#COVID19 Wajinga wameibuka na hoja kwamba waliochomwa jana sio chanjo ni maji!

Kabisa kwenye hili suala ifike mahali kila mtu afanye maamuzi yake na si kulazimishwa
Yeah,sioni sababu ya kutumia nguvu na kuona anayechanja ni mwelevu na asiyetaka ni mjinga.....ujinga ni kuingilia maisha ya mtu na maamuzi yake
 
Unauhakika gani Gwajima kamzidi huyo jamaa kila kitu mkuu? unamjua huyo mkuu nje ya hapa? inawezekama hata huyo jamaa ni waziri mkuu......hizi fake Ids zisifanye uone wote hawana vyeo humu.
Majariwa is by far smarter than this fella! Would not utter such nonsense!
 
Unfikiri tatizo ni elimu basi!! Ni upumbavu tu, wengine wana elimu kubwa tu lakini ni walinda legacy ya Mwendazake!!!
Hapo ndipo unapojiingiza chaka mwenyewe, unapoishia kufikiria kuwa kelele hizi zinalenga kulinda legacy!
 
Hiyo kauli kuwa “Mbona wazungu hawajagunduwa chanjo za malaria na UKIMWI”, mwasisi wake ni mwendazake. Hao wananchi wanarudia tu alichosema kipindi kile akipinga chanjo.
halafu kwanini chanjo ya hii kitu imekuwa fasta sana kuliko ugonjwa wenyewe,nikama vile chanjo ilikuwa tayari stoo
 

Wajinga wapo pande zote wanaopinga chanjo na wanaokubali chanjo, lakini wanaopinga chanjo sio wote ni wajinga na wasio na elimu kama ambavyo mnataka ionekane hivyo.
 
Wajinga wengine hawa ambao hawapingi chanjo ila hawana elimu sahihi.

 
Asante kwa kuendelea kujifunua jinsi ulivyo mtupu! Kimsingi komenti za mapungu kama ww hazinisumbui!
Hiyo technologia gani inayoweza kufupisha life cycle hata kupata matokeo ya madhara ya chanjo kwa mjukuu wa panya, na baadae wa nyani, na sokwe aliyedungwa chanjo ndani ya mwaka mmoja!? Yaani adungwe mnyama akue azae, na mtoto akue azae na mjukuu akue na azae ndani ya mwaka mmoja, utakuwa mwendawazimu kupindukia kuamini hivyo! Ww ni pungu kweli kweli!! Technologia haiwezi kupunguza real time clinical trial!
 
Tatiz kubwa hapo ni ujinga ujinga na watu kam gwajiboy wanautumia ujinga wa watu kuaminika suluhusisho hapo ni elimu elimu
 
Nakubaliana na wewe 100%. Kwa akili hizi za kina Askofu Rashid aka Kibwetele, kuna haja ya kufuata ushauri wa Diallo. Lazima kuna watu wana mafile yao Milembe lakini wameshikilia nafasi.
 
Hilo chupi ambalo umevaa limetoka kwa hao mabeberu, hizo PEDI ambazo umeweka huko kwenye Hilo bwawa lako pia zimetoka hukohuko kwa hao mabeberu,

Na hiyo mirasta Kama jini ambayo umeweka kichwani pia zinatoka kwao ken,ge maji wewe,

Rubbish!!
 
Jibu swali ya ukimwi na malaria iko wapi
 
Hiyo chanjo ni ya majaribio, hakuna kiongozi wa nchi anaweza kuwa tayari kufanyiwa majaribio, zile ni vitamin c labda walizochomwa, siamini hata sekunde moja kwamba ni chanjo ile
 
Wewe una uhakika gani kwamba ile ilikuwa chanjo halisi? Tumia akili kufikili
True hata mimi siamini kama Raisi wetu ni Samia Suluhu mpaka nione Birth Certificate yake.

Nitaaminije lazima nitumie akili kufikili.
 
we elitwege unajulikana tangu zamani ubongo wako hauko sawa
Sasa kwanini usijibu hoja yake juu ya hiyo kauli ya CDC, badala yake unamvamia yeye personally, vamia hoja zake, hapa ndio msababishwa tuwaone mataahira tu
 
sasa alikua mashuhuri kudhihaki covid, matokeo yake si yalionekana, watu hawajifunzi tu
Jibuni hoja zake tu, msihangaike na mengine, hiyo chanjo ni ya majaribio? Kisa mtu amekutishia nyoka haimaanishi ujiue kwa sumu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…