Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Mkuu si pale karibu na daraja la kwenda kiwira?. Maji yanapoingilia na kutokea kwa chini. Hizi stori hata mimi nimewahi kusikia kuhusu wajerumani kumwaga utajiri pale.

Ila pia naskia kuna mambo mengi ya giza haswa linapokuja swala la watu kujaribu kuchukua utajiri huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@FaizaFoxy yuko sahihi huu ni utapeli unataka watu waanze kukutafuta ili uwalie pesa zao. Dada wa watu hajaonyesha hasira isipokuwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji3][emoji3]kuna mmoja apo kashasema tu mpk ukutane na hyo shaba mauza uza utakayokutana nayo unaghairi mwenyew
Kuna jamaa alikuwa anawinda mbugani na baba yake wakapita sehemu wakakuta mawe mengi ya dhahabu yamerundikwa kwenye mti wa mwembe, hawakuyatilia maanani wakaendelea na uwindaji walipo rudi kijijini wakawasimulia watu. Watu walivyo sikia hivyo wakambembeleza kijana awapeleke. Kabla kijana hajawapeleka wakaenda kwa kwa mganga kupiga ramli.

Mganga akawambia waende ila anaona giza mbele ya huyo kijana anayewapeleka. Wakasisitiza japo kijana aliogopa. Basi mganga akawambia wakifika kuna kitu kitatokea ila wasiseme neno lolote.

Story ni ndefu ila nitaifupisha.

Walipokaribia kwenye ule mti kweli waliziona zile dhahabu ghafla kikatokea kimbunga kikali kikamyanyua mzee moja. Mkwe wa yule mzee kuona hivyo akasema "haiwezekani baba mkwe aende"

Ghafla walitokea nyani kusiko julikana wakawapa kichapo si cha nchi hii alafu ikanyesha mvua kubwa hawajawahi kuona. Ikaharibu chakula chote walicho kuwa nacho.

Ilikuwa ni safari ya siku nne kurudi bila msosi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee sisi tuliwahi kuhamisha mlima mzima lamini hata kuona kitu wapi. Kuna mganga moja alikula sana mbuzi. For 6 months tukaamua juacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mdada sijui mmama unapenda kujifanya unajua vitu afu kumbe holaaa tu, kama una hoja changia ueleweke na kila mtu, huu sio uzi wa kidini kama ulivyozoea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh
 
huu mwandiko wa tanga huu kabisa
 
Anzisha Uzi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anzisha Uzi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du chai
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ndoto za kijinga, miaka zaidi ya 100 tangu waondoke, hata babu yako alikuwa hajafikiriwa kuzaliwa. Leo mbaibuka kudanganya watu kafukue wewe uzipate. Acheni mawazo ya kimaskini ya kumwona mzungu kama mtu anayeweza kusahau mali zake ila wewe uliyezaliwa juzi unwzifahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…