Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Yaani hamna kitu sipendi kama bodaboda kunifuata fuata nyuma. Maana hakawaii kujigonga kwenye taaHivi ushachunguza bodaboda akikufuata nyuma huwa anakuwa usawa wa taa?! Akikugonga haikosi taa
Huwa inakaa kaa ka miezi hvi afu inapoteaYes mkuu
Ile pafyumu sijawahi isikia mahali toka nazaliwa
Na nyingine zilikuwa na 1JZi
Hio Mark 2 enzi hizo mengi yalikuwa ni manual 5 speed yanachanganya haraka mno halafu kibati 180kph huku ma Landrover speed 120 kwa 160 zile land cruiser mkonge. Hamna namna wangeugusa huo moto wa 1G
Nimeendesha Dar-Mbeya juzi night toka saa 6 usiku kitonga nimepita saa 12 alfajiri mpaka kuja kutoboa mazingira ya uyole ni 8 kasoro mchana na fine za kutosha😂 50 kibao maana palishapambazuka.Njia ya mbeya sio. Mzoefu ila dar arusha masaa manne ...
Inatoka hela ya tairi mpya wanaenda kueka used[emoji23][emoji23] oil ya kupima halafu la kwake binafsi anaweka 5w 30Hela inatoka ila unatujua wabongo mkuu. Mpe ndugu yako au kijana akakufanyie service utanipa majibu. Hata filter anaweza asibadili.
La 1JZ ndio nafikiri alikuwa nalo huyo mzee wa magendo. Maana lile ni moto wa kuotea mbali.Na nyingine zilikuwa na 1JZ
Yap tena 2008 tu hapo, unaingia dar jua la jioni bado lipo ila huo mwendo sio kabisaDar - Songe 12 asubuhi mpaka 10 jioni
Hahahahah kila mtu anachungulia fursa ya kupigaInatoka hela ya tairi mpya wanaenda kueka used[emoji23][emoji23] oil ya kupima halafu la kwake binafsi anaweka 5w 30
Kuna moja ilikuwa na injini ya 1G Super Charger hii ilikuwa ni balaa. Dereva alikuwa ni mshua fulani mtu mzima anapenda kupiga zile vest za wacheza basketball na miwani tinted nyeusi. Hiyo Mark 2 ilikuwa na exhaust kubwa yenye kelele akipita ni kaweka mziki mkubwa unasikia 1G inavyolalamika anavyopiga change down ya Gear.La 1JZ ndio nafikiri alikuwa nalo huyo mzee wa magendo. Maana lile ni moto wa kuotea mbali.
Hahahaha ilo superchager kiboko. Sema hizi Mark tu zilikuwa magoli sana. Yani kama mzee akiwa nalo mtaani heshima sana ni kama zilivyo crown tu kwa sasa.Kuna moja ilikuwa na injini ya 1G Super Charger hii ilikuwa ni balaa. Dereva alikuwa ni mshua fulani mtu mzima anapenda kupiga zile vest za wacheza basketball na miwani tinted nyeusi. Hiyo Mark 2 ilikuwa na exhaust kubwa yenye kelele akipita ni kaweka mziki mkubwa unasikia 1G inavyolalamika anavyopiga change down ya Gear.
Angekuwepo kizazi hiki cha Alteza na Subbie angetuonesha ukongwe vijana wa leo.
Hizo Mark 2 uzao wa GR80 na GX100 ndio zilikuwa imara Sana kwenye body.Hahahaha ilo superchager kiboko. Sema hizi Mark tu zilikuwa magoli sana. Yani kama mzee akiwa nalo mtaani heshima sana ni kama zilivyo crown tu kwa sasa.
Wengi tulipelekwaga shule na hii gari. Gari comfortable ikipgwa na Mr.Poppy kwa Dashboard ni uhakika
Hahahaaa haya bossAcheni uongo nyie watu ,mi sio mtoto na mi ni dereva mzuri hata hiyo speed labda ule msafara wa rais yaani speed 200 ndio utafika dodoma masaa 2 na nusu,nimeishi dodoma na nimeendesha private car usiku hicho kitu hakiwezekani
Yap tena 2008 tu hapo, unaingia dar jua la jioni bado lipo ila huo mwendo sio kabisa
Sahivi wanatia body jepesi. Linapinda kirahisi yani ukirudia rangi tu halifichikiHizo Mark 2 uzao wa GR80 na GX100 ndio zilikuwa imara Sana kwenye body.
Baada ya kuja wakina Verosa,Mark 2 Grande GX110 mpaka uzao wa Mark X upande wa body uimara ukawa umepotea.
Mkuu ww upo Japan?Huk japan gar ni bei che mtu anaweza kumilik gar zaid ya moja hivyo inasaidia sana kuzitunza kwakua unakua hizchosh sana na miundombinu iko vzur pia , servce za mara kwa mara kwakua hata spea znaptkana kwa gharama nafuu.