Kuna mitazamo tofauti kuhusu waume zao, lakini hiyo sio sababu ya hao wanawake kugeukia udangaji wakati ni waimbaji wa gospel, gospel ni kitu kitakatifu hakipaswi kuenezwa na watu wenye uchafu wa kimaadili.
Kwa mfano, aliyekuwa mume wa Christina Shusho, jamaa ni Pastor wa ukweli huko mikoani, hanaga skendo, kick wala tamaa, kasimama na injili mwanzo mwisho, mpaka leo hii hajaterereka pamoja na kuwa Christina kumuacha Mumewe, infact mumewe bado anaamini ipo siku Christina atajutia na kurejea kwenye ndoa yao na maisha matakatifu ya awali.
Wapo wengine wanaume ndio chanzo cha matatizo lakini bado wanawake waliendelea na maisha matakatifu. Mfano mzuri ni marehemu Anjela Chibalonza, mume ni Pastor Muniri, jamaa ni kicheche, muhuni mpaka skendo za kubaka, kutia mimba na kuzitoa kwa vibinti vidogo, toka enzi hizo Angela Chibalonza akiwa hai, lakini bado Angela Chibalonza hakugeukia udangaji.