Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Kuna uhausiano kati ya Roman Catholic kule Vatican na hizi familia 13?
Kama upo, uliaanza je na nini faida ya wahusika wote hao?

swali muhimu sana mkuu.Kwa kuanzia tu umewahi kuwasikia "the knights of Malta"?Hapo ndipo Vatican ilipo na connections nyingi na familia hizi na kuna list ya watu ambao ni knights of Malta ukitajiwa hapa utaachama mdomo wazi!
 
swali muhimu sana mkuu.Kwa kuanzia tu umewahi kuwasikia "the knights of Malta"?Hapo ndipo Vatican ilipo na connections nyingi na familia hizi na kuna list ya watu ambao ni knights of Malta ukitajiwa hapa utaachama mdomo wazi!

Nakuona hapo juve2012, usiondoke bila kujibu swali langu tafadhari!
 
swali muhimu sana mkuu.Kwa kuanzia tu umewahi kuwasikia "the knights of Malta"?Hapo ndipo Vatican ilipo na connections nyingi na familia hizi na kuna list ya watu ambao ni knights of Malta ukitajiwa hapa utaachama mdomo wazi!

naona kama pana utamu hapa hebu tudadavulie tafadhali mkuu Juve2012.
 
For those who are interested with the Vatican issues,there is this cardinal Bea's story circulating around the world for quite sometimes now(since 60's if i remember well) about "HOW THE VATICAN CREATED MOHAMMED AND ISLAM".Just google that and read,i can't write it here.How do you see that?please let's share some views.
 
Duuuuh!!! mimi hapo mchanga ciwawezz magreat.......ni bora nirud school nikajipange upya..

Na unaambiwa the knowledge we are tought at school is somehow fake.real knowledge is kept secret.....hayo mambo acha tuu,ukiyafuatilia sana unaweza ukatamani kufa uiache dunia na majanga yake.
 
Ndugu zangu mbona hamleti jibu jamani?niliwapa kahome work sijui mmekasahau?niliwaomba mgeuze neno "illuminati"kinyume.Kwa kifupi linakuwa "itanimulli",sivyo?sasa bonya hiyo itanimulli.com!nini kinafunguka jamani?

nimekubali mjomba duh haya ngoja nichanganye akili hapa, itanimulli.com = ................... duh
 
Nimejaribu kupost hii kitu mahala fulani naona inagoma

"Illuminati geuza isomeke itanimulli zen ingia google search hilo neno uliloligeuza kwa kuongeza .com yaani "www.itanimulli.com" kinachotokea ni kukudirect kwenye NSA website

Hii kitu inamaana gani, je ni wao wenyewe NSA ndio wamefanya haya? Kama ni ndio kwanini walichagua neno ILLUMINATI na sio mengineyo? Au wamefanya haya ili kuendelea kutupotezea muda kujadili mambo yenye mikanganyiko isiyoisha? Kama si wao NSA walioredirect je ni nani? Na je kwanini wameendelea kuacha iwe hivyo?"
 

ExxonMobil wamekuja kuwekeza kwenye oil and gas Tanzania.Tunakaribisha manguli hawa wazito duniani huku hata sera yetu ya mafuta ikiwa haieleweki ipo au haipo.Tumewaleta Rockefellers,Bush(Barrick),Statoil,Halliburton n.k huku hata wataalamu wetu wakiwa hawajaandaliwa.Jamani hebu nendeni mkachunguze profile za makampuni hayo duniani halafu mjiulize,how come tunawaleta kwenye kanchi ketu haka,wakubwa hawa wanaoiendesha hata serikali ya marekani huku tukiwa hatuna sera wala utaalam wa kuchimba mafuta na gas?!ni negligence na ufisadi wa 10% wa viongozi wetu kweli au wanajua wanachokifanya,kwamba the driving force kwao ni hidden agenda na huu wimbo wa uwekezaji ni kutupeleka malikiti tu?jiulizeni sana kama nchi hii bado ya kwetu tukiwa na viongozi wa aina hii!ndio maana nikasema mahala fulani kwenye huu uzi ogopa sana kumpa uongozi mtu mwenye background za foreign affairs,international relations e.t.c Utauza nchi bila kujijua!
 

