Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

Na. M. M. Mwanakijiji

Wanasifia "Katiba yetu nzuri"
Wanasema wameridhia EN ajiuzulu
Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine
Wakampitisha Bungeni
Wakaenda kumuapisha Ikulu
Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti

Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga...

Siku tano baadaye...

Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana... Wanaosifia Katiba nzuri hawatuambii kama hiyo Katiba imemlinda aliye"jiuzulu"...

Hakuna aliyeonesha hadi leo EN akisema amejiuzulu kwa hiari yake au hata kuonekana akikabidhi barua au ofisi kwa makamu mpya! Sasa ikitokea wanatuonesha mwili wake marehemu... na kujitokeza kutoa poleee... si bado watatuambia "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"?

Kama Katiba hii ni nzuri sana... kuna ubaya gani EN aelezee bila mtutu wa bunduki sikioni alivyojiuzulu?

Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine... itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....

Inakukumbusha kitu chochote?

Ni kwa maslahi yao kuliambia taifa alipo Nchimbi. Au wapotezee atoweke kama...

1.
Imeisha hiyo ...acha waendelee kuishana tu...
Anayesifia Mabalozi wameona uwezo wa kubadilisha nafasi kubwa eti bila kuyumba anawindwa kwa kila mbinu wamle nyama pia.,
Ziara yake ya Mwisho ya Monduli-Chuo Cha Kijeshi..
Msafara ukitokea Arusha Mjini ulikoswa koswa kuangukiwa na Miti Mikubwa balaa barabarani..tena mara mbili..
 
Hatari sana. Nyerere alisema ukizoea kula nyama ya mtu ni ngumu sana kuacha.

Mambo mangapi ya ajabu ajabu yametokea na kupita nchi hii miaka ya hivi karibuni? Kila siku tunasogeza mpaka au kama wamakonde wanavyosema "we're pushing the boundary".
 
Umesema jambo muhimu sana..ina maana CCM wanaweza kumuondoa Rais kwa kumvua uanachama.
Inawezekanaje na yeye ndiye mwenye kiti? Nani atajaribu kujikusanya kufanya hivyo? Tanzania hakuna umoja, umbea umbea tu, mkipanga chochote machawa hawakosekani kukivujisha kwa mwenyekiti, unaliwa kichwa hata kabla jambo lenu halijafanikiwa
 
Na hakuna ndugu, rafiki wala Jamaa aliyesema kapotelewa na ndugu yake EN; hata kwa kupigia mayowe gizani!

Mama Polepole na nduguze walijitokeza mbele; huyu EN hawa ndugu zake wametiwa hofu kiasi gani hawa.

Lakini kwa hayo meeengi mengine ya Ulaghai wa Samia na maneno ya mipasho yake, sasa sina muda tena wa kuyapotezea muda wa kuyaandikia chochote.

Huyu mtu ni mgonjwa.
Pengine ndugu zake wameonywa "tukisikia nywinywinywi ndugu yenu hamtomuona tena!"
 
Jasusi Chahali anasema ile barua inayosambaa hakuandika Nchimbi, ila kuna nyingine ambayo kaandika haijatolewa.

Ila uko sawa, bila kusikia Nchimbi mwenyewe anasemaje kila kitu ni suspect.

Tutajuaje hizo barua kaandika Nchimbi kweli wakati hata kwenye simu hapatikani?
Hiyo barua inafanana sana na ile ya Ndugai mwandishi atakuwa mmoja.
 
Wandugu nimedit posti ya kwanza kwa kuweka swali fikirishi.
Hahahaa Mwanakijiji bana…..mara hii ushasahau kuwa hakuna uchaguzi uliofanyika?

Kama Samia na Nchimbi walijiapisha tu wao wenyewe kimabavu, kwa nini ishindikane kwa Nchimbi kuenguliwa na kumweka huyo Ndejembi?

Samia, Nchimbi, Ndejembi, na serikali yote hakuna aliye halali.

Kama hukuchaguliwa kihalali hauwezi kuwa halali. It’s that simple.
 
Aisee nimefurahi kukuona upo...
Nipo mkuu. Kuna wakati wengine tunaamua kujipa likizo ya lazima maana mambo ya Tanzania yanaweza kukufanya uwe kichaa.

Nchi yetu inasikitisha mno maana hizi zinazoonekana kama "isolated events" ambazo nyingi zinasababishwa na watawala, hatuoni (au hawaoni) madhara yake katika ustawi wa taifa.

Huwa nikikaa nikawaza, naisikitikia sana Tanzania maana haya yanayotokea hayana hata haja ya kutokea kama watawala wangetumia tu common sense!
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Wanasifia "Katiba yetu nzuri"
Wanasema wameridhia EN ajiuzulu
Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine
Wakampitisha Bungeni
Wakaenda kumuapisha Ikulu
Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti

Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga...

Siku tano baadaye...

Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana... Wanaosifia Katiba nzuri hawatuambii kama hiyo Katiba imemlinda aliye"jiuzulu"...

Hakuna aliyeonesha hadi leo EN akisema amejiuzulu kwa hiari yake au hata kuonekana akikabidhi barua au ofisi kwa makamu mpya! Sasa ikitokea wanatuonesha mwili wake marehemu... na kujitokeza kutoa poleee... si bado watatuambia "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"?

