Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

Kabla hajakuoa anapiga kampeni
Atadeki hadi nyumba
Mi nachoshukuru Mungu nasemaga sijui kunyoosha nguo za kiume
Hiyo ndo imebaki shuhuki yake pekee,Ila nashukuru Mungu pamoja Na madhaifu ya mume Wangu ananisaidia Sana watoto,kuanzia kuwalisha kuwaogesha Na yeye mwenyewe kujiweka Safi
Nashauri vijana wapitie jkt hakiyanani
Wengine Maisha tuliyo pitia ni zaidi ya JKT.

Maisha yetu ni zaidi ya JKT na hata hatuitaji kwenda JKT
 
Back
Top Bottom