Watoto wanaliaa,,mkubwa nae bado UHANGAIKE kumuandaa awahi shule,bado hujampikia chai umsimaie anywe,bado wewe binafsi,bado kichanga kinalia kinataka kubadili pampas na kina njaa kinyonye
Mume nae akae asubiri kupigwa pasi shati na suruali,afutiwe vumbi viatu.aandaliwe chai.bado umsimdikize mtoto shule ama barabarani,ukirudi nyumba chafu manguo mavyombo nje kote kunakungoja.
Hapo usiku hujalala kunyonyesha na kuzagamuliwa
hiyo haiwezekani!
Hao wanaume wajitunze wenyewe,ni watu wazima sio watoto.tena wasaidie wake zao.mume mwema ni yule anakwambia mke wangu mi ntajianda na hawa wa shule niende nao,we deal na huyo kichanga.au we andaa chai mi nawavalisha.maisha ni kusaidia a sio kukomoana
Maawanaume kujitunza na kujiweka smart ANAANZA kufundishwa na wanaomlea.wakati anasoma,mpk anajitegemea ni jukumu lake kujiweka smart.sio la kusubiri akioa..labda kama ana changamoto za kiafya anahitaji usaidizi.