Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

Ukioa mfanyakazi zube huna mke🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bora wewe umeliona Hilo MTU kila kitu anafanyiwa na housegirl nae anajiona anamke Sasa 🤣🤣waliokasirika wengi APA ni wavivu tuu awajui majukumu ya mke ndo mana povu kinawatokaa MTU anakua chakula cha nnje na cha housegirl week nzima mke busy na mambo Yake afu bafi ajinga wanatetea upimbavu wote waliotetea Sio wake wema motoni moja kw moja🤣🤣🤣 hapo mke ni Uyo housegirl anaetimiza majukumu yote ndo mana wanaibiwa waume zao na mahousegirl 🤣🤣
 
Utandawazi unawaharibu wanawake mnataka Haki sawa kw wote ndo kinacho waponza Mwanaume atabak kuwa Mwanaume tuuu na ndio mana Mwanaume akapewa haki ya kua kichwa cha familia na kiongozi narudia Tena Mwanaume atabak kua Mwanaume TU ivi wewe ujiulizi mabibi zetu walikua wanafanya majukumu yote ya mke bila malalamiko na wanazaa kila kukicha na wanalea na kutimiza majukumu ya mke bila kuwa na msaidizi mbona mabibi zetu waliwexa kuishi ba kutimixa majukumu Yao ya mke bila kusaidiwq na watoto wamekua vzr km na walikua wanazaa bila kupumzika sikuiz wanawake ujeuri mwingi sana aiseee haki sawa kw wote unawaharibu nyie viumbe mabibi zetu walikia wanafanya kazi zote na hawalalamiki na shamba wanaenda km Kawa na watoto wanalea wwngi TU nyie wanawqke WA kisasa kumnyooshea mumeo nguo na kumuweka smart ndo mnaona mnaonewaa?? Aiseee Hatar Sana Kweli nimeamini kupata mke mwema ni Kazi ngumu sanaaa wanaume poleni sana kupata mke mwema anqe timiza majukumu ni Kazi ngumu Karne hiii uwiiiiii kw majib Aya ya wanawake aisee Kazi ipooooo
 
Afu ujaeleewa Mada wewe Uyo mke hafanyi majukumu Yake kila kitu anafanya house girl elewa somo house girl ndo analea watoto na kuhudum mume wa boss kw kila kitu afu bado unatetea upuuzi ndo mana mnaibiwa waume zenu na mahousegirl sikuiz wanaume wamesanuka wanaoa housegirl ndo anawajali wanaoa Uyo Uyo mnabaki mnalia na kumtafta mchawi mwanamke mpumbavu huvunja NDoa kw mikono yakee mwwnyewe kutimiza majukumu unaona unaonewa heeee makubwa msiwe mnaolewa Sasa muwe mnaoa nyie na kutoa Mahali nyie na muhudumie familia nyie SI unataka haki sawa kw wote ndo mana Dini ilikataza mwanamke kuajiriwa mungu alikua madhara ya mke kuajiriwa ni makubwa watoto wanakoda malezi ya mama housegirl ndo anakua mama anafanya kila kitu ni huzuni kwakwel
 
Nd
Ndo mana mnaibiwa waume zenu na mahousegirl hamtimizi majukumu yenu kabisa mnataka Haki sawa kw wote Mbn mabibi zetu walifanya Kazi zote wenyewe nq watoto wakakua na NDoa zikadumu
 
Carleen Jadda Saint Anne Kapeace Mama Mwana Pridah Joannah ladies mbona hamsemi km kuna kontena jipya la wife material limeingia? 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…