Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani


yani mkuu tedo akimsikiaga huyo mama wakisababato lazima alianzishe.
Haijalishi kinachoongelewa mmh
 
Ndugu zangu mbona hamleti jibu jamani?niliwapa kahome work sijui mmekasahau?niliwaomba mgeuze neno "illuminati"kinyume.Kwa kifupi linakuwa "itanimulli",sivyo?sasa bonya hiyo itanimulli.com!nini kinafunguka jamani?

C l A au national security ya marekani
 
yani mkuu tedo akimsikiaga huyo mama wakisababato lazima alianzishe.
Haijalishi kinachoongelewa mmh

hana free mind hataki kujifunza juu ambayo wenzie pia wanaweza msaidia akaongeza ufahamu wa kile anachokifahamu kifupi hana jipya analohitaji kujifunza
 
Hawa jamaa ndo waliojenda UDSM nilimsikia lecturer watu siku moja akisema darasani.
Walikua na mpango wa kukifanya chuo kikuu bora kbs lakini sijui ilikuaje wakaondosha udhamini.

Swali hawa jamaa wana mahusiano na label ya Jay z rocka feller?
 


Mkuu kiranga huoni unajichanganya hapa? Kwanza umekataa kuwa hakuna mtu aliyeweza kufikisha net worth ya 100 lakini link hiyo uloiweka inatambua hivyo.
 
Mkuu kiranga huoni unajichanganya hapa? Kwanza umekataa kuwa hakuna mtu aliyeweza kufikisha net worth ya 100 lakini link hiyo uloiweka inatambua hivyo.

Umesoma post yangu ya kwanza?

Ukisoma The Wall Street Journal hawakuambii so and so is the largest bank, lazima wakwambie by asset, by market share etc.

Rockefeller family ina, ilikuwa, ina zilizokuwa na sawa za sasa, au vipi?

Nikisema Mansa Musa is the richest man in history, that statement is confusing, because despite of driving inflationnin Cairo for ten years by his golden alms, he is no longer living.

Kuna tofauti ya Rockefeller kuwa na USD bilioni 663 in 2007 na kuwa na hela hizo zamani karne zilizopita, hela ambazo kwa thamani ya dola za 2007 ni bilioni 663.

I am affaid the difference is lost on some.
 

CTU ume2danganya... Hakuna list kama hyo bana. Gates, Buffet wapo juu kama kawaida.
 



Hawa ni JESUITS kwa ndani Lkn kwa nje ni ROCKAFELLER wakidanganya ili wasijulikane Km ni mawakala kutoka VATICAN.
 
mkuu lete vitu wanaJF tuwe tunapost vitamu kama hivi nimeipenda wanaxemaga maada cjui mada lakn ndo vo vo bwana C.T.U si urudi tenaahaaa.NDANI YA MJENGO WA WHITE HOUSE HUMU JF.!
 
kwa muda wa miaka kumi nimekuwa nikifanya research kuhusu familia inayojulikana kwa jina la ROCKAFELLERS KWA UJUMLA
Mkuu C.T.U hongera sana kwa mada hii nzuri. Uliposema kwa muda wa miaka kumi umefanya research ya Rockafellers family, ila ukaishia ku copy na ku paste na pia kutafsiri machapisho mbalimbali kama yalivyo bila kutoa references, nadhani hujaitendea haki hiyo miaka kumi ya utafiti wako!!! Lakini kama Kiranga aulizavyo, nadhani hizo figures ziko imaginary sana, sijui wamehesabu vipi.
N.B: Ingekuwa vizuri ungeweka na references zako kwa machapisho mbalimbali uliyosoma, maana mengine yanaonesha yana reference numbers zikiwa kwenye super script ila bahati mbaya hatujawekewa.
 
Last edited by a moderator:
Hawa ni JESUITS kwa ndani Lkn kwa nje ni ROCKAFELLER wakidanganya ili wasijulikane Km ni mawakala kutoka VATICAN.

Mkuu,kudai tu hawa watu ni mawakala wa Vatican naona unawashushia hadhi kabisa,Vatican ni ka ishu kadogo sana kwenye mpango wa hawa watu,hawa watu ni hatari sana tena ni hatari kubwa sana,kuamini kuwa ishu nzima inaishia Vatican nakuona kama unajua kidogo sana mkuu .....

Hii mijitu ni hatari sana mkuu .....!!
 



Ni kweli mkuu Hii mijitu ni hatari sn Lkn kukomea kwangu Vatican nilikua na maana kwamba huko ndiko Oder zinakotoka! Nafahamu wako ulimwenguni kote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…