Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Duh
 
Aisee hao nyoka walikua wengi
 
Hii kitu mi naamini kabisa ipo.
Katika kijiji nilichokulia kuna kajimto kadogo, lakini kuna sehemu kamto kametengeneza maporomoko, eneo hilo kuna nguzo ya zege na mnyololo mkubwa umeingia ndani ya maji.
Lakini kulifikia eneo hilo ni shida sanaa, yaani kukutana na majoka kawaida, na kukuta eneo halipo ghafla ni kawaida.
Kuna kipindi wazungu walikuja pale lakini walikatazwa kwasababu eneo hilo sasa ni mali ya jeshi.
Hila hivi vitu vipo na mababu wametusimulia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi huko

MTC | 101| [emoji769]
 
Kuna kijiji kipo ndani ya Manyani kinaitwa Mkiwa, inasemekana kuna baadhi ya mapango kuna mali za mjerumani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mmama mimi binafsi ndio huwaga sijawahi kumuelewa,kama kaolewa basi mumewe ana kazi sana,huyu mwanamke anajua kila kitu,sijui imekuwaje akawa mwanamke...
 
Nadhani swali LA msingi kwa nini wajerumani wafukie hizo Mali Alafu waweke system ya kishirikina kwenye kuzitoa?

Maana michango ya wadau wengi humu wanasema Kuna ushirikina sijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu naona tunakuwa wabish kwa sababu ni wavivu kusoma history. Wajerumani hawakuwahi kushindwa vita in East Afrika ,kwa hiyo walipopewa taarifa kwamba Ujerumani imekubali ku surrender na kusign ,ndo na huku wakamwambia maadui zao kwamba wawape nafasi waondoke. Na hapo ndio walikuwa wanajiandaa kwenda kufanya mashambulizi makali Southern side ya Africa esprit Zimbabwe kufukuaza British. Kwa sababu Germany ilikuwa imesha surrender walikua hawawezi kwenda na mali, walichofanya walizificha kwa utaalamu mkubwa sana . Recent story in connection na hizi ,mali za wa NAZI mpaka sasa hivi zilizopatikana ni chache sana , kuna meli mpaka leo haijawahi kujulikana ilizamishiwa wapi ilikua imejaa mali nyingi za thamani. Na kuna nyambizi zilifichwa zilikuja kupatikana baada ya miaka zaidi ya 35 baada ya vita ya pili kuisha. So hawa watu walikua mali nyingi, ila kila waliposhindwa vita walizificha kwa utaalamu mkubwa sana kiasi kwamba si rahisi kuzipata. Na mpaka leo hata hapa kwetu zipo ila si mtu yeyote anaweza kuzichukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kiukweli sipingani nawewe maana hata maeneo ya mpanda eneo naliweka kapuuni pale kuna mashimo au lugha rahisi niseme mahandagi Kule chini walihifadhi vitu vingi Sana pindi walipoachia nchi mbaya zaidi baadhi ya mashimo wameweka padlock ambazo hazijawahi funguka hata utumie njia gani dude halitoki na kuna baadhi ya maeneo mashimo wametia acid hajawhi ingia mjinga yoyote mpaka leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vitu nasikia vipo ila wanaofanikiwa kuvipata ni wachache sana na lazima uwe na muongozo wa ke kinyume chake utaishia kufirisika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kazi ya kutafuta mali za kijerumani zilizo ndani ya mahandaki au hasa chini ya ardhi n ngumu kutokana na mazingira yake na ni gharama kubwa pia inachukua mda sana ila kwa yeyote mkweli mwenye mali za kijerumani soko lipo la uhakika iwe n fufumarfk, Rupia ya simba wawili, Rupia ya kitumbua, korofindo, maji mekundu (Mercury), vyombo vyvyte pasi , sufuria, kisu, jiko n.k nitafute kwa 0716637717, 0769767771 nipo darasa
 
Mwenye mali.za kijerumani alie mkweli kama vile pasi , korofindo , maji mekundu (Mercury) , Rupia nyekundu , kitumbua, dinali, Fufumarfk, Rupia ya simba wawili , kisu n.k vyenye vigezo vyote nitafute soko liko la uhakika 0716637717 au 0769767771
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hizo mali mnazifanyia nini mkuu? Mnauza kwenye museums au mna kazi gani nazo? Kuna mali za aina hiyo nilizipata huku mapango ya Lyamba lya mfipa
 
Hizo mali mnazifanyia nini mkuu? Mnauza kwenye museums au mna kazi gani nazo? Kuna mali za aina hiyo nilizipata huku mapango ya Lyamba lya mfipa
Kama unavyo kweli na vigezo vipo tufanye biashara Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…