florence
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 423
- 163
siku zote ukitaka kujifunza mambo usiyoyajua nenda kwa lengo la kujifunza usiangalie usabato jifunze wana kitu gani ambacho hukijui na jaribu kutazama kama kina ukweli au ni uongo tu.ndugu gharama ya kutafuta ukweli ni kazi sana ila penda kujifunza tena kupitia vitabu
yani mkuu tedo akimsikiaga huyo mama wakisababato lazima alianzishe.
Haijalishi kinachoongelewa mmh