Yule yuko vizuri, kama kuna mwana anajipakulia nampa hongera. Hayo ya kuimba watajua wenyewe.Christina shusho ana mvuto Sana...
Matusi ya watu sidhani kama kweli...
Tuwe na kiasi...tusitukane watu kisa tuna bundle...
Mpe nyumba sio mimbaChristina Shusho anaonekana mtamu nikimpata nipo tayari hata kumpa zawadi ya mimba.
Dah nyieeKweli mchumba hasomeshwi, Mzee shusho alimtoa kigoma akamsomesha alipokuwa maarufu kaanza kuchepuka na vigogo ( RIP Mgombea Act) baadae akamtosa mzee shusho akahama na kanisa la mzee.
Alikuwa na vituko sana kanisani maana yeye na simu masaa yote ya ibada.
Watu na manenoHivi ni mwanae wa kumzaa[emoji849][emoji848]?
Nitamuoa kabisa atakuwa na mji wake nasiyo nyumba tu. Ila huyu mwanamke nampenda tangu nipo chuo enzi zile na kibao chake UNIKUMBUKE.Mpe nyumba sio mimba
Kama umeguswa hivi..!!Angel kavunja ndoa 4🙄🙄🙄🙄🙄mbona kama uongo..... Anyways hata wewe una makandokando yake ni vile tu hatukujui punguza judgement
SanaaKama umeguswa hivi..!!
The Boss hebu malizia banaa Erroni anameza mate yuko vizuri Kivocal au 🤣🤣Christina shusho ana mvuto Sana...
Matusi ya watu sidhani kama kweli...
Tuwe na kiasi...tusitukane watu kisa tuna bundle...
Hivi hii kasumba ya ndoa ikivunjika anaonekana mwanamke ndio ana makosa itaisha lini?
Sikatai katika hao huenda kuna baadhi walivunja nyumba zao kwa mikono yao ila hatuwezi kuwasema wote, ndoa zina mengi na kama watu walioana kwa mapenzi hadi wanafikia kuachana kuna sababu nzito bila kujali ni upande gani.
shida ni kwamba shusho huwa anajiona mzuri, na alioana na yule bwana akiwa anafanya serikalini ana mpunga wa kutosha, wakati shusho alikuwa anauza nyanya za kupanga barabarani. difference ya umri ikiwa kubwa sana mzee akizeeka mengi yanapungua wakati binti anadai, na dharau ndio huwa zinaanzia hapo, hasa kama mwanamke anapenda sana dudu lazima akuache akatafute vijana. anasahau kabisa kwamba aliokotwa akiuza nyanya na dingi angejua hilo awali wala asingemchukua huko kasulu, ni pale unaenda kijijini unasema nikachukua mke disenti kumbe unaokota kobe. na ni mumewe alimpeleka studio kumwanzishia mziki, alipopata pesa akaja kumdharau tena mbele za watu.Kiukweli Huwa sijui nini alifanya
Il inasemekana mumewe mpole
Kwnn ndoa za manasara wa hali ya chini kuvunjika ni kazi sana lkn hawa wenye pesa inakuwa rahisi sanaaaa why??
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta link kabisa Ili tuzioneKuna nyuzi zinazungumzia nguvu ya namba 8 ambayo ni numerolojia ya mwaka 2024, kuwa utakuwa mwaka wa mafanikio Kwa wayatafutayo.
Kuna ule mwingine unaozungumzia kuinuliwa Kwa vijana kufanya kazi ya utume na unabii
Kuna mitazamo tofauti kuhusu waume zao, lakini hiyo sio sababu ya hao wanawake kugeukia udangaji wakati ni waimbaji wa gospel, gospel ni kitu kitakatifu hakipaswi kuenezwa na watu wenye uchafu wa kimaadili.Vipi umefatilia upande wa waume zao?
Nadhani hapa unazungumzia Upendo Nkone, kweli mwanamama alisimama vyema na mpaka sasa amesimama vyema.Kuna mwimbaji mmoja ni mama mtu mzima, alijiheshimu sana, aliimba nyimbo za kufariji na kutia moyo, kumbe alikuwa mjane, hatimaye alipata mume na kuendelea na uimbaji wake wa injili. Hakuwahi kuandikwa kuwa ana kashfa za kimahusiano ya kindoa, alilinda ushuhuda wake, huyo mama apewe maua yake
Uko sahihi yaani tujifunze linapotokea jambo tuwe wadadisi na sio wahukumu maana hio sio kazi yetu ...Hivi hii kasumba ya ndoa ikivunjika anaonekana mwanamke ndio ana makosa itaisha lini?
Sikatai katika hao huenda kuna baadhi walivunja nyumba zao kwa mikono yao ila hatuwezi kuwasema wote, ndoa zina mengi na kama watu walioana kwa mapenzi hadi wanafikia kuachana kuna sababu nzito bila kujali ni upande gani.
Ukimtoa Christina ,Angel na Martha Baraka,,hao waimbaji wengine nadhani wanaume wao ndio sababu na sidhani kama wanadanga.Kuna mitazamo tofauti kuhusu waume zao, lakini hiyo sio sababu ya hao wanawake kugeukia udangaji wakati ni waimbaji wa gospel, gospel ni kitu kitakatifu hakipaswi kuenezwa na watu wenye uchafu wa kimaadili.
Kwa mfano, aliyekuwa mume wa Christina Shusho, jamaa ni Pastor wa ukweli huko mikoani, hanaga skendo, kick wala tamaa, kasimama na injili mwanzo mwisho, mpaka leo hii hajaterereka pamoja na kuwa Christina kumuacha Mumewe, infact mumewe bado anaamini ipo siku Christina atajutia na kurejea kwenye ndoa yao na maisha matakatifu ya awali.
Wapo wengine wanaume ndio chanzo cha matatizo lakini bado wanawake waliendelea na maisha matakatifu. Mfano mzuri ni marehemu Anjela Chibalonza, mume ni Pastor Muniri, jamaa ni kicheche, muhuni mpaka skendo za kubaka, kutia mimba na kuzitoa kwa vibinti vidogo, toka enzi hizo Angela Chibalonza akiwa hai, lakini bado Angela Chibalonza hakugeukia udangaji.