Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

Huna lolote unataka kuungwa mkono na Wanaume tu apa.
Yani uwe Mchafu na rafu lawama ziende kwa Mke tena.
 
Unatakiwa kusaidiana kusafisha nyunba na miili yenu Sio mwanamke kila kitu
Apikie watoto,aandae waende Shule ajiandae yeye kwenda kazini Na bado amuandae mume????? Hugo mwanaume hata pasi nguo zake hawezi?
Hata kubrash viatu???
Hapo hapo umesema wananuka
Wananuka coz unatake care nyumba watoto,mifugo Na mume ambae hawezi jifanyia lolote kama kilema hivi hata hiyo hamu ya kujitake care inatoka wap??
Wanaume wasaidizane Na wake zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…