Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Sisi waisilamu tupo restrictive sana kwenye historia yetu na vitabu vyetu.

Kuna mamia ya mamilioni ya watu wamehifadhi Quran na vitabu muhimu vya dini kama Vya Hadithi za mtume.

Hivyo inahitajika kuja na ushahidi wa maana kusema tunadanganya.
Jamaa kaja na ushahidi wa maandiko na historia Mkuu.
Mfano, unapoambiwa ukifa sijui shahidi (japo ni shahidi wa kuua wengine) unakwenda peponi na unapewa mabikra 7 unaamini ni kweli mkuu?
 
Jamaa kaja na ushahidi wa maandiko na historia Mkuu.
Mfano, unapoambiwa ukifa sijui shahidi (japo ni shahidi wa kuua wengine) unakwenda peponi na unapewa mabikra 7 unaamini ni kweli mkuu?
Ushahidi gani? Wewe kusema unapewa mabikra saba si ushahidi unatakiwa quote Quran ama scholar mkubwa ama hadith ambayo ni sahihi. Kama huna hivyo huo si ushahidi bali ni porojo kama porojo nyengine.
 
Prediction zipi hizo ziweke hapa
 
Alikua ni mwana wa Israel aliyeitawala Palestina hakuwa myahudi.
Acha uzushi Mzee,Daudi alikuwa myahudi au mwebrania wa kabila la Yuda , na Hadi Leo archeologist wamechimbua mji wa Daudi upo pale Israel ,una historia nyingi na mabaki yanayothibitisha
 
Quran si mnasema Ina kila majibu ?
 
Swali anarejeaje kwa vitabu mnavyosema vimebadilishwa?
 
Prediction zipi hizo ziweke hapa
Zipo kibao zitafute mwenyewe, ila mfano dhahiri ni wa Byzantine vs Persia vita


Baada ya Byzantine kupigwa na Syria Quran ika predict within 9 years Byzantine watampiga Persia na utabiri ukawa kweli.
 
Yaani nimegundua ili uwe Muislam,lazima uamue kujivua akili zake na kujivika upumbavu.Yaani lazimanuamue kujidunga nusukaputi.
Historia ipo wazi, archeologist wamechimbua ,kila kitu hapo Yerusalemu kipo wazi , Hadi Rumi walivyovamia mwaka 70AD Kila kitu kipo

Lakini waislamu wanafosi uongo
 
Niwekee Aya kwa Quran alivyotabiri hivo
 
Historia ipo wazi ,vitabu vipo wazi vya historia ,

Archeologist wamechimbua mji wa Daudi ,Kuna ushahidi mwingi

Historia ipo wazi sana aisee, kwa hiyo mtu akisema Uislamu ulikuwepo kabla ya Muhammad,mara kina Daudi ,Suleiman walikuwa islamu mnafanya wenye akili timamu waone dini yenu ya kimagumashi sana

Mfano angalia kuhusu mji wa Daudi

Mji wa Daudi ni eneo la kale kusini mwa Mlima Moria, likiwa sehemu ya Yerusalemu ya kwanza. Ugunduzi wa mabaki kama Chemchemi ya Gihon na mahandaki umeonyesha ustaarabu wa kifalme na kidini wa Israeli.

Kimaandiko: Daudi aliteka mji kutoka kwa Wayebusi, akaifanya makao yake na kuleta Sanduku la Agano (2 Samweli 5:6-9; 6:12-17). Ni mahali pa asili ya ukoo wa kifalme wa Daudi na unabii wa Masihi (2 Samweli 7:12-16).


Handaki la Hezekia

Kiaikolojia: Handaki hili lenye urefu wa mita 533 lilichimbwa wakati wa Mfalme Hezekia (karne ya 8 KK) ili kuelekeza maji kutoka Chemchemi ya Gihon hadi Bwawa la Siloamu ndani ya mji kwa ulinzi dhidi ya maadui. Maandishi ya Siloamu ndani yake yanathibitisha ujenzi wake.

Kimaandiko: Biblia inaeleza jinsi Hezekia alivyojenga handaki hili kuwalinda watu wake wakati wa uvamizi wa Ashuru (2 Wafalme 20:20; 2 Mambo ya Nyakati 32:2-4). Bwawa la Siloamu lilihusishwa na miujiza ya Yesu (Yohana 9:1-11).
 
Haya maswali ni konki ,hata asiye muislamu akienda kufatilia atajua amepigwa changa la macho ,

Ni maswali yatakayomfungua muislamu ajue dini yake ni ya kupangwa

Imejengwa bila msingi thabiti
 
Umejibu bla blaa sana ,umeripuaripua sana,
 
Wewe jamaa maswali yako yanafungua ubongo wa mtu aliyedanganywa

Kifupi Unajua kujenga hoja na maswali yako ni ya kumfungua mtu aliyedanganywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…