Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Nakuletea.
Ila hujanijibu,unazungumzia uyahudi kabila ama dini?
Qur'an inatambua uyahudi ni dini.
Ngojea nikuletee ushahidi kuwa Suleyman alikua ni muislam.Na uislam kaurithi kwa babaye Daud.
Na ushahidi wa kuwa muisraeli au mpalestina nitakuletea.

Unajuaje kwamba suleyman alikuwa ni muislamu
 
Suleiman hakuwa Mwana Israel?!
Sasa alikuwa Nani?!
 
Kajifunze vitu viwili kesha ndio uje ulete hoja.
1)Uislam ulikua ktk misingi ipi kabla ya kuja Muhammad.
2)Uislam ibada zake zilikuaje kabla ya kuja Muhammad.
Niongezee kuwa Kiongozi wa Waislamu kabla ya Muhammad alikuwa Nani? Na pia Waislamu Walikuwa wanakwenda kuhiji wapi kabla ya Hapo?
 
Aisee!
 
Kwa mujibu wa Qur'aan Ibrahim alikuwa Muislamu
Kwa mujibu wa Judaism Ibrahim hakuwa Muislamu
Kwa mujibu wa Ukiristo Ibrahim hakuwa Muislamu

Swali la nyongeza: Wayahudi was Leo Ambao ni uzao wa Ibrahim kupitia Yakobo wao nao Ni Waislamu?!
 
Mitume ya nyuma ndio ili viongozi wa uislam.
Hakukuwa na Ibada ya hijjah miaka ya nyuma.
Mitume ya nyuma walikua wana taratibu ya ibada tofauti na ya Muhammad.
Ila ya Muhammad ndio ikaja kufanywa timilifu.
 
Mpuuxi =[emoji735]
Mpuuzi =[emoji818]
Bado una mwandiko wa maslay queen halafu unasema umetembea [emoji706][emoji706]
 
Kwa mujibu wa Qur'aan Ibrahim alikuwa Muislamu
Kwa mujibu wa Judaism Ibrahim hakuwa Muislamu
Kwa mujibu wa Ukiristo Ibrahim hakuwa Muislamu

Swali la nyongeza: Wayahudi was Leo Ambao ni uzao wa Ibrahim kupitia Yakobo wao nao Ni Waislamu?!
Uyahudi ni Dini.

Hao wanao sema hakuwa Muislamu je alikuwa dini gani ?
 
Imani zingine bhana unaamini MUNGU yuko upande wa haki halafu unadanganya makusudi ili iweje kama kweli unamfuata MUNGU basi utasema ukweli regardless huo ukweli ni mchungu ama la.Ni ajabu sana unaposema eti uislam ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia huku ukihubiri unamwamini allah na Muhammad ni mtume wake(mohd ni muislam wa kwanza na khadija ni wa pili).
 
Mitume ya nyuma ndio ili viongozi wa uislam.
Hakukuwa na Ibada ya hijjah miaka ya nyuma.
Mitume ya nyuma walikua wana taratibu ya ibada tofauti na ya Muhammad.
Ila ya Muhammad ndio ikaja kufanywa timilifu.
Sawa nitajie jina la Kiongozi au Mtume wa Mwisho wa Waislamu kabla ya Muhammad?
Je Wayahudi nao Ni Waislamu?
 
So kwa waislam wote nawasihi kusoma histolia before hujadanganywa na viongozi wenu coz bila kujua na nyinyi mnaongozwa na mihemko kuliko akili
I'm a Christian lakini pia naomba nikukumbushe one fact in history ni kwamba; History is always written by the winners/ victors
So kila upande unaoandika historia, huwa unaandika au kusimulia masimulizi yanayoipendelea au yanayotimiza makusudio yao.
So usitegemee scholars wa Islamic faith watasimulia masimulizi yatakayoutukuza Ukristo, wala usitarajie Scholars wa Christianity watasimulia masimulizi au historia itakayoutukuza Uislam
 
Sawa nitajie jina la Kiongozi au Mtume wa Mwisho wa Waislamu kabla ya Muhammad?
Je Wayahudi nao Ni Waislamu?
wayahudi sio waislam.
Kwa mujibu wa mafundisho yetu wayahudi ni dini tofauti na waislam.
Mtume wa mwisho kabla ya Muhammad ni Issa ibn Maryam.
 
We embu acha contradictions.
Muhammad ni mtume wa zama hizi ndio maana sasa hv ili ukiri kuwa ww ni muislam ni lazima umkubali Allah na Muhammad ndio mtume wake.
Kila zama ililetewa mtume wake na sheria zake.
 
wayahudi sio waislam.
Kwa mujibu wa mafundisho yetu wayahudi ni dini tofauti na waislam.
Mtume wa mwisho kabla ya Muhammad ni Issa ibn Maryam.

Kwa mujibu wa mafundisho ya uislamu, Kati ya dini ya kiyahudi na dini ya kiislamu, ipi ilitangulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…