Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Na mwanamke akikosea mwanaume ndiyo hajui cha kufanya au
 
Shetani alijiona mzuri akataka kumtawala God.Hawa waimbaji wamechukua roho ya ushetwani ya kujiona kerubi mzuri na kutaka kumtawala mwanaume.
 
Sasa mbona umeiweka hoja yako kana kwamba ni lazima mwanamke kuwa na mume, kama mmeshajua kuwa mwanamke akiwa na pesa hawezi kuwa chini ya mumewe basi msioe wanawake wa design hiyo tafuteni wasiosoma ili wawe mama wa nyumbani, wanaume mnachokosea ni kutaka wanawake wawe full package ilihali ninyi hamko hivo

Kama mmeshajua kwamba mwanamke mfanyakazi faida yake ni kuwa anasaidia kutafuta pesa, na hatakuwa tegemezi kwako ila hasara yake ni kwamba atakosa muda wa kutimiza majukumu ya nyumbani kikamilifu, na huku mwanamke mama wa nyumbani faida yake ni kuwa atatimiza majukumu ya nyumbani kikamilifu ila atakutegemea wewe almost kila kitu

Ni lazima mchague mwanamke wa aina moja hapo na aina yoyote utakayoichagua ukubaliane na sifa zinazokuja na huyo mwanamke siyo unalazimisha awe full package, yani unataka mwanamke akusaidie kutafuta pesa na bado atimize majukumu ya nyumbani ipasavyo sasa wewe utakuwa unafanya nini kikubwa hasa, na mbona ninyi majukumu yao hamuwasaidii mnataka either wafanye wenyewe au waajiri wadada wa kazi
 
Dah,
Dah, sidhani kama kuna mahali nimeandika NI LAZIMA mwanamke kuolewa, bado tu hatujalewana mkuu.

Anyway, tuishie hapo!
 
Sasa mbona umemkomalia tu huyo aliyevunja ndoa nne, je hakuna wanaume wanaovunja ndoa nyingi, point hapa ni kwamba ndoa yoyote ikivunjika jamii lazima imnyooshee vidole mwanamke regardless the circumstances
 
Okay,pita mitaa ya Instagram utapata number yake😁😁

Mboga Saba Joannah , asante kwa 'ramani'... nitazingatia maelekezo.😎

Umebarikiwa moyo wa kitajiri. Always pisi kali za ushuani hamnaga roho ya kukunja. Be blessed ma'am. πŸ₯°

-Kaveli-
 
Mboga Saba Joannah , asante kwa 'ramani'... nitazingatia maelekezo.😎

Umebarikiwa moyo wa kitajiri. Always pisi kali za ushuani hamnaga roho ya kukunja. Be blessed ma'am. πŸ₯°

-Kaveli-
The AMO -Kaveli-❀️❀️❀️❀️
 
Dah,

Dah, sidhani kama kuna mahali nimeandika NI LAZIMA mwanamke kuolewa, bado tu hatujalewana mkuu.

Anyway, tuishie hapo!
Pale uliposema "sasa kama mwanamke hataki kuwa chini ya mwanaume kisa ukwasi wake kuna haja gani yeye kuruhusiwa kumiliki hizo mali", hii inamaanisha kuwa mwanamke hatakiwi kumiliki mali ili awe chini ya mwanaume, ni kama vile umeassume kila mwanamke anataka kuwa chini ya mwanaume tu
 
Bibie usitumie akili nyingi wala nguvu nyingi hakuna mziki mzuri, zote ni kazi za shetani katika kuwapoteza watu.

Mziki ungekuwa mzuri Yesu angewafundisha na kuwaambia mtumie mziki kuwakumbusha watu.
 
Mwanamke MPUMBAVU huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, unapingana na Bible Nifah
 
mfumo dume ulikuwepo tangu ulimwengu ulipoumbwa, wewe unayeukataa sasaivi fanya mpango upandikize uume ili uwe mwanaume kama mnafikiri tupo sawa.
 
Kuimba kwaya kwangu kwa miaka 8 na kuwa mzee wa kanisa kwa zaidi ya miongo miwili, nimegundua mengi sana kuhusu wanakwaya na mahusiano.

Nitayaletea uzi siku kukirudishwa jukwaa la dino.
Nausubiria kwa hamu sana uzi wako huo
 
hii nondo uliyoshusha hapa yafaa upewe teuzi kabisa hii,..πŸ‘πŸ‘πŸ‘,..
 
Angel kavunja ndoa 4πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„mbona kama uongo..... Anyways hata wewe una makandokando yake ni vile tu hatukujui punguza judgement
Mbona imekuuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…