Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu gani unasema kuwa Suleyman alikua ni myahudi?Na wewe unaamini kwamba kina Suleiman, Daudi, Ibrahim, Yakubu, Isaka nk walikua Waislamu? Unajua kwamba hawa jamaa hadi makabila yao yanajulikana? Wote walikua Wayahudi na wanatokea kabila la Yuda; how comes Waislamu hawa wawe tofauti sana na Waislamu wa sasa? Vitu vingine vya kutumia logic tu ya kawaida.
Waarabu wenyewe wana kalenda zao zinaonesha u ni mwaka wa ngapi wa Kiislamu, haifiki miaka 200, ni miaka 1400+ so how tuamini kwamba hao mitume walikua Waislamu ili hali walikuwepo kabla ya huo mwaka? Ukweli ni kwamba wanao hubiri uislamu wa hao mitume ni waislamu wa huku Africa, sio huko Uarabuni
Nishampa maswali mwenzako.Huyo jamaa ni empty head nimejaribu kumpa elimu ni mbishi na inaonesha ni wale Aina ya watu walipata elimu ya dini kutoka Kwa maostadh ubwabwa wa mitaani hawajui historical background ya hizi dini za Abrahamic,matokeo yake wanalishwa matango pori na kuyameza mazima mazima na kukariri vitabu na kuona Kila kilichoandikwa ni kweli badala ya kutafuta maarifa nje ya box,
Hapa ndio anakuja kutuambia Uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad Abdulla!
😁😁😁😁
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wacha tu nicheke.SAWA SAWA tufanye Mzee abdula alikua mwislamu, Mohammed alikua mwislam
Na waquraish wote Toka Hapo kale walikua waislamu na Mohammed aliukuta uislam ushaanza na alikuta Mecca na Medina Kuna misikiti tele na watu woteeee waislamu na Hata akawa mtume wa waislamu kama manabii wengine aliowakuta wanauendesha uislamu Toka Hapo kale!
Umeridhika eeee
Byeeeee Ostadh abdala wahi swala ndio mida hiii
Usije ukajitetea Kwa Allah siku ya qiyama nilikuchelewesha Mimi Ebooooo!
😁😁😁
Ila wewe jamaa nimefatilia reply zako ni mjanja mjanja wa kuunganisha na kupindisha hadith na aya za Quran ili kupotosha. Wale wasioelewa na kujua hizo aya na hadith ndo unaweza kuwachota na wakakuamini nimeweka akiba hii reply nikirud ntaweka hizo hadith na hizo aya zako ulizo edit ili ujione ni kwa jinsi gani ulivyo mpumbavu.NJOO TENA HAPA MUHAMMAD SWT BAADA YA KUROGWA ALICHANGANYIKIWA AKAWA ANAITA OVYO OVYO
Anasema Mwana Aisha Mkewe Mtume (r.a) kuwa:"Yahudi mmoja aitwaye Labiid bin Al'aanswam alimroga Mtume (s.a.w) ikawa Mtume baadhi ya nyakati huchanganyikiwa akiita ovyo ovyo." (Sahih Muslim,Juzuu ya 4,uk.38-39)
REJEA TENA HAPA ALLAH ALIPOZIDIWA UJUZI NA HUYU MYAHUDI AKATAREMSHA AYA HII HAPA![]()
![]()
Quran 5:51. Enyi mlio amini! Waislamu Msiwafanye #Mayahudi na #Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
REJEA TENA HAPA MUHAMMAD ALISEMA NIMEKUWA MWENDAWAZIMU
Quran 15: 6. Na walisema: Ewe Muhammad uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe Muhammad ni mwendawazimu. REJEA HADITHI INASEMA HIVI
Muhammad akisema: O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu. "Kitab al-Tabaqat al-Kabir", (Kitabu cha Madarasa Meja), na Ibn Sad, kutafsiriwa na S. Moinal Haq, [4], ukurasa wa 225.
