Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Kweli mchumba hasomeshwi, Mzee shusho alimtoa kigoma akamsomesha alipokuwa maarufu kaanza kuchepuka na vigogo ( RIP Mgombea Act) baadae akamtosa mzee shusho akahama na kanisa la mzee.
Alikuwa na vituko sana kanisani maana yeye na simu masaa yote ya ibada.
Dah nyiee
 
Ila nyimbo zao bado tunazipenda sana japo haziendani na maisha yao ya mahusiano ya kindoa yaani hawana ushuhuda mzuri kuhusu ndoa zao kama waimbaji nyimbo za injili
 
Miongoni mwa hao bora wajikite kuimba nyimbo za kidunia tu kuliko kuimba injili. Walishapoteza mashabiki wao baada ya kuvuruga ndoa zao. Hata wakiimba injili wataonekana wanaimba wasichokiamini
 
Christina shusho ana mvuto Sana...
Matusi ya watu sidhani kama kweli...
Tuwe na kiasi...tusitukane watu kisa tuna bundle...
The Boss hebu malizia banaa Erroni anameza mate yuko vizuri Kivocal au 🤣🤣
 
Hivi hii kasumba ya ndoa ikivunjika anaonekana mwanamke ndio ana makosa itaisha lini?

Sikatai katika hao huenda kuna baadhi walivunja nyumba zao kwa mikono yao ila hatuwezi kuwasema wote, ndoa zina mengi na kama watu walioana kwa mapenzi hadi wanafikia kuachana kuna sababu nzito bila kujali ni upande gani.

Ni kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu, ni uhalisia ulivyo maana hata Mwanaume akikosea mwanamke ukiwa na hekima utajua jinsi ya kufanya ili kuendelea kuishi pamoja na ukiwa mpumbavu utatumia hisia badała hekima na kufanya over reacting ambayo itapelekea ndoa kuvunjika.

Na cha ajabu ni kuwa mara nyingi Victims huwa ni wanawake.
 
Kuna mwimbaji mmoja ni mama mtu mzima, alijiheshimu sana, aliimba nyimbo za kufariji na kutia moyo, kumbe alikuwa mjane, hatimaye alipata mume na kuendelea na uimbaji wake wa injili. Hakuwahi kuandikwa kuwa ana kashfa za kimahusiano ya kindoa, alilinda ushuhuda wake, huyo mama apewe maua yake
 
Kiukweli Huwa sijui nini alifanya
Il inasemekana mumewe mpole
shida ni kwamba shusho huwa anajiona mzuri, na alioana na yule bwana akiwa anafanya serikalini ana mpunga wa kutosha, wakati shusho alikuwa anauza nyanya za kupanga barabarani. difference ya umri ikiwa kubwa sana mzee akizeeka mengi yanapungua wakati binti anadai, na dharau ndio huwa zinaanzia hapo, hasa kama mwanamke anapenda sana dudu lazima akuache akatafute vijana. anasahau kabisa kwamba aliokotwa akiuza nyanya na dingi angejua hilo awali wala asingemchukua huko kasulu, ni pale unaenda kijijini unasema nikachukua mke disenti kumbe unaokota kobe. na ni mumewe alimpeleka studio kumwanzishia mziki, alipopata pesa akaja kumdharau tena mbele za watu.
 
Kwnn ndoa za manasara wa hali ya chini kuvunjika ni kazi sana lkn hawa wenye pesa inakuwa rahisi sanaaaa why??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sizani!

Takwimu zinaonesha talaka ziko juu maeneo ya mwambao wa bahari ya Hindi - Yaani mikoa ya Pwani na ikifuatiwa na mingine kiasi.

Hata wanawake maskini jeuri wapo wengi tu na Sababu ya tabia pia hupelekea talaka.
 
Kuna nyuzi zinazungumzia nguvu ya namba 8 ambayo ni numerolojia ya mwaka 2024, kuwa utakuwa mwaka wa mafanikio Kwa wayatafutayo.

