Unaniambia Nchimbi anao ndugu wajinga kiasi hicho? Sidhani.Kitambo mbona baada ya EN kugomea kikao
Wewe huyo ni mtu mzito VP wote wamepigwa pin wasizungumzie ndg yao
Unaniambia Nchimbi anao ndugu wajinga kiasi hicho? Sidhani.Kitambo mbona baada ya EN kugomea kikao
Wewe huyo ni mtu mzito VP wote wamepigwa pin wasizungumzie ndg yao
Watu wengine mnaongea kama mmekatwa vichwa. Unamlinganisha Makamu wa Rais na Gwajima?Gwaji alitumia mbinu za kijasusi kupotea kusikojulikana
Sasa nchimbi alivyo pimbi anatoa tu mimacho
Mwishowe kadakwa ka kuku mwenye mdondo!
EeeenHEEeeeehhh!Umeandika nini? Kwamba ndugu za makamu wa rais wajitokeze kudai ametekwa? Huwa una matatizo ya akili.
Na wewe unaweza kuja kukamatwa na ndugu zako wasifanye lolote 😂Unaniambia Nchimbi anao ndugu wajinga kiasi hicho? Sidhani.
Ametekwa?Na hakuna ndugu, rafiki wala Jamaa aliyesema kapotelewa na ndugu yake EN; hata kwa kupigia mayowe gizani!
Mama Polepole na nduguze walijitokeza mbele; huyu EN hawa ndugu zake wametiwa hofu kiasi gani hawa.
Lakini kwa hayo meeengi mengine ya Ulaghai wa Samia na maneno ya mipasho yake, sasa sina muda tena wa kuyapotezea muda wa kuyaandikia chochote.
Huyu mtu ni mgonjwa.
For a discerning person, once those words are uttered, the more urgent it becomes to widely disseminate them.What if family members are bl@ckmail€d?
You open your mouth, he di€$?
Hilo wewe umelijuwaje kujiwi ya ndugu zangu.eka kwenye nafasNa wewe unaweza kuja kukamatwa na ndugu zako wasifanye lolote 😂
Jamani, mbona mnazungusha mambo hivi? Warioba wenu alishawaambia ni kweli aliandika kujiuzulu,mnataka muambiwe na nani tena ?Na. M. M. Mwanakijiji
Wanasifia "Katiba yetu nzuri"
Wanasema wameridhia EN ajiuzulu
Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine
Wakampitisha Bungeni
Wakaenda kumuapisha Ikulu
Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti
Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga...
Siku tano baadaye...
Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana... Wanaosifia Katiba nzuri hawatuambii kama hiyo Katiba imemlinda aliye"jiuzulu"...
Hakuna aliyeonesha hadi leo EN akisema amejiuzulu kwa hiari yake au hata kuonekana akikabidhi barua au ofisi kwa makamu mpya! Sasa ikitokea wanatuonesha mwili wake marehemu... na kujitokeza kutoa poleee... si bado watatuambia "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"?
Kama Katiba hii ni nzuri sana... kuna ubaya gani EN aelezee bila mtutu wa bunduki sikioni alivyojiuzulu?
Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine... itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....
Inakukumbusha kitu chochote?
Swali: Ikitokea Nchimbi anaibuka na kusema hajajiuzulu Umakamu je, Ndejembi atakuwa bado halali?
Inawezekana alijibu kwa kulazimishwaJamani, mbona mnazungusha mambo hivi? Warioba wenu alishawaambia ni kweli aliandika kujiuzulu,mnataka muambiwe na nani tena ?
Unajichoshaga na maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Mbona barua yake ya kujiuzulu ilisambaa mitandaoni. Suala la kutoonekana hadharani inawezekana ni uamuzi wake binafsi. Kwani we ulishawahi kuonekana hdharani? Nenda nyumbani kwake au waulize ndg zakeNa. M. M. Mwanakijiji
Wanasifia "Katiba yetu nzuri"
Wanasema wameridhia EN ajiuzulu
Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine
Wakampitisha Bungeni
Wakaenda kumuapisha Ikulu
Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti
Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga...
Siku tano baadaye...
Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana... Wanaosifia Katiba nzuri hawatuambii kama hiyo Katiba imemlinda aliye"jiuzulu"...
Hakuna aliyeonesha hadi leo EN akisema amejiuzulu kwa hiari yake au hata kuonekana akikabidhi barua au ofisi kwa makamu mpya! Sasa ikitokea wanatuonesha mwili wake marehemu... na kujitokeza kutoa poleee... si bado watatuambia "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"?
Kama Katiba hii ni nzuri sana... kuna ubaya gani EN aelezee bila mtutu wa bunduki sikioni alivyojiuzulu?
Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine... itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....
Inakukumbusha kitu chochote?
Swali: Ikitokea Nchimbi anaibuka na kusema hajajiuzulu Umakamu je, Ndejembi atakuwa bado halali?
Atolewe na nani? Tumia akili!Kwanini huyo rais asitolewe awekwe mwingine?
Tukiyaamini matamshi ya mzee Warioba hatuna budi kuamini EN amejiuzulu kwa utashi wake binafsi...
[/QUOTE
Kuna uwezekano pia aliyepokea simu ya mzee Warioba siyo Mzee Warioba.
Kama ameshikiwa bunduki na simu imewekwa sauti kubwa na watesi wake pembeni wanamuandikia maelezo ya kumjibu Warioba, ulitaka aseme nini? hata hiyo barua wala sio yake!Tukiyaamini matamshi ya mzee Warioba hatuna budi kuamini EN amejiuzulu kwa utashi wake binafsi...
kwa fasta fasta hakuna , ila kwa kua inatambua makamo anaweza jiuzulu , kwa hali iliyopo naona utaratibu ni barua kwenda kwa rais, waliobobea watatusaidiaHivi kuna sehemu yeyote kwenye KATIBA imetamkwa Barua ya VP kujiuzulu ipelekwe kwa nani?View attachment 3660111
Na kwanini Rais aridhie kujiuzulu kwa mtu ambaye alipigiwa kura kama mate na sio kwa teuzi ya barua?
Wassenge mmeanzisha Ids mpya kuja kutetea wassenge wenzenu.Atolewe na nani? Tumia akili!
sababu zilizo tajwa ambazo zimetajwa kwa kifupi ni "Maadili na Nidhamu" --- hali ya ccm kwa sasa mambo ya kufata kanuni nadhani huko walishaondokaHivi walisema walimvua uanachama kwa kosa gani? Mmeona barua yoyote ya kumuita EN kwenye kikao chochote cha CCM kujibu tuhuma zozote?
waja wanasubiri trh 4 akienda kukabidhi ofisi au huyu mpya tayali kashapewa funguo?