Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

Sio kweli
Mke anayeweza hizo pigo za night dress sijui viguo vya kumtega mume,manicure pedicure na kunukia muda wote na kuwa tayari kugawa haki ya ndoa kila siku ni wale wake wanaowekewa maids kufanya majukumu yote na kulea watoto ila wake wa kina baba Chanja waachwe tu kama walivyo na pongezi wapewe wanajitahidi sana kubeba mzigo mkubwa wa kulea familKweli
Mke anayeweza hizo pigo za night dress sijui viguo vya kumtega mume,manicure pedicure na kunukia muda wote na kuwa tayari kugawa haki ya ndoa kila siku ni wale wake wanaowekewa maids kufanya majukumu yote na kulea watoto ila wake wa kina baba Chanja waachwe tu kama walivyo na pongezi wapewe wanajitahidi sana kubeba mzigo mkubwa wa kulea familia.
Sio Kweli kuna watu Awana wasaidizi wa kazi na wanafanya majukumu yote na kunukia wananukia na kulea wanalea uchafu wa mwanamke ni hulka Yake TU na WaPo wenye wafanyakaz WA ndan lkn awanukii wala awavutii wachafu vby Mpk waume zai wanakuja kuomba ushauri Instagram kw uchafu wa mke

Kungwi jitahidi kuandika bila presha, tunapata shida kusoma..

Turudi kwenye mafundisho yako uchwara, hivi unafananisha mabibi wa zamani ambao hawana kazi yoyote ya kufanya na kizazi chetu ambacho asubuhi unatakiwa uondoke kwenda kibaruani..??

Huo muda wa kujiandaa na kumuandaa mume kilema nautoa wapi?
Kwa mawazo yako unafikiri kwamba wanawake wote ambao waume zao wanachepuka na house girl’s au mashangingi wengine basi, chanzo ni kutofanya hayo uliyoorodhesha??

Kwahiyo kwako wewe mwanamke ni slave?
Dunia ya sasa wenzetu wanapambana kubuni vitu vya kumsaidia binadamu kazi zake, wewe unaturudisha ZAMADAMU pity
Sijakulazimisha uamini Amini unacho Amini message sent
 
Jaman, baadhi ya wanawake walioolewa wanajisahau sana. Unakuta mchafu, ananuka jasho, haogi kwa wakati, hata kufua kwake ni mtihani. Kuna hawa wake za watu walioajiriwa, jamani, hata kama mmeajiriwa, jitahidini kuwajali waume zenu. Wanatoka home rafu sana. Kuna mkaka namjua ameoa, na ndoa yake ya miaka mingi sana, mkewe ameajiriwa. Jamani, huyo baba anaenda kazini, nguo zimejikunja. Nguo zake ni nzuri, lakini hayupo smart. Unakuta shati zimejikunja, kavaa tu, hata hajali. Viatu vimejaa vumbi.

Jamani, mlioolewa, jitahidini kuwajali waume zenu hata kama mmeajiriwa. Wawekeni smart waume zenu, jamani. Inasikitisha sana. Huyo baba akipata michepuko msafi, akamfulia, akampa mapenzi moto, akampikia chakula kizuri, atahamia huko huko. Maana kila siku yeye ni kula chakula cha house girl, nguo anavaa hazilowekwi, kama zimetafunwa. Jamani, sijui kwanini watu wakiolewa wanajisahau. Wajali waume zenu, jamani.

Sasa huyo baba kwa jinsi anavyoishi, utasema hana mke. Ni huruma, kwa kweli. Embu wajali waume zenu waonekane smart. Mtu kaoa lakini mke hata kumuandalia nguo hapana, kumsafishia viatu mke hatimizi majukumu yake kama mke. Inasikitisha. Kuna mwingine yeye ni kulala tu, hana kazi ni mama wa nyumbani, lakini hata kufua nguo za wanae ni mtihani. Nyumba nzima inanuka mikojo na mavi ya watoto. Nepi za mavi anarundika siku mbili, nyumba inanuka uozo, na ni mke wa mtu. Ni mchafu sana. Wanaume wanavumilia mengi, jamani, yaani wanaume wanavumilia jamani hawasemi tu. Jamani, jamani, wake za watu ni wachafu sana, asilimia kubwa wanajisahau, wanabweteka. Hata kujiweka smart hawawezi. Yaani ni huzuni. Poleni sana wale wote mliooa wanawake wavivu.
Ni kweli dada,
Ila naona wote wanafanya kazi,inamaana wote wanarudi wamechoka!

Jukumu ka kumtunza mwanaume sio jukumu la mke, maana wote ni watu wazima. Ingekuwa sawa,kama mke angekuwa “mama wa nyumbani” ila kama na yeye anatoka kwenda kutafuta na isitoshe anarudi na kupika,hiyo nadhani inatosha. Kama huyo jamaa anashindwa kujiangalia mwenye nadhani kutakuwa na shida kwakwe.
 
malikia balqiis .
1. Hakuna mwanamke ambaye anapewa kila hitaji awe mchafu tena wasasa .
Ukiona mtu hajaliwi anabana matumizi home.
2. Kuna baadhi kweli wanawake ni wachafu tena hasa wale ambao hawajui mume atajenga lini . Au maendeleo yoyote. Unajua mke anayependwa husaidiwa . Nasio kusimangwa kulea sio rahisi ndio maana wengi hupewa misaada @ labda awekewe mfanyakazi au ndugu wa msaidie.
 
Mtu anaye jaribu kukuelekeza ni uelewe, unamwita da yunis mie sio unis mi ni yu min e ,ulisema hivyoo au ulikuwa unamtishia danga lako. Ili litoe matumizi

Da yuniki kwenye mlo wako Kila siku jitahidi usikose mboga za majani,🤣
 

Da yuniki kwenye mlo wako Kila siku jitahidi usikose mboga za majani,🤣
Mie sio yuniki msiniitie mikosi mie
 
Binafsi suala usafi na usmart wa mwanaume unaanza na yeye mwenyewe kwanza kujijali halafu mke anatembea na hiyo beat.. Sasa kama M/me mwenye hujijali tusilaumu sana wanawake ... Maana na yeye anakuona ni wa hivyo... M/me ukiwa na tabia za usmart itamlazimu m/ke kuwa hivyo pia..."pay u're self first"
 
Unajua shemeji humu kuna watu wanajijkuta wajuaji sana na wanapewa upendeleo, ndio maana napendelea sana kutumia quora na reddit huku jf napatumia marachache nampango nipotee kabisa humu, nitakua kwenye jukwaa moja tu ambalo ni siri yangu
Hilo la upendelea Kila siku linashamiri....
Sjui wanataka nn hao wanaojipendekeza...
 
Back
Top Bottom