Kuna ule mwingine unaozungumzia kuinuliwa Kwa vijana kufanya kazi ya utume na unabii
Leta link kabisa Ili tuzione
 
Vipi umefatilia upande wa waume zao?
Kuna mitazamo tofauti kuhusu waume zao, lakini hiyo sio sababu ya hao wanawake kugeukia udangaji wakati ni waimbaji wa gospel, gospel ni kitu kitakatifu hakipaswi kuenezwa na watu wenye uchafu wa kimaadili.

Kwa mfano, aliyekuwa mume wa Christina Shusho, jamaa ni Pastor wa ukweli huko mikoani, hanaga skendo, kick wala tamaa, kasimama na injili mwanzo mwisho, mpaka leo hii hajaterereka pamoja na kuwa Christina kumuacha Mumewe, infact mumewe bado anaamini ipo siku Christina atajutia na kurejea kwenye ndoa yao na maisha matakatifu ya awali.

Wapo wengine wanaume ndio chanzo cha matatizo lakini bado wanawake waliendelea na maisha matakatifu. Mfano mzuri ni marehemu Anjela Chibalonza, mume ni Pastor Muniri, jamaa ni kicheche, muhuni mpaka skendo za kubaka, kutia mimba na kuzitoa kwa vibinti vidogo, toka enzi hizo Angela Chibalonza akiwa hai, lakini bado Angela Chibalonza hakugeukia udangaji.
 
Kuna mwimbaji mmoja ni mama mtu mzima, alijiheshimu sana, aliimba nyimbo za kufariji na kutia moyo, kumbe alikuwa mjane, hatimaye alipata mume na kuendelea na uimbaji wake wa injili. Hakuwahi kuandikwa kuwa ana kashfa za kimahusiano ya kindoa, alilinda ushuhuda wake, huyo mama apewe maua yake
Nadhani hapa unazungumzia Upendo Nkone, kweli mwanamama alisimama vyema na mpaka sasa amesimama vyema.
 
Hivi hii kasumba ya ndoa ikivunjika anaonekana mwanamke ndio ana makosa itaisha lini?

Sikatai katika hao huenda kuna baadhi walivunja nyumba zao kwa mikono yao ila hatuwezi kuwasema wote, ndoa zina mengi na kama watu walioana kwa mapenzi hadi wanafikia kuachana kuna sababu nzito bila kujali ni upande gani.
Uko sahihi yaani tujifunze linapotokea jambo tuwe wadadisi na sio wahukumu maana hio sio kazi yetu ...
 
Kuna mitazamo tofauti kuhusu waume zao, lakini hiyo sio sababu ya hao wanawake kugeukia udangaji wakati ni waimbaji wa gospel, gospel ni kitu kitakatifu hakipaswi kuenezwa na watu wenye uchafu wa kimaadili.

Kwa mfano, aliyekuwa mume wa Christina Shusho, jamaa ni Pastor wa ukweli huko mikoani, hanaga skendo, kick wala tamaa, kasimama na injili mwanzo mwisho, mpaka leo hii hajaterereka pamoja na kuwa Christina kumuacha Mumewe, infact mumewe bado anaamini ipo siku Christina atajutia na kurejea kwenye ndoa yao na maisha matakatifu ya awali.

Wapo wengine wanaume ndio chanzo cha matatizo lakini bado wanawake waliendelea na maisha matakatifu. Mfano mzuri ni marehemu Anjela Chibalonza, mume ni Pastor Muniri, jamaa ni kicheche, muhuni mpaka skendo za kubaka, kutia mimba na kuzitoa kwa vibinti vidogo, toka enzi hizo Angela Chibalonza akiwa hai, lakini bado Angela Chibalonza hakugeukia udangaji.
Ukimtoa Christina ,Angel na Martha Baraka,,hao waimbaji wengine nadhani wanaume wao ndio sababu na sidhani kama wanadanga.
 
Back
Top Bottom