Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

Interesting
 
Kwa nyakati hizi sishauri mtu kuoa.
Na ukioa,bila msaada wa Mungu mchepuko haukwepeki.
Na ukiwa freemason,kumtoa mke kafara ni jambo jepesi.
Wanawake wa siku hizi ni pasua kichwa.
 
Yeah hata na heshima inakuwepo....
Japo Kuna muda yanamtoka maneno anasema...nsingekuoa ingekuwaje.. na nshakutumia😅😅
All in all nashukuru mungu tu
Na mimi Nimewaza hivyo ila umewapa heshima kubwa sana wazazi wako, 😌😌 kama unamdogo wako wa kike nifanyie mpango basi najua na yeye atakua kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…