Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hzo gar ni biashara na kuna makampun rasmi ndo kaz yao hyo..mtu akishatumia anapeleka kuuza gar lake kwa hayo makampun ..hayo makampun wnaachofanya wana repair gar sehem zote zenye kasoro kubwa kubwa..na rangi inapigwa...na kwaasabab wana tech nzur bas gar inatoka mpyaa kabisa....kwahyo si kwel et wanatunza kihivyoo...kawaida ingawa yao hayachakai sana kama huku
Km 100,000 kwa miaka 15 na chombo nipo vizurigari nyingi used kutoka Japan hua na zaidi ya miaka 10 au 15. km laki kwa miaka 15 sio matumizi makubwa ya chombo.
Utatunza wewe ila wanaokuzunguka(bodaboda,daladala) na mazingira(barabara,jua,wananchi wasioheshimu vya watu) wataichakaza.Kwahio point ya msingi ni matunzo right?
sasa unataka kukataa 4hrs private haifikiHii gahawa! Eti Arusha 4 hours?! Moshi 2 ar tu masaa 3.
Ndo maana nikasema, miundombinu yao ya barabara iko vizuri na Wajapan wanatii sana sheria.Km 100,000 kwa miaka 15 na chombo nipo vizuri
km 10,000 miaka mitano gari imeisha kazi
Kama enzi hizo bus (ngorika) ilikuwa inatoka saa 12 asubuhi arusha inafika Dar saa 6, haishangazi private kutumia 4hrs.Hii gahawa! Eti Arusha 4 hours?! Moshi 2 ar tu masaa 3.
Mkuu..japan ndo gar znapozaliwa..so uchaw wote kuhusu magar uko huko..kuna viwanda had vichochoron..yaan kama huku tunavvyoona wachomelea mageti na madirisha walivyotapakaa au watengeneza sofa bas ndo huko japan..had watoto wana utaalam wa magar.ndo maisha yao..so had mtu akauze na gar ifanyiwe repair ujue kuna faida wanapata...usitegemee rang ya gar unayonunua bongo ndo bei hyo hyo utaikuta japan..heb ingia mtandao halaf angalia spare za magar zilivyo cheap huko kwao ukifananisha na huku...so faida wanapata .wanajua wanavyofanya wao..ila hivo viwanda na garage zenye hzo kaz ziko kibao japa..batery unayonunua huku lak150 japan inauzwa elf 15..so imagine hapo...Mkuu me nna swali hapa! hayo makampuni yanapataje faida na muuzaji anauza kwa bei gani?
mfano toyota passo unakuta ukiingia be foward inauzwa USD 500.
Je muuzaji wa kwanza aliuza kwa shillingi ngapi? kampuni ya kununua walinunua kwa sh ngapi? hizo repair walizofanya nahisi zitakaribia bei hio.
naomba nieleweshe hapa.
Utatunza wewe ila wanaokuzunguka(bodaboda,daladala) na mazingira(barabara,jua,wananchi wasioheshimu vya watu) wataichakaza.
6sasa unataka kukataa 4hrs private haifiki
gari ya magazeti inakwenda masaa mangapi?
Hata ukimkamata hana helaDah kweli wanazingua, kuna mwana kanipigia anatukana kichizi...Yani kuna.bajajai kapasua kakioo kadogo ka mlangoni sanjari na kuharibu show ya mlango. Ubaya bajaji alikimbia yani.Jamaa anatengeneza gari kwa hela za kukopa inauma kichizi.
6
Kazi haipo kwenye kununua ishu ni parking,kifupi Japan huwezi ruhusiwa kununua gari kabla hujaonesha kuwa utakuwa unalipaki wapiHuk japan gar ni bei che mtu anaweza kumilik gar zaid ya moja hivyo inasaidia sana kuzitunza kwakua unakua hizchosh sana na miundombinu iko vzur pia , servce za mara kwa mara kwakua hata spea znaptkana kwa gharama nafuu.
Niliwahi kuwaza hili la gari kupigwa rangi maana ikija huku ikakaa mwaka tu rangi inaanza kupauka kwenye bonnetHzo gar ni biashara na kuna makampun rasmi ndo kaz yao hyo..mtu akishatumia anapeleka kuuza gar lake kwa hayo makampun ..hayo makampun wnaachofanya wana repair gar sehem zote zenye kasoro kubwa kubwa..na rangi inapigwa...na kwaasabab wana tech nzur bas gar inatoka mpyaa kabisa....kwahyo si kwel et wanatunza kihivyoo...kawaida ingawa yao hayachakai sana kama huku
Hayo ni madawa yanapulizwa ndani ya gari ili kufanya buibui asigeuze kuwa makazi yake.......Yes mkuu
Ile pafyumu sijawahi isikia mahali toka nazaliwa
UONGOWatoto wa juzi hamuelewi
Kuna Kipind mimi nilikua natoka Dar-Dodoma karibia km 450 kwa Masaa2 na nusu usiku saivi nashangaa mabasi yanatumia masaa 8+
Maisha yanakwenda kasi sana
2018 Nilitoka Mbeya saa 10 Unusu jioni, 7 usiku niko KimaraNimeendesha Dar-Mbeya juzi night toka saa 6 usiku kitonga nimepita saa 12 alfajiri mpaka kuja kutoboa mazingira ya uyole ni 8 kasoro mchana na fine za kutosha[emoji23] 50 kibao maana palishapambazuka.
Which means bila matochi ningeweza kupunguza hayo masaa yakawa nusu nikawa na jumla ya masaa 10 toka Dar - Mbeya. Kwa mwendo wa kichaa inawezekana kabisa kutoboa masaa 9 Dar-Mbeya ikiwa hamna traffic lakini.
Wee usinambie[emoji849][emoji849][emoji15]Hayo ni madawa yanapulizwa ndani ya gari ili kufanya buibui asigeuze kuwa makazi yake.......
Inashangaza kidogo kuna siku nilipata bahati ya kuingia ndani ya meli ya magari nikakuta picha zimebandikwa kabisa zinakuonya ukiona buibui humu ndani muue....hapendwi mno huyu mdudu na sijui kwanini
Hamna rangi pale nahisi ni polish ileNiliwahi kuwaza hili la gari kupigwa rangi maana ikija huku ikakaa mwaka tu rangi inaanza kupauka kwenye bonnet
Pole MkuuHaya nimeamka asubuhi nakuta gari imechunwa,haina hata mwezi,ikifika miezi sita itakuwaje?
View attachment 1659984
Hii gari ninayo mpaka Leo....inatumia engine nguli ya 1g-fe kavu. Six cylinder, hatariAngalia na Bei yake, Haina airbags wala nini, Ila nimekapenda sana hiyo gari. Niliimiliki 1998 na nikaiuza 2008 Ila leo najuta sana kuiuza.
Bonge ya gariii, full balance, full comfortable, full mamwendo mdundo