Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

mkuu kwa usalama,wazo zuri ila nina wasiwasi kama huu ni uwanja sahihi,manake naona mods wako strict sana na suala la dini,ndio maana unaona mambo mengi tunapeana link hapa.tunayasema hapa kama historical references na authority tu.sio extensive reading.
 
mkuu juve, link nasoma tena sana sema napata maswali mengi kuliko majibu ndo maana nikaomba kujifunza kutoka kwako.Nitazidi kujifunza .
 
Mkuu Juve2012

Nimesoma hii ishu ya HAARP, pia Snowden ame confess kuhusu bad intension ya hii project. Sasa kama kila kitu kipo wazi, huu mradi una maana yoyote tena kwa hawa jamaa.
 
Mkuu juve2012
asante kwa elimu ya bure wadau wote mliochangia huu uzi ki ukweli nimeipenda sana hii ulivyoichambua kutoka kwenye biblia mpaka kuwapata Wanefili nimevutiwa na uchambuzi wako makini na wa kina

C.T.U huu uzi ulivyo uachia tu, kuna vitu vimefunguka kichwani mwangu na nimepata majibu ambayo maswali yake ni vipolo vya mda mrefu saluti sana mkuu,,,,endelea kutunyambulia vitu vizuri ka hivi
asante kwa uzi mkuu..
 
Ni zaidi ya miaka sita sasa imepita toka nimefuatialia thread ya kusisimua kama hii! Kwa kweli Juve2012 umenifanya nipende jamii forums tena. Ombi langu kwako ni kwamba tafadhali endelea kuelimisha umma kwa kutupatia list ya vitabu na website ili na sisi tusome tuelimike na kuwaeleimisha watoto wetu. Lakini haya mambo yanatisha sana.
 
hapa tatizo sio kufa mkuu mzaramo. tatizo ni jinsi wanavyo badili the entire world kama wanavyotaka wao. upo uwezekano huyu mungu wanayetuhubiria wao sio mungu ambaye anatakiwa aabudiwe b'se they control everything nowadays.

Siku zote huwa nafikira kama hizi mkuu_maake ukiona hata hao wanaoitwa freemasons(sijui kama wapo lakn)wote ni hao hao_...najiuliza hivi hawa watu smart sana upstairs/kichwani wao hawapendi kwenda peponi mpaka wakaamua kumuasi huyo Mungu waliyetuletea,...anyway_time will tell kuhusu hili jambo la dini za mapokeo i.e uislam na ukristo.
 
juve2012 Nimefuatilia kwa makini na nimechukua muda kufanya research kidogo mbona naona kama
tuko ukingoni sana mwa kuendelea na maisha haya? nisaidie hiki kipindi kinaitwa cha dhiki kuu mbona naona
haya ndio maandalizi yake ya juu sana ya kutonunua na kutouza? na je kipindi hiki cha dhiki kuu je watakatifu
watakuwepo duniani pia? au ndio kuwa watakuwa wamenyakuliwa? Please help me,nimekuwa na maswali mengi
kuliko majibu'
 
C.T.U, juve2012, major mwendwa, Walas Ba...
Asanteni kwa kunitoa gizani...moyo umekuwa mzito yani mpaka stim ya kusaka maisha bora imetoweka ghafla. Kusoma mambo haya yataka ujasiri kiukweli. Endeleeni kumwaga somo wadau...
 



salute mkuu#
 
Yani hapa nahisi nywele zimesimama!! Sasa kama hali ndio hii where are we goin?? Nimependa sana hili jukwaa nimependa sana mafunzo ya kwenye huu uzi!! Tupeni elimu wanajamvi kwa maana naamin yako mengi sana mnayajua na sisi hatuyajui...
 
Remsa anasema heri wafu wafao tangu sasa maana ake lazima watu wapitie hili joto wakristo wengine tunaamini zipo nafsi ambazo hazitaonja Mauti kama nabii Eliya zipo ambazo zitaonja mauti kwa muda mfupi kama musa na Wapo ambao watapitia mateso haswa kama walivyoteswa wanafunzi wa yesu unajua kifo alichokufa Yohanna Petro na wengine Ni kujikabidhi kwa mungu sababu ni lazima hao watu wayafanye hayo ili aliyeuymba ulimwengu aje mwenyewe
 
wakuu habari za siku?tusameheane kidogo kazi zimebana sana.hata hivyo tuendelee taratibu tutafika tu.hebu chekini kitu kinaitwa PROJECT YELLOW BOOK au ZETA RETICULI EXCHANGE PROGRAME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…