View attachment 1760834
Suleiman ni mtoto wa mfalme Daudi, mfalme Daudi ni mtoto wa Mzee Yesse, Daudi alikua na kaka zake kina Eliabu nk, Daudi ndiye aliyemuua Goliath, Goliath alikua Mfiristi, Wafilisti ndio Wapalestina wa leo, Daudi alikua wa kabila la Yuda, kabila la Yuda ni mi moja ya makabila ya Waisrael na in fact kabila hili la Yuda ndio hasa chanzo cha neno Myahudi or Jew; hi ilianza hasa mara baada ya ufalme wa Suleiman kuondoka madarakani na mwanae kuingia Ikulu, kihistoria baada ya Suleiman kufa Israel iligawanyika na kua nchi mbili, Yuda kama kabila kubwa walibaki makao makuu yao Yerusalem, walibaki na kabila lingine moja la Ephraem wakati makabila mingine 10 yalihamia Samaria na mji wao ulikua Damascus hi ya Syria leo; baada ya tukio hilo ndio jina au neno Myahudi/Wayahudi lilianza kuitwa.Kwa mujibu gani unasema kuwa Suleyman alikua ni myahudi?
ushahidi tafadhali.
Unafaham kwann mwaka wa kiislam ulianzishwa na kwa misingi ipi?
Je kuanzishwa kwa mwaka wa uislam ndio una justify kua uislam ndio una umri huo?
Ethiopia(Abysinia) mwaka huu ni mwaka wao wa 2014 je hyo ndio ina justify Ethiopia ina umri huo!?
Wacha twende taratibu.Suleiman ni mtoto wa mfalme Daudi, mfalme Daudi ni mtoto wa Mzee Yesse, Daudi alikua na kaka zake kina Eliabu nk, Daudi ndiye aliyemuua Goliath, Goliath alikua Mfiristi, Wafilisti ndio Wapalestina wa leo, Daudi alikua wa kabila la Yuda, kabila la Yuda ni mi moja ya makabila ya Waisrael na in fact kabila hili la Yuda ndio hasa chanzo cha neno Myahudi or Jew; hi ilianza hasa mara baada ya ufalme wa Suleiman kuondoka madarakani na mwanae kuingia Ikulu, kihistoria baada ya Suleiman kufa Israel iligawanyika na kua nchi mbili, Yuda kama kabila kubwa walibaki makao makuu yao Yerusalem, walibaki na kabila lingine moja la Ephraem wakati makabila mingine 10 yalihamia Samaria na mji wao ulikua Damascus hi ya Syria leo; baada ya tukio hilo ndio jina au neno Myahudi/Wayahudi lilianza kuitwa.
Kuhusu mwaka wa Kiislamu hiyo wala sio issue ya kubishania, nenda tu kwenye kalenda yeyote ya Kiislamu, mwaka wao hata 1500 haujafika; unataka kubishana hata na hili? Mengine mbona yapo wazi tu mkuu? Narudia, wanao sema kina Suleiman walikua Waislamu ni Waarabu wa kwa Mtogole, Waarabu wenyewe wa Uarabuni wanajua historia ya Waarabu wenzao na Wayahudi
Swali lingine mkuu
Wacha twende taratibu.
Hayo kusema kuwa waislam wa uarabuni wanajua Suleyman alikua myahudi doh kaka huo ni mtazamo wako.
Then maelezo yako yanaelezea uyahudi km kabila siyo dini.
Maana uhusiano wa kidini hapo sijauona kulingana na mafundisho yetu.LABDA KAKA UNIWEKE SAWA BAADAE.
Na sijajua umetumia kitabu gani.
Ila kwa mujibu wa mafundisho yetu ambayo yapo kote kwa waislam wote wa dunia nzima,Suleyman mtoto wa Daud hao ni wapalestine.Na hao siyo chanzo cha kuwepo wayahudi.Maana wayahudi walikua kabla ht ya nabii Suleyman na nabii Daud.
Maana uyahudi sie twautambua km dini.
Ila wana wa israel ndio twawatambua kama asili.
Na Suleyman hakuwa mwana israel.
Kuhusu Mwaka wa kiislam ulianza pale baada ya muhammad kuhama kutoka makkah kwenda madinah kwa kalenda ya kawaida ni miaka ya 570s A.D km sijakosea.
Na ndio maana ukapewa jina la calendar ya hijriyah.Hijriyah imetokana na hijrah maana yake kuhama.
Na hijriyah ni mwaka wa mhamo.
ambapo sasa hv ni mwaka wa 1435 km sijakosea.
Ila hiyo calendar imeanza miaka 20 mbele baad ya mtume kuamriwa na Allah atoke Makkah aende madinah.
Swali lingine bro.
Uyahudi ni kabila ama dini??
