Oohh really!! You like it?? πUshanibatiza na jina nimeipenda iyo π
Umenivunja mbavu Aya Karibu Somo Wangu by kungwi mjane π€£π€£Nakuja kumsoma kungwi ngoja nitafute utu na utulivu
Shusha nondo πNakuja kumsoma kungwi ngoja nitafute utu na utulivu
Wengine Maisha tuliyo pitia ni zaidi ya JKT.Kabla hajakuoa anapiga kampeni
Atadeki hadi nyumba
Mi nachoshukuru Mungu nasemaga sijui kunyoosha nguo za kiume
Hiyo ndo imebaki shuhuki yake pekee,Ila nashukuru Mungu pamoja Na madhaifu ya mume Wangu ananisaidia Sana watoto,kuanzia kuwalisha kuwaogesha Na yeye mwenyewe kujiweka Safi
Nashauri vijana wapitie jkt hakiyanani
Le kungwi mjane kwenye one and twoNakuja kumsoma kungwi ngoja nitafute utu na utulivu
Three and four πLe kungwi mjane kwenye one and two
Yeaaaaahhhh!! Shout out to Kungwi mjane πThree and four π
Three and fourLe kungwi mjane kwenye one and two
Jina limenoga kama supu ya wanayanga weee huogopiiiii le madam kingwi mjane πOohh really!! You like it?? π
Le madam Kungwi mjane
Uchafu wao tu mke si sababu. Kuna wanaume hata hawajaoa ila ni wako smart sana, usafi ni tabia.Ni ajabu yani utoke shati limejikunja kisa mke hajanyoosha na umeme upo, pasi ipo.
Nasikia ukioa unakua smart zaidiUchafu wao tu mke si sababu. Kuna wanaume hata hawajaoa ila ni wako smart sana, usafi ni tabia.
Ebu oa kwanza afu uje na mrejesho.Nasikia ukioa unakua smart zaidi
ππππ sawa bhanaEbu oa kwanza afu uje na mrejesho.
Mbna ban Tena umewafanya nn... Hawa viumbe...?π πWow basi wewe ni chombo haswa! Ila nikuulize ulikua sealed ni kwamba hujawahi kutongozwa ama ulimpenda sana kiasi kwamba ukampa kabla ya ndoa maana it was risky
Najua umejibu basi tu kataa ndoa mzoefu ππππππ sawa bhana
Aloooh...hongeraYeah na nilikuwa nimemwambia 10m...aka bagein...
1m nkachukua mm. 6nkawabless wazazi
Sio hivyo hata , kataa ndoa nimejitoa ila siwapingi harakati zaoππππππNajua umejibu basi tu kataa ndoa mzoefu ππ
Kabisa jimbo likishapatikana hakuna haja ya kampeni tena au sioπSi ndo maana michepuko mpo, msaidie sasa hayo majukumu na nyie.......
Samaki kwenye tenga unampa chambo wa nini sasa πΉπΉπΉKabisa jimbo likishapatikana hakuna haja ya kampeni tena au sioπ