Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

hakuna cha kupigwa wala nini, ukiona mwanamke amekuacha jua amepata bwana mpya ambaye ni bora kuliko wewe na amempenda. ukimpenda mtu hata umfumanie utamrudia tu. ila kama humpendi ukapata right person baadaye huwezi hata kuaga.
 
Yule mbunge sijui DC alimwambia mmewe aoe yeye ana majukumu mengi ivyo Hana muda wa kumhudumia Kama mke je ,

Hypergamy is baked into the female brain. It works ruthlessly and swiftly. If she sees a better option, she won't hesitate to jump from her current branch to a higher branch.
najua utapingana na huu ukweli Ila am psychologist.pingana na haya maandishi red mama
 
Ukitaka kujua kama wao wanawake ndio tatizo la kuvunjika kwa ndoa ama la, wafuatie nini wanafanya baada ya ndoa zao kuvunjika. Rangi zao halisi utazitambua, kama walionewa basi tabia na mienendo yao itabakia kuwa mema, na kama wao ndio walizingua maisha yatakuwa kinyaa.
 
Harafu yeye na mwenzie shusho wanamashauz ya chinichini
 
Wanyakyusa na MAOKOTO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaishi na mumewe mpk anafariki
Hakuwa na mambo mengi yule dada
sasa, kwanini asiishi na mumewe mpaka anafariki wakati mumewe alikuwa na pesa? bwanake alikuwa lecturer pale Ardhi University, mpunga upo. na Jenifer sio kwamba ana mpunga kama hawa waimbaji wengine. siwaamini wanawake, na uzuri wake ule kama angepata pesa nyingi zaidi akapitia kamateso hata kidogo tu wala asingejiuliza marambili, ndio huwa naamini wanawake wapo kwa ajili ya shida zao tu na kwasababu hawana pa kwenda. wakipata pa kwenda watakutesa ama la wanaondoka. though Jenifer ni moja ya watu waliotunza ushuhuda sana hadi leo, Mungu ambariki.
 
Mwanamke akipata mafanikio kiuchumi anataka kuwa huru(kuishi bila masharti), wakati mwanaume akiwa na mafanikio kiuchumi anataka kuwa na watu pembeni yake wafaidi jasho lake pamoja.

That's the only difference.
Wana akili za ajabu hawa viumbe

Ndio maana Waarabu hawataki masuala ya Wanawake kuajiriwa wala kusoma,hataa kuendesha gari


Ni makosa makubwa kumpa Mwanamke madaraka
Yani kwa jinsi mlivyoandika hapa mtu akisoma haraka haraka bila kufikiria kwa kina anaweza dhani ni kweli mwanamke ni kiumbe mbaya na mbinafsi sana

Lakini uhalisia ni kuwa mwanamke akipata pesa anataka kuwa huru hataki kuwekewa masharti na mwanaume, na si kwamba eti hataki kuwa na watu pembeni yake wote tunajua mwanamke akipata pesa namna anavyojua kujali ndugu jamaa na marafiki kuliko mwanaume, hili hata wazazi wengi wenye watoto wa jinsia zote husema

Lakini mwanaume akipata pesa bado tu atataka kuwa na mke sababu anajua mwanamke hawezi kumnyima uhuru wala kumwekea masharti, hao unaosema mwanaume anataka wafaidi jasho lake mara nyingi ni mahawara makahaba na washkaji tu, huwa mnasema wenyewe kwamba mwanaume akifanikiwa kamwe hawezi kuwa na mwanamke mmoja na pia ni ngumu kwake kuwahi kurudi nyumbani
 
Hapo wote uliowataja ila kiboko yao hapo ni flora ,..nakumbuka sana ile skendo yake na gwaji gwaji aisee.
 
hakuna cha kupigwa wala nini, ukiona mwanamke amekuacha jua amepata bwana mpya ambaye ni bora kuliko wewe na amempenda. ukimpenda mtu hata umfumanie utamrudia tu. ila kama humpendi ukapata right person baadaye huwezi hata kuaga.
Mpka yawakute Yale ya yule osinach wa naigeria aliyekufa Kwa kipigo na mateso ndo mtaelewa?
Hapana jmn ifike mahali tuwe tunaelewa sio wote Wana shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…