mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anakutwa na kosa la kufuja,kuiba Mali ya mamilion mwisho wa siku anambiwa alipe fine 500,000 au 1,000,000 [emoji1]Ana hoja ila angetumia akili kidogo tu
Hili la kunyonga hata wanaouwa hawanyongwi na analijua hilo
Wao ni kupigania sheria kali ya kuwafunga wabadhirifu wa mali za umma kama wanavyofungwa waizi wengine wa mitaani
Bora tuanzishe Saini mitaani ya hawa majizi kufungwa na liende bungeni kwa majizi likajadiliwe aaaaaaahh nimefuta kauli
Halafu na wqjane wanaongezewa hela wakale siku wakifaMbaya zaidi haya majizi yanabebwa na V8 na kulindwa na polisi badala ya kuwa magereza huko yanalima
Wanajua sana kuigiza, leo tu jioni utawakuta wako na watuhumiwa wanapanga kuimarisha chamaAsema wasisubiri kuambiwa kuwa wanantakiwa kuchukua hatua, bali wawajibishe sababu wao wabunge ndio wenye dhamana ya kufanya hivyo.
Ni mambo ya kijinga sn na aibu tupuHalafu na wqjane wanaongezewa hela wakale siku wakifa
Unashangaa kina mama kijijini hawana maji na dawa huku bunge likipitisha wajane wapewe hela za bure
Nawahurumia sana wananchi
Hawa wanakula pamoja hilo linajulikanaMtu anakutwa na kosa la kufuja,kuiba Mali ya mamilion mwisho wa siku anambiwa alipe fine 500,000 au 1,000,000 [emoji1]
Ova
Sana MkuuNi mambo ya kijinga sn na aibu tupu
HAWA JAMAA WANA MAIGIZO SANAHawa wanakula pamoja hilo linajulikana
Wanapenda sana maonyesho mbele ya watu
Hata PM anaposema ondokeni na huyu ujue imeisha hiyo atapanda gari la polisi ila anapelekwa home
Huyu lazima atakuwa punguani wa ajabu, ambaye amevuka kiwango cha mwisho cha upumbavu wa mwanadamu.
Huu ni mfano wa Unafiki Kiwango cha SGR.
Msikile Waitara akitema cheche hapa
Asema watanzania wengi wanaisha maisha ya ufukara sana kiasi cha kushindwa hata kuwalipia ada watoto wao na kwenda kuomba msaada wa kufanikishiwa jambo hilo, akisema watumishi wa umma wote wanasomeshwa na watanzania na wana elimu ya kutosha, na kwamba wanafanya makusudi na kuiba kwa utaalamu.
Akisema uzembe upo kwa wabunge, kama mtu ameiba ripoti ipo, taarifa zipo, vyombo vipo, lakini mwizi hawajibishwi, je wanafundisha nini vijana wa Tanzania? Kwamba mtu ataiba na kuhamishwa tu wizara bila ya kuwajibika? Ataka wote waliothibitishwa kuhusika na wizi huo wanyongwe.
Asema wasisubiri kuambiwa kuwa wanantakiwa kuchukua hatua, bali wawajibishe sababu wao wabunge ndio wenye dhamana ya kufanya hivyo. Asema kama fedha zinatolewa kwaajili ya ripoti ya CAG kufanya uchunguzi halafu hakuna kinachofanyika zaidi ra ripoti hizo kuwekwa kwenye makabati na mwaka unaofata mambo kuwa yale yale, yeye Waitara ataachana na kuchangia maoni juu ya ripoti hiyo.
Hili mbona kama dubu?
Hawa wanakula pamoja hilo linajulikana
Wanapenda sana maonyesho mbele ya watu
Hata PM anaposema ondokeni na huyu ujue imeisha hiyo atapanda gari la polisi ila anapelekwa home