Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Hadithi 855 UK 57 ndo nini? Ama Sababu kuna quran unafkiri kuna kitabu kinaitwa Hadithi?
 
Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye
 
uislsmu umekuja mwaka 600AD, sayansi ipo before uislamu... leo unadanganya, unapozungumzia ELIMU dunia, uislamu upo nyuma sana

The word alchemy comes from Old French alquemie, alkimie, used in Medieval Latin as alchymia.

View attachment 1760582
Alchemy inatokana na Neno la kiarabu kīmiyāʾ, ndo maana mpaka leo kiswahili Inaitwa Kemia, ambalo Hilo Neno lake linatokana na Neno la Ki Egpty Khemi linalomaanisha Black/nyeusi


Na mkuu nati zimelegea kichwani? Neno Alchemy zinahusiana nini na picha ulizo weka?
 
Hapa ndipo Mwamedi Mbakaji wa Mtoto Aisha anapozidi kuuchanganya huu umma wake

Wallah Mudy anachekesha sana.
 
Mwamedi wa Mecca alihimiza watu wasimcheke pale alipojamba

SAHIH BUKHARI 8 : 73: 68


 
WACHA MUNGU TANGU KUUMBWA KWA ULIMWENGU WANAITWA ISRAELI NA SIYO WAISLAMU USHAHIDI HUU HAPA
SWALI :
LETE ANDIKO NDANI YA Quran ama Biblia wacha Mungu Mungu tangu kuumbwa ulimwengu wanaitwa Waislamu badala ya Israeli

Quran 2:40-41
40. Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo kuneemesheni, na timizeni ahadi yangu, na Mimi nitatimiza ahadi yenu, na niogopeni Mimi tu.
41. Na aminini niliyo yateremsha ambayo yanasadikisha mliyo nayo, wala msiwe wa kwanza kuyakataa. Wala msiuze Ishara zangu kwa thamani ndogo. Na niogopeni Mimi tu.
Ufafanuzi ya NENO ISRAELI NDANI YA QUR-AN YA WAISLAMU
ISRAILI MAANA YAKE NI
Sultani wa Mungu
Mpiganaji wa Mungu
Askari wa Mungu
Yakobo mwenyewe anaitwa Israeli mwanzo 32:28
Wazao wake wanaitwa Israeli
Kwa HIYO :ISRAELI MAANA YAKE MTU AU WATU WANAOMCHA MUNGU WA KWELI HUITWA ISRAELI POPOTE DUNIANI ( SOMA QURAN YAKO UTAELEWA)

 
Hapa hujaonyesha uongo wa mtume,sababu kurogwa kwa mtume na kupewa sumu ni katika mitihani waliyokuwa wanapewa mitume,nabii Ayubu alipewa mtihani wa maradhi,nabii Yusufu alipewa mtihani wa kufitiniwa na ndugu zake,nabii Ibrahimu kadhalika siyo kwamba Mola hakuweza kuwaokoa la hasha.

Lakini swali la kujiulza je kweli tende hizo siyo kinga ? Jibu ni kinyume chake,kwamba watu wanazila na wanaepushwa na uchawi na hizo sumu. Kwahiyo bado hujaonyesha uongo wa Mtume na hujakosoa hizo hadithi kielimu zaidi ya kuthibitisha ya kuwa huna elimu juu ya mambo haya.
 
MTUME AU NABII AU MTUSHI WA MUNGU HAWEZI KUROGWA USHAHIDI HUU HAPA LAKINI MUHAMMAD ALIROGWA AKAWA HAJUI AYA ZIPI ZILITOKA KWA ALLAH WENU NA ZIPI ZINATOKANA NA NGUVU ZA UCHAWI KATI YA SURA YA 1 HADI 114 MUHAMMAD HAJUI IPI AYA NI YA ALLAH NA IPI NI YA UCHAWI USHAHIDI HUU HAPA ABDULLAH SALEH AL-FARSY UKRASA 977 CHAPA YA NANE PAMOJA NA HADITHI YA SAHIH AL-BUKHARI NAMBA JUMA ALLY MAYUNGA

KWANZA ALLAH ALIDANGANYA KUWA MUHAMMAD HATAROGWA LAKINI MUHAMMAD ALIROGWA VIBAYA NA ALIATHIRIKA NA NGUVU ZA UCHAWI MPAKA KUFA KWAKE
REJEA HII AYA
Quran 15:42(Allah akasema ) Hakika waja wangu, wewe shetani hutakuwa na mamlaka juu yao, isipo kuwa wale wapotofu walio kufuata
 
NJOO TENA HAPA MUHAMMAD SWT BAADA YA KUROGWA ALICHANGANYIKIWA AKAWA ANAITA OVYO OVYO
Anasema Mwana Aisha Mkewe Mtume (r.a) kuwa:"Yahudi mmoja aitwaye Labiid bin Al'aanswam alimroga Mtume (s.a.w) ikawa Mtume baadhi ya nyakati huchanganyikiwa akiita ovyo ovyo." (Sahih Muslim,Juzuu ya 4,uk.38-39)

REJEA TENA HAPA ALLAH ALIPOZIDIWA UJUZI NA HUYU MYAHUDI AKATAREMSHA AYA HII HAPA

Quran 5:51. Enyi mlio amini! Waislamu Msiwafanye #Mayahudi na #Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu

REJEA TENA HAPA MUHAMMAD ALISEMA NIMEKUWA MWENDAWAZIMU
Quran 15: 6. Na walisema: Ewe Muhammad uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe Muhammad ni mwendawazimu. REJEA HADITHI INASEMA HIVI
Muhammad akisema: O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu. "Kitab al-Tabaqat al-Kabir", (Kitabu cha Madarasa Meja), na Ibn Sad, kutafsiriwa na S. Moinal Haq, [4], ukurasa wa 225.
 
Nani amekwambia kwamba mitume hawakutahiniwa ? Suala la kurogwa hilo linajulikana na maelezo yake nimekupa.

Tena nikakutolea mifano kadha wa kadha,mpaka nabii Issa ambaye kuna watu wana dai ya kuwa ni Mungu alitahiniwa,sasa utajiuliza tu mwenyewe kwa nyinyi mnao dai alisulubiwa vipi Mungu asulubiwe tena ? Sasa usihoji mambo kiupofu na kulazimisha uongo uwe ukweli,hapa hakuna nafasi hiyo.
 
Naona unarudia kosa lile lile.
 
nabii gani alirogwa zaid ya mudy ?
 
nabii gani alirogwa zaid ya mudy ?
Kurogwa ni mtihani au si mtihani ? Nani alikwambia kwamba mitume hawatahiniwi na Mola wao ? Kupigwa kwa mitume na kuuliwa,je ule ni udhaifu au ? Au unadhani kwamba Mola wetu hakuweza kufanya mambo yakawa kinyume ?

Sijaona mwingine aliye rogwa.
 
Kurogwa ni mtihani au si mtihani ? Nani alikwambia kwamba mitume hawatahiniwi na Mola wao ? Kupigwa kwa mitume na kuuliwa,je ule ni udhaifu au ? Au unadhani kwamba Mola wetu hakuweza kufanya mambo yakawa kinyume ?

Sijaona mwingine aliye rogwa.
UKIONWA UNAROGWA WEWE NI DHAIFU KTK IMANI

NDIO MAANA HAKUNA NABII WA MUNGU AU MTUME ALIYEROGWA

NI DHAHIRI MUHAMMAD NI NABII WA UONGO

Hes 23:23​



Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!
 
Baba wa Imani unasema alikuwa Dini gani tena!? Hivi unajua Uislam ulianza lini duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…