Mkuu,haya mambo sio mchezo. So,vatican haita rest mpaka waipate jerusalem for pope. Kuna filamu niliwahi kuona nikiwa mdogo,jamaa walikuwa wanaingia nyumba kwa nyumba na kupekua kutafuta biblia na kuzichoma. Kuna mtu mmoja aliweza kubaki na nakala moja. Sikumbuki jina la ile filamu. Ni hatari aisee
 

ndio hivyo kaka.Ukitaka kujua undani wa hayo fuatilia historia ya kanisa enzi za dark ages wakati ule watu wananunua msamaha wa Mungu kwa kulipia pesa kanisani.Tumetoka mbali na tunarudishwa tena huko huko.Malaika Hallel(shetani) yuko ndani ya religious system nzima ya dunia hii na he operates from there!The whole system is corrupt.Hakuna cha ukatoliki,ulutheri,ubaptist,uanglikana,upresbiterian,uorthodox,ulokole,usabato,uislam wala unini!ila cha ajabu watu wa Mungu watatoka humo humo kwenye corrupt system!Wataelewa taratibu na kujitoa na kuanzisha network zisizo rasmi ambazo itakuwa ngumu kufuatiliwa na kuchafuliwa na maajenti wa Hallel na mfumo huo wa kujichuja toka kwenye taasisi utasababisha wanaofanya hivyo kuwa ni wale tu walio serious kweli kumtafuta Mungu na ukweli wake.Hebu kaa kanisani halafu niambie ni mara ngapi unasikia biblia ikisomwa intensively!kaa msikitini uniambie how many times watu wanaquote aya za quran zaidi ya kupiga soga na hadithi za kutunga na hate speeches?yaani imefika mahali hivi sasa ukitaka kuhukumu dini kwa kutazama sera na taratibu za taasisi za dini na matendo na mahubiri ya waumini wake utapotoshwa kabisa maana taasisi na waumini wako nje kabisa ya dini zenyewe.Ukitaka kuujua ukristo soma biblia,uyahudi soma Torah na talmud,uislam soma quran na uhindu soma vedas manake ukitaka kujua toka kwa waumini utapotoka kabisaa.Hawafanani nazo wala hawaamini vitabu vyao!the next move naona wataviharibu na vyenyewe,"kuvirekebisha" viendane na mazingira yao tena kwa biblia na quran hilo lilishaanza.Kuna version feki kibao!Cha ajabu jinsi Mungu alivyo na powerful influence hivi vitabu hata wakivichafua bado mtu akisoma anapata intro ambayo inamuelekeza kujua zaidi na hapo ndio hutafuta mengineyo na kuanza kugundua ukweli halisi.Kwa hiyo Mungu ni kama ameruhusu hii corruption ili kuwe na initiations au ngazi za kuufunua ukweli na ni wale watakaokuwa na nia thabiti tu ndio watakokuwa initiated ngazi hadi ngazi kwa kutegemea juhudi yako.it's just like masonic degrees,illuminati pyramid au madarasa ya elimu!humo humo kwenye uasi wao bado wanatekeleza kazi za Mungu bila kuelewa ha ha haa!Mungu ni mwanasiasa wa kiwango cha juu sana aisee!yaani hata ufanye kosa,yeye atalitumia kosa hilo hilo kuonyesha wema ulipo na ulivyo.Complicated philosophy isn't it?I'm very proud to serve such a genius God!anyway,ukijitazama ulivyoumbwa unapata ka-intro kidogo juu ya intelligence iliyokuumba labda uwe hujijui lakini kwa wale waliopata kutoa tongotongo kwenye sayansi kidogo tu,it's very interesting!nashangaa kusikia eti kuna wanasayansi wasioamini Mungu,wakati wengine tukisoma mambo ya sayansi tunaanza kuona presence ya Mungu kabisa!tafuta kitabu cha padre mmoja anaitwa Malachi Martin,"Keys of this blood",nadhani kuna mahali kipo online.
 

Hujatulia lol
 

Movie uliyoiangalia kama si zamani usemavyo ni book of eli which is recently,which have same idea as u say
 
Movie uliyoiangalia kama si zamani usemavyo ni book of eli which is recently,which have same idea as u say

may be, but as far as i remember,it was between 1998 to 2002 nadhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…