Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kwa mujibu gani unasema kuwa Suleyman alikua ni myahudi?
ushahidi tafadhali.
Unafaham kwann mwaka wa kiislam ulianzishwa na kwa misingi ipi?
Je kuanzishwa kwa mwaka wa uislam ndio una justify kua uislam ndio una umri huo?
Ethiopia(Abysinia) mwaka huu ni mwaka wao wa 2014 je hyo ndio ina justify Ethiopia ina umri huo!?
 
Nishampa maswali mwenzako.
Wewe umeulizwa umeshindwa kaa tulia.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wacha tu nicheke.
Mkiambiwa mujibu maswali mnamaliza mjadala.
KWAHERI SINA CHA KUJADILI NAWE.
 
Ila wewe jamaa nimefatilia reply zako ni mjanja mjanja wa kuunganisha na kupindisha hadith na aya za Quran ili kupotosha. Wale wasioelewa na kujua hizo aya na hadith ndo unaweza kuwachota na wakakuamini nimeweka akiba hii reply nikirud ntaweka hizo hadith na hizo aya zako ulizo edit ili ujione ni kwa jinsi gani ulivyo mpumbavu.
 
Suleiman ni mtoto wa mfalme Daudi, mfalme Daudi ni mtoto wa Mzee Yesse, Daudi alikua na kaka zake kina Eliabu nk, Daudi ndiye aliyemuua Goliath, Goliath alikua Mfiristi, Wafilisti ndio Wapalestina wa leo, Daudi alikua wa kabila la Yuda, kabila la Yuda ni mi moja ya makabila ya Waisrael na in fact kabila hili la Yuda ndio hasa chanzo cha neno Myahudi or Jew; hi ilianza hasa mara baada ya ufalme wa Suleiman kuondoka madarakani na mwanae kuingia Ikulu, kihistoria baada ya Suleiman kufa Israel iligawanyika na kua nchi mbili, Yuda kama kabila kubwa walibaki makao makuu yao Yerusalem, walibaki na kabila lingine moja la Ephraem wakati makabila mingine 10 yalihamia Samaria na mji wao ulikua Damascus hi ya Syria leo; baada ya tukio hilo ndio jina au neno Myahudi/Wayahudi lilianza kuitwa.

Kuhusu mwaka wa Kiislamu hiyo wala sio issue ya kubishania, nenda tu kwenye kalenda yeyote ya Kiislamu, mwaka wao hata 1500 haujafika; unataka kubishana hata na hili? Mengine mbona yapo wazi tu mkuu? Narudia, wanao sema kina Suleiman walikua Waislamu ni Waarabu wa kwa Mtogole, Waarabu wenyewe wa Uarabuni wanajua historia ya Waarabu wenzao na Wayahudi
Swali lingine mkuu
 
Wacha twende taratibu.
Hayo kusema kuwa waislam wa uarabuni wanajua Suleyman alikua myahudi doh kaka huo ni mtazamo wako.
Then maelezo yako yanaelezea uyahudi km kabila siyo dini.
Maana uhusiano wa kidini hapo sijauona kulingana na mafundisho yetu.LABDA KAKA UNIWEKE SAWA BAADAE.
Na sijajua umetumia kitabu gani.
Ila kwa mujibu wa mafundisho yetu ambayo yapo kote kwa waislam wote wa dunia nzima,Suleyman mtoto wa Daud hao ni wapalestine.Na hao siyo chanzo cha kuwepo wayahudi.Maana wayahudi walikua kabla ht ya nabii Suleyman na nabii Daud.
Maana uyahudi sie twautambua km dini.
Ila wana wa israel ndio twawatambua kama asili.
Na Suleyman hakuwa mwana israel.

Kuhusu Mwaka wa kiislam ulianza pale baada ya muhammad kuhama kutoka makkah kwenda madinah kwa kalenda ya kawaida ni miaka ya 570s A.D km sijakosea.
Na ndio maana ukapewa jina la calendar ya hijriyah.Hijriyah imetokana na hijrah maana yake kuhama.
Na hijriyah ni mwaka wa mhamo.

ambapo sasa hv ni mwaka wa 1435 km sijakosea.
Ila hiyo calendar imeanza miaka 20 mbele baad ya mtume kuamriwa na Allah atoke Makkah aende madinah.

