Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?




Haya maneno uliyoyanukuu ni maneno ya nani ??



Marko 13:1-2


Alipokuwa akitoka nje ya Hekalu, mmojawapo wa wanafunzi wake akamwambia, “Mwalimu, ona jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo maridadi!”
Yesu akamjibu, “Unayaona majengo haya yalivyo makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalobaki juu ya jingine, yote yatabomo lewa.”
 
Mkuu unakosa exposure na unakaririshwa madesa usiyojua.

Sijaona mkristo mwarabu anayekataa kwamba Allah hatajwi kwenye Biblia, na huwezi tumia neno Yehova kwa kiswahili ama Kingereza (lugha changa) na kutafsiri kwenda Kiarabu ama Aramaic (lugha Kongwe). Unatakiwa utafute Kopi za BiBlia za hizo Lugha.

Google neno Arabic Bible Genesis 1 uone Bible ya Kiarabu inamtaja Mungu kama Yehova ama ALLAH

Mfano hii Bible ya Coptic wa hapo misri

Unaliona kabisa neno Allah. Na hii Screenshot yake


Na hii ni kwenye Aramaic


Sasa kama yesu mwenyewe alikuwa ana preach kwa Kutumia Aramaic na tunakubali hii ndio lugha Ya Biblia na ukristo Ulishuka Middle east je Tutafute evidence za Biblia kutoka kiswahili ama lugha aliotumia Yesu mwenyewe?
 


Kama mnavyodanganywa Wakristo

The Lost City


The Gospels tell us that Jesus's home town was the 'City of Nazareth' ('polis Natzoree'):




The gospels do not tell us much about this 'city' – it has a synagogue, it can scare up a hostile crowd (prompting JC's famous "prophet rejected in his own land" quote), and it has a precipice – but the city status of Nazareth is clearly established, at least according to that source of nonsense called the Bible.


However when we look for historical confirmation of this hometown of a god – surprise, surprise! – no other source confirms that the place even existed in the 1st century AD.


 


Getting a Name


The expression 'Jesus of Nazareth' is actually a bad translation of the original Greek 'Jesous o Nazoraios' (see below). More accurately, we should speak of 'Jesus the Nazarene' where Nazarene has a meaning quite unrelated to a place name. But just what is that meaning and how did it get applied to a small village? The highly ambiguous Hebrew root of the name is NZR.


The 2nd century gnostic Gospel of Philip offers this explanation:




What we do know is that 'Nazarene' (or 'Nazorean') was originally the name of an early Jewish-Christian sect – a faction, or off-shoot, of the Essenes. They had no particular relation to a city of Nazareth. The root of their name may have been 'Truth' or it may have been the Hebrew noun 'netser' ('netzor'), meaning 'branch' or 'flower.' The plural of 'Netzor' becomes 'Netzoreem.' There is no mention of the Nazarenes in any of Paul's writings, although ironically, Paul is himself accused of being a Nazorean in Acts of the Apostles. The reference scarcely means that Paul was a resident of Nazareth (we all know the guy hails from Tarsus!).




The Nazorim emerged towards the end of the 1st century, after a curse had been placed on heretics in Jewish daily prayer.




The Nazarenes may have seen themselves as a 'branch from the stem of Jesse (the legendary King David's father)'. Certainly, they had their own early version of 'Matthew'. This lost text – the Gospel of the Nazarenes – can hardly be regarded as a 'Gospel of the inhabitants of Nazareth'!


It was the later Gospel of Matthew which started the deceit that the title 'Jesus the Nazorene' should in some manner relate to Nazareth, by quoting 'prophecy':




With this, Matthew closes his fable of Jesus's early years. Yet Matthew is misquoting – he would surely know that nowhere in Jewish prophetic literature is there any reference to a Nazarene. What is 'foretold' (or at least mentioned several times) in Old Testament scripture is the appearance of a Nazarite. For example:




Matthew
slyly substitutes one word for another. By replacing Nazarite ('he who vows to grow long hair and serve god') with a term which appears to imply 'resident of' he is able to fabricate a hometown link for his fictitious hero.


So how did the village get its name?


It seems that, along with the Nozerim, a related Jewish/Christian faction, the Evyonim – ‘the Poor’ (later to be called Ebionites) – emerged about the same time. According to Epiphanius (Bishop of Salamis , Cyprus, circa 370 AD) they arose from within the Nazarenes. They differed doctrinally from the original group in rejecting Paul and were 'Jews who pay honour to Christ as a just man...' They too, it seems, had their own prototype version of Matthew – ‘The Gospel to the Hebrews’. A name these sectaries chose for themselves was 'Keepers of the Covenant', in Hebrew Nozrei haBrit, whence Nosrim or Nazarene!


