Na mambo yamefanyika haraka haraka kweli kana kwamba kuna kitu wanajaribu kukificha. Hata wanaokunyaga vichakani hawanyi kwa haraka namna hii .
Na mambo yamefanyika haraka haraka kweli kana kwamba kuna kitu wanajaribu kukificha. Hata wanaokunyaga vichakani hawanyi kwa haraka namna hii .
Katika threads zako za hivi karibuni unaonesha kupanic sana ...nakushauri uwe na utulivu ili ujadili hoja.Una uhakika au unadhania; au unadhania una uhakika?
Hivi kuna sehemu yeyote kwenye KATIBA imetamkwa Barua ya VP kujiuzulu ipelekwe kwa nani?Kwa mujibu wa AG kwa sasa hata uthibitisho wa kujouzulu wa makamo hauhitajiki kufuatia kuvuliwa uanachama
Ugumu wa kumpeleka Nchimbi mahakamani ni kwamba atakuwa anajua mambo mengi sana ambayo yanaweza kutoka katika cross examination.Unajua umesema kitu hapo nimecheka kidogo...kwao "katiba ni nzuri" wanapotaka kujificha..lakini ukiwaambia mbona inatambua haki ya kutoa maoni ya kuudhi wataanza kuikandia Katiba hiyohiyo. Ni nzuribkwa kujifichia, lakini si kwa kuweka uwazi. Kama wanaamini kweli swali la Nchimbi yuko wapi lisingekuwa na manikin.
Hata hivyo..wanatudokeza kwa ukimya wao Nchimbi akitokea hadharani atakuwa na msafara Maya wa kuelekea mahakamani na pingu....
Kuna kitu hakipo sawaNa. M. M. Mwanakijiji
Wanasifia "Katiba yetu nzuri"
Wanasema wameridhia EN ajiuzulu
Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine
Wakampitisha Bungeni
Wakaenda kumuapisha Ikulu
Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti
Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga...
Siku tano baadaye...
Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana... Wanaosifia Katiba nzuri hawatuambii kama hiyo Katiba imemlinda aliye"jiuzulu"...
Hakuna aliyeonesha hadi leo EN akisema amejiuzulu kwa hiari yake au hata kuonekana akikabidhi barua au ofisi kwa makamu mpya! Sasa ikitokea wanatuonesha mwili wake marehemu... na kujitokeza kutoa poleee... si bado watatuambia "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"?
Kama Katiba hii ni nzuri sana... kuna ubaya gani EN aelezee bila mtutu wa bunduki sikioni alivyojiuzulu?
Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine... itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....
Inakukumbusha kitu chochote?
Ni kwa maslahi yao kuliambia taifa alipo Nchimbi. Au wapotezee atoweke kama...
1.
Umeandika nini? Kwamba ndugu za makamu wa rais wajitokeze kudai ametekwa? Huwa una matatizo ya akili.Na hakuna ndugu, rafiki wala Jamaa aliyesema kapotelewa na ndugu yake EN; hata kwa kupigia mayowe gizani!
Mama Polepole na nduguze walijitokeza mbele; huyu EN hawa ndugu zake wametiwa hofu kiasi gani hawa.
Lakini kwa hayo meeengi mengine ya Ulaghai wa Samia na maneno ya mipasho yake, sasa sina muda tena wa kuyapotezea muda wa kuyaandikia chochote.
Huyu mtu ni mgonjwa.
Kutekwa na kupotezwa baba sisi tumekubali hali zetu tuUkiukaji wa Katiba haina maana Katiba yenyewe ndio Mbovu. Nauliza:-
Kwa nini pale Viongozi wanapokiuka Katiba ya nchi, sisi husema sababu ni hii Katiba Mbovu? Tunahofia nini..
Kwanini usi search..usiamini sana ubongo wako.Katika threads zako za hivi karibuni unaonesha kupanic sana ...nakushauri uwe na utulivu ili ujadili hoja.
kwa kifupi niseme hakuna thread inayomhusu JPM humu jamvini sijaisoma sikumbuki kuona thread yako baada ta kisa cha Mtwara
Kwani huwezi kuwa at gun point unaambiwa jibu hivi jibu vile wakisha jiridhish unapokonywa simu zote na vifaa vingine?Nafikiri mazungumzo ya Mzee Warioba na VP Nchimbi ndio yanafanya tuamini ni yeye mwenyewe alijiuzuru. Tatizo kwasasa ni kusemekana hapatikani na wengi walitegemea angetokea kwenye uapisho wa mwenzake hajakwenda! Leo wengi wakajua atatokea Kanisani kama kawaida yake na hajaonekana! Sasa hii itazua wasiwasi mkubwa
Kwanini Kamati Kuu ya CCM iliamua kututangazia Jina la VP mpya?Hivi kuna sehemu yeyote kwenye KATIBA imetamkwa Barua ya VP kujiuzulu ipelekwe kwa nani?View attachment 3660111
Na kwanini Rais aridhie kujiuzulu kwa mtu ambaye alipigiwa kura kama mate na sio kwa teuzi ya barua?
Mkuu, mbona Warioba hakumumunya maneno, lakini wewe anonymous unaumauma maneno why?Nafikiri mazungumzo ya Mzee Warioba na VP Nchimbi ndio yanafanya tuamini ni yeye mwenyewe alijiuzuru. Tatizo kwasasa ni kusemekana hapatikani na wengi walitegemea angetokea kwenye uapisho wa mwenzake hajakwenda! Leo wengi wakajua atatokea Kanisani kama kawaida yake na hajaonekana! Sasa hii itazua wasiwasi mkubwa
Yawezekana wakati anapokea simubya mzee Warioba alikuwa chini ya ulinzi na alilaximishwa kukubali kuwa kajiuzulu.Nafikiri mazungumzo ya Mzee Warioba na VP Nchimbi ndio yanafanya tuamini ni yeye mwenyewe alijiuzuru. Tatizo kwasasa ni kusemekana hapatikani na wengi walitegemea angetokea kwenye uapisho wa mwenzake hajakwenda! Leo wengi wakajua atatokea Kanisani kama kawaida yake na hajaonekana! Sasa hii itazua wasiwasi mkubwa
Tunasubiri siku ya kukabidhi ofisi au huyu wa sasa hakabidhiwi anaingiabtu kimy kimya!Nafikiri mazungumzo ya Mzee Warioba na VP Nchimbi ndio yanafanya tuamini ni yeye mwenyewe alijiuzuru. Tatizo kwasasa ni kusemekana hapatikani na wengi walitegemea angetokea kwenye uapisho wa mwenzake hajakwenda! Leo wengi wakajua atatokea Kanisani kama kawaida yake na hajaonekana! Sasa hii itazua wasiwasi mkubwa
Inachukuliwa kama kafa.Tunasubiri siku ya kukabidhi ofisi au huyu wa sasa hakabidhiwi anaingiabtu kimy kimya!
Matumaini hewa.Tunasubiri siku ya kukabidhi ofisi au huyu wa sasa hakabidhiwi anaingiabtu kimy kimya!