israel, habari ya kuwahukumu Israel kwasababu ya ushoga hiyo sio kazi yako, Mungu mwenyewe atawahukumu maana amekataza ushoga
Kama amekataza ushoga kwa nn wao ndo wanaukumbatia kiasi kwamba mpaka jeshini kuna mapunga?, km ni hivyo kwa nn wasiwe walimu wazuri kwa ulimwengu huu kwa kutenda mema?.
Tatizo huwa mnajipotosha na ushika dini uchwara pasipo kuelewa, Biblia imeandikwa na watu pia!..., utajuaje km walijipendelea kwenye uandishi ili ionekane ni Taifa lililobarikiwa?
 

Unaona jinsi huyu mgalatia, anavyochambua live coverage kutoka Tel Aviv

CC: Muuza madafu wa Ikulu
 
#Enemy_Media

Military correspondent for Channel 13: Iran launched its missiles at military bases and did not target civilian populations.

#Military_Media

Iran hajatagert raia hata mmoja wote walio injury ni wanajeshi
Kwani hizo kambi za jeshi hazina wanajeshi? Wao sio watu? Hawafi?

Gaidi Nasra halikuwa na makomndoo wa Iran? Walipona wangapi?
Na mkanzu wako mkubwa kama umetoka kutiwa jando!
 
Ninavyosema wakiristo wa jf wamepewa tenda za propaganda. Dakika 2 baada ya mashambulio wanatoa tathimini wakiwa Mburahati magengeni. Uislam hata muuchikie vipi unakuwa kwa kasi mpaka ndani ya familia yenu
Unafikiri ni kwa nini Iran kapiga siku ambayo ground invasion Lebanon imeanza?Ni kwamba Iran alishambulia kuhami jeshi lake elite linaloteketea huko Lebanon kwa mwamvuli wa Hizbullah.Kiujumla maji yamewakorogokea waislam wa Lebanon na Iran
 
nimjiuliza sana makombora yote yale!!! na yote yamedunguliwa! hivi kwa nini wasikubali tu wakapatana na myahudi jamani! hivi nyie wairan funzo la hizbollar awalioni kweli?Iran pataneni na israel nyie ni ndugu, Ibrahim baba wa israel alikuwa mkaldayo. Pataneni Dola yenu inaenda kuanguka mazima! Mark my words!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…