malikia balqiis
Senior Member
- Apr 28, 2023
- 118
- 189
- Thread starter
- #161
Sio kweli
Mke anayeweza hizo pigo za night dress sijui viguo vya kumtega mume,manicure pedicure na kunukia muda wote na kuwa tayari kugawa haki ya ndoa kila siku ni wale wake wanaowekewa maids kufanya majukumu yote na kulea watoto ila wake wa kina baba Chanja waachwe tu kama walivyo na pongezi wapewe wanajitahidi sana kubeba mzigo mkubwa wa kulea familKweli
Sio Kweli kuna watu Awana wasaidizi wa kazi na wanafanya majukumu yote na kunukia wananukia na kulea wanalea uchafu wa mwanamke ni hulka Yake TU na WaPo wenye wafanyakaz WA ndan lkn awanukii wala awavutii wachafu vby Mpk waume zai wanakuja kuomba ushauri Instagram kw uchafu wa mkeMke anayeweza hizo pigo za night dress sijui viguo vya kumtega mume,manicure pedicure na kunukia muda wote na kuwa tayari kugawa haki ya ndoa kila siku ni wale wake wanaowekewa maids kufanya majukumu yote na kulea watoto ila wake wa kina baba Chanja waachwe tu kama walivyo na pongezi wapewe wanajitahidi sana kubeba mzigo mkubwa wa kulea familia.
Sijakulazimisha uamini Amini unacho Amini message sentKungwi jitahidi kuandika bila presha, tunapata shida kusoma..
Turudi kwenye mafundisho yako uchwara, hivi unafananisha mabibi wa zamani ambao hawana kazi yoyote ya kufanya na kizazi chetu ambacho asubuhi unatakiwa uondoke kwenda kibaruani..??
Huo muda wa kujiandaa na kumuandaa mume kilema nautoa wapi?
Kwa mawazo yako unafikiri kwamba wanawake wote ambao waume zao wanachepuka na house girl’s au mashangingi wengine basi, chanzo ni kutofanya hayo uliyoorodhesha??
Kwahiyo kwako wewe mwanamke ni slave?
Dunia ya sasa wenzetu wanapambana kubuni vitu vya kumsaidia binadamu kazi zake, wewe unaturudisha ZAMADAMU pity