In other words, when it came to the crunch, the original Nazarenes split into two: those who tried to re-position themselves within the general tenets of Judaism ('Evyonim'-Nosrim); and those who rejected Judaism ('Christian'-Nosrim)


Now, we know that a group of 'priestly' families resettled an area in the Nazareth valley after their defeat in the Bar Kochbar War of 135 AD (see above). It seems highly probable that they were Evyonim-Nosrim and named their village 'Nazareth' or the village of 'The Poor' either because of self-pity or because doctrinally they made a virtue out of their poverty.


"Blessed are the Poor in spirit for theirs is the kingdom of Heaven."

– Matthew 5,3.


The writer of Matthew (re-writer of the proto-Matthew stories) heard of 'priestly' families moving to a place in Galilee which they had called 'Nazareth' – and decided to use the name of the new town for the hometown of his hero.
 
Mungu wa biblia kajitambulisha kwa JINA lake kwenye biblia takatifu

Kutoka : 6 : 2 - Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
6 : 3 - nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Kwenye Koran tukufu Mungu kajitambulisha kwa jina gani maana Allah ni neno la kiarabu likimaanisha Mungu na je huyo Mungu jina lake nani ili kumtofautisha na miungu wengine.
 
We embu acha contradictions.
Muhammad ni mtume wa zama hizi ndio maana sasa hv ili ukiri kuwa ww ni muislam ni lazima umkubali Allah na Muhammad ndio mtume wake.
Kila zama ililetewa mtume wake na sheria zake.
Unaposema uislam upo tangu kuumbwa kwa dunia na hapohapo ukidai Mohammad ni muislamu wa kwanza na bi khadija ni wa pili hujaona contradiction hapo?!
 
Unaposema uislam upo tangu kuumbwa kwa dunia na hapohapo ukidai Mohammad ni muislamu wa kwanza na bi khadija ni wa pili hujaona contradiction hapo?!
We nani kakudanganya Muhammad ni muislam wa kwanza?
Muislam wa kwanza toka dunia iumbwe au muislam wa Kwanza wa zama zake na ummah wake?
Na bi.Khadija ni mwanamke wa kwanza kusilimu ktk zama za Muhammad.
Kuwa wa kwanza darasani sio kuwa wa kwanza shule nzima.
 
Unaposema uislam upo tangu kuumbwa kwa dunia na hapohapo ukidai Mohammad ni muislamu wa kwanza na bi khadija ni wa pili hujaona contradiction hapo?!
MUNGU WETU HUTOFAUTISHWA KWA SIFA SIYO JINA.
SIFA AMBAZO WENGINE HAWANA NI ZAKE PEKEE.

Pia nina swali mkuu.
Mungu wenu Yehova ama Yesu?

 
MUNGU WETU HUTOFAUTISHWA KWA SIFA SIYO JINA.
SIFA AMBAZO WENGINE HAWANA NI ZAKE PEKEE.

Pia nina swali mkuu.
Mungu wenu Yehova ama Yesu?

View attachment 2101242

Kaka nyinyi mnaabudu msichokijua. Mungu wa kweli hawezi kukosa jina linalomtofautisha na miungu wengine.
Duniani kwa sasa kwa mfano kuna wahindi ambao wana miungu yenye majina kama brahma, shiva na krishna
Kwenye biblia kuna mungu wa wakaanani anaitwa baal, kuna mungu wa wafilisti anaitwa dagoni sasa inakuaje mungu wenu toka dunia iumbwe hajawahi kujitambulisha kwa jina lake na hata malaika wake hawana majina?

Mungu wetu jina lake yehova na ana mwanawe wa pekee jina lake ni kristo yesu.
 
Hunielewi na sijui kama utanielewa.
Ngojea nikueleweshe na nipinge madai yako.
Malaika wetu wana majina kama ISRAFIIL,JIBRIL,MIKAAIL,RAKIIBUN,ATIID,RIDHWAAN,MALAKUL MAWUT N.K N.K.
KWA KIARABU CHA KAWAIDA MUNGU ANAITWA ILAAHA.
ILA KIISTWILAAGHA ALLAH NI MUNGU WA KIISLAM KWA KIARABU.
HATA HAO MAQUREYSH WAABUDU MASANAM MUNGU ZAO WALIKUA WANAZIITA RABBI AMA ILAAHA.
ILA ALLAH NI JINA LA MUNGU WA KIISLAM MAANA YAKE MWENYEEZI MUNGU MUWEZA.
NITAJIE MUNGU YUPI ANAYEITWA MWENYEZI MUNGU MUWEZA ZAIDI YA ALLAH KTK DINI ZINGINE!?
Halafu mbona madhehebu yenu mengine yanasema Yesu ni Mungu alokuja kwa umbile la mwanadamu?
Halafu Mungu kuwa na mtoto huoni anavunja upekee kisifa?Yani anakua na sifa sawa na viumbe alivyoviumba?
 