Swali lingine bro.
Uyahudi ni kabila ama dini??
Na je wanaisrael wote ni wayahudi?
 

1 Samweli : 17 : 12 - Basi Daudi alikuwa mwana wa yule Mwefrathi, wa Bethlehemu ya Yuda, aliyeitwa jina lake Yese; naye huyo alikuwa na wana wanane; na yeye mwenyewe alikuwa mzee siku za Sauli, na mkongwe miongoni mwa watu.
 
Duuuuuh
 
1 Samweli : 17 : 12 - Basi Daudi alikuwa mwana wa yule Mwefrathi, wa Bethlehemu ya Yuda, aliyeitwa jina lake Yese; naye huyo alikuwa na wana wanane; na yeye mwenyewe alikuwa mzee siku za Sauli, na mkongwe miongoni mwa watu.
Ukileta bible kaka mm nitaleta Qur'an.
Umeona tabu yake?
Na uyahudi ni kabila ama dini kaka?
 
Mkuu Quran imejibu maswali mengi ambayo Bible haina majibu. Mfano Bible haijaelezea ni miungu gani waliabudu kipindi cha Ibrahim, Quran imeelezea na juzi juzi hapa Iraq wamefukua fukua Mabaki ya Babylon na ku approve hio Miungu iliotajwa, How did Muhammad know?

Kuna mamia ya predictions kwenye uisilamu nyengine zimekuwa proved miaka ya karibuni, vitu havijaandikwa hata kwenye Biblia.
 
Ukileta bible kaka mm nitaleta Qur'an.
Umeona tabu yake?
Na uyahudi ni kabila ama dini kaka?

Leta maandiko ya Koran tusome kaka tumalize suala la Daudi. Tujue kama alikuwa myahudi au mpalestina.
Mi nimeshatoa andiko alikuwa myahudi.
 
Leta maandiko ya Koran tusome kaka tumalize suala la Daudi. Tujue kama alikuwa myahudi au mpalestina.
Mi nimeshatoa andiko alikuwa myahudi.
Nakuletea.
Ila hujanijibu,unazungumzia uyahudi kabila ama dini?
Qur'an inatambua uyahudi ni dini.
Ngojea nikuletee ushahidi kuwa Suleyman alikua ni muislam.Na uislam kaurithi kwa babaye Daud.
Na ushahidi wa kuwa muisraeli au mpalestina nitakuletea.
 
Nakuletea.
Ila hujanijibu,unazungumzia uyahudi kabila ama dini?
Qur'an inatambua uyahudi ni dini.
Ngojea nikuletee ushahidi kuwa Suleyman alikua ni muislam.Na uislam kaurithi kwa babaye Daud.
Na ushahidi wa kuwa mpalestina siyo muisrael nakuletea.

Nazungumzia kabila la daudi kaka. Tusiende kwanza kwa suleiman na uislamu. Tumalize suala la kabila ya daudi, je alikuwa myahudi au alikuwa mpalestina?
 
Nazungumzia kabila la daudi kaka. Tusiende kwanza kwa suleiman na uislamu. Tumalize suala la kabila ya daudi, je alikuwa myahudi au alikuwa mpalestina?
Alikua ni mwana wa Israel aliyeitawala Palestina hakuwa myahudi.
 
Nazungumzia kabila la daudi kaka. Tusiende kwanza kwa suleiman na uislamu. Tumalize suala la kabila ya daudi, je alikuwa myahudi au alikuwa mpalestina?
Alikua ni mwana wa Israel aliyeitawala Palestina hakuwa myahudi.
Alitoka kabila gani? Toa andiko kaka
Qur'an haikutaja kabila bro.
Ila inaeleza kuwa Daud alipewa Zabur kuwaongoza wana wa israel na Suleyman ndiye akarithi hiyo kazi.
Na wana wa israel ni uzao wa Nabii Yakuub.
Ambae babaye ni Ishaq mtoto wa Ibrahim .
 

Ahsante kaka. Mada imeisha. Twende kwenye mada nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…