Nasema hivi hakuna nabii wala Mtume wa Mola ambaye hakuwa Muislamu,anzia kwa nabii Nuhu.Baba wa Imani unasema alikuwa Dini gani tena!? Hivi unajua Uislam ulianza lini duniani?
Hivi Suleiman na msikiti wapi na wapi?kosa ni uislamu kudanganya watu, kuwa suleimani alijenga msikiti... ili kudanganya umma, uislamu ulikuwepo before 600AD
Mkuu hapa hawa waislamu ndio nawashangaa sana! Baba wa Imani alikuwa wa dini ya Kiyahudi. Uislamu umeanza kwa Mohamed labda na hapo wabishe.Baba wa Imani unasema alikuwa Dini gani tena!? Hivi unajua Uislam ulianza lini duniani?
Toa ushahidi kuwa Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu na sio Myahudi.Nasema hivi hakuna nabii wala Mtume wa Mola ambaye hakuwa Muislamu,anzia kwa nabii Nuhu.
Wote walikuwa Waislamu,kuna mwenzako anasema nabii Ibrahimu alikuwa Myahudi,nikamuomba ushahidi naona ametokomea,na wewe utaniambia nabii Ibrahimu alikuwa dini gani ?
Allah anasema katika Qur'aan :Toa ushahidi kuwa Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu na sio Myahudi.
Au nyie waislamu ni wayahudi basi.
na wewe una prove vp kwamba adam na eva ni waislam ?Kama unakataa Adam na Eva walikuwa sio waislamu, bila Shaka unayo majibu walikuwa watu wa dini tofauti ebu tumbie walikuwa wa dini gani?
Vipi kuhusu kuvalishwa diaper na kutandikwa msalabani we mfuasi wa Brian Deacon? Umeenda kuliomba sanamu la Brian Deacon au picha yake leo?UKIONWA UNAROGWA WEWE NI DHAIFU KTK IMANI
NDIO MAANA HAKUNA NABII WA MUNGU AU MTUME ALIYEROGWA
NI DHAHIRI MUHAMMAD NI NABII WA UONGO
Hes 23:23
Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!
kwan kweny bible hakuna vitu vikivotabiriwa na vinatokea kweli?Kwenye Quran na sunnah kwa ujumla kuna mamia ya vitu vimekuwa predicted ama kuelezewa ambavyo ni karibuni tu vimekuja kuthibitika kama ni kweli kama vile
1. Nyuki Ana matumbo mawili
2. Siafu wanaongea
3.bing bang theory
4. Expansion of universe
5.Embryology
6.fingerprints etc
Kuna mamia ya vitu yameelezewa miaka 1400 iliopita.
Nielezee mkuu walijuaje?
Yes ninayo kutoka katika Quran ambayo inakubali kuwa Adam na mkewe walikuwa waumini kamili wa Uislamu , swali unaweza kuprove kuwa Adam na Eva walikuwa watu wa dini nyingine?na wewe una prove vp kwamba adam na eva ni waislam ?
naamin hapakua na dini yoyoteYes ninayo kutoka katika Quran ambayo inakubali kuwa Adam na mkewe walikuwa waumini kamili wa Uislamu , swali unaweza kuprove kuwa Adam na Eva walikuwa watu wa dini nyingine?
Mkuu sisi waisilamu hatukatai Taurat, INjil na zaburi havikuwepo, Katika Nguzo za imani za uislamu ni lazima uamini Hilo. Waisilamu wengi point yetu kuhusu Bible ni kwamba imechakachuliwa mpaka kukosa uhalisia wake (kufuata matamanio ya watu)kwan kweny bible hakuna vitu vikivotabiriwa na vinatokea kweli?
Kwenye uislamu hakuna kitu kama kutokua na dini, binadamu wote wana dini,naamin hapakua na dini yoyote
Mpagani ni mtu asiye na imani yeyote ya DINI(kamusi ya kiswahiliii ) , kwahiyo unatuthibitishia kuwa wakina Adam walikuwa wapagani?naamin hapakua na dini yoyote
Tatizo linaanzia hapa, Allah anasema na kumbukeni, maana yake nini? Wakumbuke kutoka kwenye maandiko au simulizi. Kama ni hivyo ni maandiko yapi?Allah anasema katika Qur'aan :
127. Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.
128. Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
129. Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
130. Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.
131. Na Mola wake Mlezi alipo mwambia: Silimu, Nyenyekea! Alinena: Nimesilimu, nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu wote.
132. Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.
133. Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake. (al-Baqarah : 127 - 133)
Akasema tena katika sura ya 3 ndani ya Qur'aan :
67. Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina. (al-Imraan : 67)
dini ya zamani kuliko dini zote ni hinduism according to records...na ukitumia hata logic kuchek na kutafakari sheria zao unaweza ona iko more perfect kuliko hata dini zetu hizi mbiliMpagani ni mtu asiye na imani yeyote ya DINI(kamusi ya kiswahiliii ) , kwahiyo unatuthibitishia kuwa wakina Adam walikuwa wapagani?
Mbona unajibu kitu ambacho sijakuuliza Mzee, ebu Jikite kwenye mambo ulioulizwa, Acha kuchafua maongezi, swali langu lipo wazi nijibudini ya zamani kuliko dini zote ni hinduism according to records...na ukitumia hata logic kuchek na kutafakari sheria zao unaweza ona iko more perfect kuliko hata dini zetu hizi mbili
Dini ni fupa gumu alilotupiwa mwafrika apambane nalo huku wenye dimi hizo wakiiba mali za mwafrika.Dini dini dini ni pasua
Hapo anafunuliwa habari za zamani Mtume wa Allah kuhusu mitume na manabii waliopita. Unafikiri angezipata vipi habari za uhakika bila kufunuliwa na Mola wake mwenye kujua na mjuzi wa kudhibiti mambo kipindi ambacho maandiko yalikuwa yanepotoshwa na kusahaulika ?Tatizo linaanzia hapa, Allah anasema na kumbukeni, maana yake nini? Wakumbuke kutoka kwenye maandiko au simulizi. Kama ni hivyo ni maandiko yapi?
Tatizo liko pale pale. Allah anasema 'na kumbukeni', Allah anamkumbusha mtume au mtume anaukumbusha umma!?Hapo anafunuliwa habari za zamani Mtume wa Allah kuhusu mitume na manabii waliopita. Unafikiri angezipata vipi habari za uhakika bila kufunuliwa na Mola wake mwenye kujua na mjuzi wa kudhibiti mambo kipindi ambacho maandiko yalikuwa yanepotoshwa na kusahaulika ?
Hapo tatizo unalo wewe na hakuna tatizo hapo.