Na je wanaisrael wote ni wayahudi?
DuuuuuhVitu vingi vya mathematics, physics na chemistry asili yake ni uislamu na ndio maana ukisoma Kemia mambo mengi yanaanzi wa na AL ambayo kiarabu ni The, vitu kama Alchemy, Alkaline etc.
Juzi tu Hapa Unesco wamekubali kwamba University ya kwanza kutoa Degree ni invention ya Bibie Fatma huko Morocco toka Karne ya 9,
Leo katika ulimwengu wa kutoa Elimu kuna kitu bora kuliko Vyuo vya Elimu na maabara za Tafiti? Mbona vyote hivi ni legacy za waisilamu?
Ukileta bible kaka mm nitaleta Qur'an.1 Samweli : 17 : 12 - Basi Daudi alikuwa mwana wa yule Mwefrathi, wa Bethlehemu ya Yuda, aliyeitwa jina lake Yese; naye huyo alikuwa na wana wanane; na yeye mwenyewe alikuwa mzee siku za Sauli, na mkongwe miongoni mwa watu.
Mkuu Quran imejibu maswali mengi ambayo Bible haina majibu. Mfano Bible haijaelezea ni miungu gani waliabudu kipindi cha Ibrahim, Quran imeelezea na juzi juzi hapa Iraq wamefukua fukua Mabaki ya Babylon na ku approve hio Miungu iliotajwa, How did Muhammad know?Kitabu chenyewe mshikaji alikopi story kwenye biblia halafu akatumia ulie mfano wa mbayuwayu za kusoma kwenye biblia changanya na zako.... Aakachanganya basi ndio book lenyewe. Hakuna utata kuwa kabla yake kitabu hicho hakikuwepo, Hakuna utata vilevile , wakati alipozaliwa aliwakuta wazee wake wanaabudu kwenye mawe na alipokuwa akienda safari za kibiashara na wajomba zake alikwenda kwenye mataifa ambayo tayari yalikuwa yanatumia biblia, alivyoibuka na kitabu chake ndio unakuta baadhi ya stori zinafanana kidogo ila ukiifuatilia mpaka mwisho inapotoshwa. Mfano historia ya ibrahim kutaka kumchinja mwanaye wa pekee isaka yeye akaibadilisha na kusema ni ishmail
Kama una Ushahidi Mkuu ulete, haya mambo yapo wazi ukigoogle dakika 1 unapata jibu.Hapa ndipo Waislamu wanaponiacha hoi!
Ukileta bible kaka mm nitaleta Qur'an.
Umeona tabu yake?
Na uyahudi ni kabila ama dini kaka?
Nakuletea.Leta maandiko ya Koran tusome kaka tumalize suala la Daudi. Tujue kama alikuwa myahudi au mpalestina.
Mi nimeshatoa andiko alikuwa myahudi.
Nakuletea.
Ila hujanijibu,unazungumzia uyahudi kabila ama dini?
Qur'an inatambua uyahudi ni dini.
Ngojea nikuletee ushahidi kuwa Suleyman alikua ni muislam.Na uislam kaurithi kwa babaye Daud.
Na ushahidi wa kuwa mpalestina siyo muisrael nakuletea.
Alikua ni mwana wa Israel aliyeitawala Palestina hakuwa myahudi.Nazungumzia kabila la daudi kaka. Tusiende kwanza kwa suleiman na uislamu. Tumalize suala la kabila ya daudi, je alikuwa myahudi au alikuwa mpalestina?
Alikua ni mwana wa Israel aliyeitawala Palestina hakuwa myahudi.
Alikua ni mwana wa Israel aliyeitawala Palestina hakuwa myahudi.Nazungumzia kabila la daudi kaka. Tusiende kwanza kwa suleiman na uislamu. Tumalize suala la kabila ya daudi, je alikuwa myahudi au alikuwa mpalestina?
Qur'an haikutaja kabila bro.Alitoka kabila gani? Toa andiko kaka
Alikua ni mwana wa Israel aliyeitawala Palestina hakuwa myahudi.
Qur'an haikutaja kabila bro.
Ila inaeleza kuwa Daud alipewa Taurat kuwaongoza wana wa israel na Suleyman ndiye akarithi hiyo kazi.
Na wana wa israel ni uzao wa Nabii Yakuub.
Ambae babaye ni Ishaq mtoto wa Ibrahim .