The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,450
- 921
Ok, baada ya yoote hayo ....conclusion ni nini?
I strongly disagree,,,do you know Rockerfeller family is a branch of Rothschild,,,na Rothschild ndo wanaimiliki dunia,,starting from giving capital to david rockerfeller sr and supporting him to giving money to george soros to own the bank of england,fixing gold prices and they own four biggest companies that have rights in world's biggest co-operations,,,even breznsky who owns/has power over democratic and republic party in u.s.a is a rothschilds,israel is a nation of rothschilds and hitler a rothschild too ,,,so ROTHSCHILDS OWN THE WORLD
there will be a one world government.wether you like it or not.
Kuelekea hiyo serikali moja lazima wapunguze idadi ya watu(depopulation)wanataka kukata idadi ya watu dunianiani toka hiyo bilioni 6 na ushee hadi milion 500.
Wanasema ,'we will get rid of uselesseater''
na wanafikia malengo hayo pale itakapopiganwa vita ya tatu ya dunia ambayo silaha za nyuklia zitatumika.
Na huo ni mpango ulio kwenye ratiba yao.research Alfred pike.
Wakuu,nawashukuru kwa kuwa pamoja katika mjadala huu.ninaona kwa hekima,i can not cross this line kwa sasa,kwa sababu yaliyobaki itakuwa premature kuyazungumza!endeleeni kufuatilia mambo haya mtaelewa mengi,mengine mtayaona strange na "conspiracy theories"kwa sasa but don't worry,time will give you enough exposure to understand things which are strange to us today because of limited information and exposure.!tusali sana,tuombe Mungu sana.that's all i can say!niwaage na hivi vitu viwili,cha kwanza naomba google this,"George Bush heart of darkness,minerals and Africa"utapata ripoti fulani ya mwaka 1997 kutoka executive intelligence review(kwa wale ambao hawajaisoma ripoti hii,please,read it!).pili,kwa wale ambao ni free mind,hawana shida na material zinazochanganya sayansi na dini,please,google "KT EXTINCTION" halafu kasome ufunuo sura ya 8,fuatilia ripoti za ongezeko la natural disasters duniani,prediction za kisayansi juu ya huko tuendako,siri za Fatima(wakatoliki wanajua sana hii),pamoja na kitabu cha mwandishi mmoja wa zamani anaitwa Ellen G White,kinaitwa last days events!rafiki yangu Consigliere,uelewe tu kwamba UKWELI NI FACT ISIYOHITAJI FACTS NYINGINE ZAIDI YA YENYEWE,IT ONLY NEED TIME TO PROVE ITSELF!stay blessed but ninapopita barabarani,mashuleni na kuwaona watu wakienda kazini na watoto wetu wakisoma na kucheza...mzigo mzito moyoni..mzito sana..FUTURE TIMES ni mzigo mzito sana moyoni mwangu!naumwa kabisa!bora nisingejua niyajuayo,yamekuwa heavy burden,na hata nikiyasimulia vipi,hayawezi kuwa burden kwa mwingine,hajaipitia njia yangu!gentlemen,beware,there is GOD above,and Devil below!thanks!
Basi kama wanapanga nani awe rais wa marekani that means wanapanga marais wote wa Africa. Wa kwetu mwenyewe itakuwa ni mipango yao tu coz they control the world.
I strongly recommend hiki kitabu cha ellen g white "last days event" kinatoa mwanga ya jinsi itakavvokuwa na pia on how to prepare your self for whats coming ni kizuri sana kwakweli kitafuteni popote mtakapo kipata kitawasaidia sana
freemason,illuminat,mafia,skul&bones etc ni secret societies ambazo zinafanya kazi kwa kutimiza malengo ya hao ruling elite.Mzuka.. ila haujagusia uhusiano wao na FREEMASON...
siku zote ukitaka kujifunza mambo usiyoyajua nenda kwa lengo la kujifunza usiangalie usabato jifunze wana kitu gani ambacho hukijui na jaribu kutazama kama kina ukweli au ni uongo tu.ndugu gharama ya kutafuta ukweli ni kazi sana ila penda kujifunza tena kupitia vitabuHuyu Hellen G White si Msabato( the cult religion) aliye wapotosha Wasabato(mafarisayo/wayahudi) kwa mafundisho yake...?