Kama Katiba hii ni nzuri sana... kuna ubaya gani EN aelezee bila mtutu wa bunduki sikioni alivyojiuzulu?

Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine... itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....

Inakukumbusha kitu chochote?

Swali: Ikitokea Nchimbi anaibuka na kusema hajajiuzulu Umakamu je, Ndejembi atakuwa bado halali?
Ukweli ni kuwa barua ya kujiuzulu Chimbi hajaandika yeye bali imeandikwa na wasiojulikana na ndo hao wanajua alipo mpaka sasa. Inasikitisha watanzania tumetulia tuli kama hakuna kilichotokea
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Wanasifia "Katiba yetu nzuri"
Wanasema wameridhia EN ajiuzulu
Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine
Wakampitisha Bungeni
Wakaenda kumuapisha Ikulu
Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti

Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga...

Siku tano baadaye...

Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana... Wanaosifia Katiba nzuri hawatuambii kama hiyo Katiba imemlinda aliye"jiuzulu"...

Hakuna aliyeonesha hadi leo EN akisema amejiuzulu kwa hiari yake au hata kuonekana akikabidhi barua au ofisi kwa makamu mpya! Sasa ikitokea wanatuonesha mwili wake marehemu... na kujitokeza kutoa poleee... si bado watatuambia "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"?

Kama Katiba hii ni nzuri sana... kuna ubaya gani EN aelezee bila mtutu wa bunduki sikioni alivyojiuzulu?

Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine... itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....

Inakukumbusha kitu chochote?

Swali: Ikitokea Nchimbi anaibuka na kusema hajajiuzulu Umakamu je, Ndejembi atakuwa bado halali?
Nchimbi aligoma kujiuzulu umakamu wa raisi barua hakuandika yeye hata sasa ameshikiliwa na hao TISS wa Abdul na Samia watanganyika tunaishi kama madigidigi kwenye nchi yetu kisa madaraka ya mtu fulani ili awalinde vigogo na mafisadi
 
Hahahaa Mwanakijiji bana…..mara hii ushasahau kuwa hakuna uchaguzi uliofanyika?

Kama Samia na Nchimbi walijiapisha tu wao wenyewe kimabavu, kwa nini ishindikane kwa Nchimbi kuenguliwa na kumweka huyo Ndejembi?

Samia, Nchimbi, Ndejembi, na serikali yote hakuna aliye halali.

Kama hukuchaguliwa kihalali hauwezi kuwa halali. It’s that simple.

Unaweza kushangaa Mzanzibari akajiuzulu na huyu mpya akawa Rais, akachagua Makamu mwingine, maisha yakaendelea.

Hapo tutakua na wakuu wote 1 na 2 ambao hawajachaguliwa na wananchi ( Leadership Laundering).

Huyu atakuwepo pale kama hisani kuhakikisha maslahi yao yanalindwa.

Kwa akili yao, wanafikiri wataqeza kufuta ghadhabu na machungu ya watu kwa yaliyotokea 29 October.
 
Kwani walimvua uanachama lini tena??!
Kitambo mbona baada ya EN kugomea kikao
Na hakuna ndugu, rafiki wala Jamaa aliyesema kapotelewa na ndugu yake EN; hata kwa kupigia mayowe gizani!

Mama Polepole na nduguze walijitokeza mbele; huyu EN hawa ndugu zake wametiwa hofu kiasi gani hawa.

Lakini kwa hayo meeengi mengine ya Ulaghai wa Samia na maneno ya mipasho yake, sasa sina muda tena wa kuyapotezea muda wa kuyaandikia chochote.

Huyu mtu ni mgonjwa.
Wewe huyo ni mtu mzito VP wote wamepigwa pin wasizungumzie ndg yao
 
Tunasubiri siku ya kukabidhi ofisi au huyu wa sasa hakabidhiwi anaingiabtu kimy kimya!
Hapa kuna mtego , ila kwa ninavowajua CCM wanaweza kupotezea na jamaa na akaanza majukumu yake bila kukabidhiwa Ofisi…….ikiwa Rais tu anatakiwa kufanya handling over ….

CCM wanafeli sana hata kwa kuzuga
Kama walivyofeli kwenye uapisho wa Deo, Nchimbi Hajakuwepo

Misingi ya Katiba kwao inafanya kazi kwa yale mambo tu wanayotaka kutueleza na yapo kwenye favor yao

Nchi inaendeshwa kisela mavi sana la
 
Hivi kuna sehemu yeyote kwenye KATIBA imetamkwa Barua ya VP kujiuzulu ipelekwe kwa nani?View attachment 3660111

Na kwanini Rais aridhie kujiuzulu kwa mtu ambaye alipigiwa kura kama mate na sio kwa teuzi ya barua?
Ni wakati sasa katiba mpya ilazimishe kujiuzulu kufanyike hadharani wakati tunamuona live mtu anayejiuzulu na ajieleze kwa wananchi sababu zake za kujiuzulu, ikiwezekana bungeni kabisa.

Hii habari ya kujiuzulu kisirisiri kwa barua za Twitter mtu anaweza kupandishiwa habari ya kujiuzulu na yeye akaiona Twitter tu.
 
Back
Top Bottom