Cha kuongezea.
Sifa za Mwenyeezi Mungu zipo kwake pekee
hazipo kwa miungu mengine.
 

Luka : 1 : 19 - Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari

Kaka malaika Gabrieli kajitambulisha kwa zakaria hapo, vipi kwenye koran malaika wamejitambulisha hivyo pia?

Kuhusu Yesu anaitwa Mungu kwa kuwa karithi hilo jina kutoka kwa babake. Ni kama wewe nikikuita kwa jina la babako kutakuwa na kosa?

Kuhusu jina la mungu wa waislamu nimegundua kwamba hana jina linalomtambulisha, hajulikani!
 
KAKA NIMEGUNDUA WW MBISHANI.
NIMEKUULIZA UMEONA WAPI AU DINI GANI INATUMIA NENO MWENYEZI MUNGU!?
BRO ACHA UBISHANI NIMEKUELEZA KILA KITU MUNGU WA UISLAM ANAJULIKANAJE.
HAYO KUSEMA HAJULIKANI NI JUU YAKO NA AKILI ZAKO.

TWENDE KWA MALAIKA KUJITAMBULISHA

Katika dini yetu malaika hujitambulisha kama wajumbe wa Mungu.

Cha mwisho nimekuuliza HUONI KAMA MUNGU WENU KAVUNJA UPEKEE KWA KUWA NA SIFA SAWA NA VIUMBE ALIVYOVIUMBA(KWA KUWA NA MTOTO)!?

 

Kaka asante, sijaona jina la malaika hapo ?
 
Wakuu nina anajua lilipokuwa limejengwa hekalu la mfalme suleiman?
 
MUNGU WETU HUTOFAUTISHWA KWA SIFA SIYO JINA.
SIFA AMBAZO WENGINE HAWANA NI ZAKE PEKEE.

Pia nina swali mkuu.
Mungu wenu Yehova ama Yesu?

View attachment 2101242
Acha ku-contradict jibu swali,mohd ni wa kwanza kusilimu na khadija wa pili unaposema uislam upo tangu mwanzo wa dunia una maana huyo mohd na khadija ni wa kwanza kuumbwa?
 
Haha nyie kweli vilaza.
 
Acha ku-contradict jibu swali,mohd ni wa kwanza kusilimu na khadija wa pili unaposema uislam upo tangu mwanzo wa dunia una maana huyo mohd na khadija ni wa kwanza kuumbwa?
SIJA CONTRADICT WW NDIYE UNAYEKAZA FUVU.
ACHA KULAZIMISHA UNACHOAMINI KIWE.
NARUDIA,MUHAMMAD NI MUISLAM WA KWANZA KATIKA ZAMA ZAKE NA BI.KHADIJA NI MWANAMKE WA KWANZA KUSILIMU KTK ZAMA ZA MTUME MUHAMMAD(S.A.W) KWA MUJIBU WA SIRAH.
AYA WEWE UNAPINGA KWA MUJIBU WA NINI??
MANASWARA BHANA!
 
Haha nyie kweli vilaza.
Kilaza ni wewe unayebeba nukuu pasi na kufuatilia.
Muislam wa kwanza kwa mujibu gani?
Hilo ndilo la Muhimu.
Hata Nabii.Mussa alikua muislam wa kwanza kwa mujibu wa zama na umma wake aliotumwa kuulingania.
Sijui unaelewa au unaleta ujinga wa kulazimisha hoja uiaminiyo!?
Ndiyo maana nikakupa mfano ili uelewe kuwa wa kwanza darasani haimaanishi we ndiye wa kwanza shule nzima.
 
Kaka asante, sijaona jina la malaika hapo ?
Qur'an hainukuliwi bila kuichambua mkuu.
Hizo ayah ni mushahabihaat kuanzia ayah ya 5 kuja mpk hapo.
Na nimekueleza MALAIKA WA ALLAH HUJITAMBULISHA KAMA WAJUMBE WA MWENYEZI MUNGU.
Huyo ni Jibril alitumwa aje kumpa ubashiri Bi.maryam kuwa atampata mtoto ambaye ni Issa.
Unukuu wa biblia na Qur'an ni tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…