Nahman
JF-Expert Member
- Oct 4, 2023
- 599
- 1,749
๐๐๐๐ we jaaaamaaaAlivoikalia kwenye basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐ we jaaaamaaaAlivoikalia kwenye basi
Na mwanamke akikosea mwanaume ndiyo hajui cha kufanya auNi kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu, ni uhalisia ulivyo maana hata Mwanaume akikosea mwanamke ukiwa na hekima utajua jinsi ya kufanya ili kuendelea kuishi pamoja na ukiwa mpumbavu utatumia hisia badaลa hekima na kufanya over reacting ambayo itapelekea ndoa kuvunjika.
Na cha ajabu ni kuwa mara nyingi Victims huwa ni wanawake.
Okay,pita mitaa ya Instagram utapata number yake๐๐Ndiyo ma'am... Kwa umuhimu mkubwa. ๐
-Kaveli-
Jitahidi update hata uji wa Dona hapo Kwa jirani,utakupunguzia makasiriko....sio vizuri kushinda na njaanjoo unipigishe mswaki nahicho kisimichako kama masikio yatembo๐
Sasa mbona umeiweka hoja yako kana kwamba ni lazima mwanamke kuwa na mume, kama mmeshajua kuwa mwanamke akiwa na pesa hawezi kuwa chini ya mumewe basi msioe wanawake wa design hiyo tafuteni wasiosoma ili wawe mama wa nyumbani, wanaume mnachokosea ni kutaka wanawake wawe full package ilihali ninyi hamko hivoSidhani kama umeelewa hoja yangu, sasa kama mwanamke hataki kuwa chini ya mwanaume kisa ukwasi wake kuna haja gani yeye kuruhusiwa kumiliki hizo mali? Asili inasemaje, hakuna mafahali wawili wakakaa zizi moja, hivyo akishindwa kuwa chini ya mume kisa ukwasi wake lazima tu waachane.
Kama mtoaji, mwanaume anajisikia mwenye mamlaka akihudumia familia yake, kula, kulala, kuvaa na huduma zote atatoa bila kufikiri na inamfanya awe proud, njoo upande wa pili, mdada amejiwekeza ila aweza asitoe hata hela ya kiberiti kisa tu "sio kazi yake". Hayupo proud kutoa pesa yake kuhudumia watu wake.
Dah, sidhani kama kuna mahali nimeandika NI LAZIMA mwanamke kuolewa, bado tu hatujalewana mkuu.Sasa mbona umeiweka hoja yako kana kwamba ni lazima mwanamke kuwa na mume, kama mmeshajua kuwa mwanamke akiwa na pesa hawezi kuwa chini ya mumewe basi msioe wanawake wa design hiyo tafuteni wasiosoma ili wawe mama wa nyumbani, wanaume mnachokosea ni kutaka wanawake wawe full package ilihali ninyi hamko hivo
Kama mmeshajua kwamba mwanamke mfanyakazi faida yake ni kuwa anasaidia kutafuta pesa, na hatakuwa tegemezi kwako ila hasara yake ni kwamba atakosa muda wa kutimiza majukumu ya nyumbani kikamilifu, na huku mwanamke mama wa nyumbani faida yake ni kuwa atatimiza majukumu ya nyumbani kikamilifu ila atakutegemea kwa asilimia mia moja
Ni lazima mchague mwanamke wa aina moja hapo na aina yoyote utakayoichagua ukubaliane na sifa zinazokuja na huyo mwanamke siyo unalazimisha awe full package, yani unataka mwanamke akusaidie kutafuta pesa na bado atimize majukumu ya nyumbani ipasavyo sasa wewe utakuwa unafanya nini kikubwa hasa, na mbona ninyi majukumu yao hamuwasaidii mnataka either wafanye wenyewe au waajiri wadada wa kazi
Nimemiss lile unoUtapata laana ebu acha hii mada sister. Naona umemkazania kweli.๐๐๐๐๐๐ ๐คฃ
Sasa mbona umemkomalia tu huyo aliyevunja ndoa nne, je hakuna wanaume wanaovunja ndoa nyingi, point hapa ni kwamba ndoa yoyote ikivunjika jamii lazima imnyooshee vidole mwanamke regardless the circumstances"" Hata kama ingekuwa ni mwanaume ndio kavunja ndoa nne na wanawake wanne bado wangesema hao wanawake ndio wenye matatizo""
Bado una sugar coat the question na reality.
Kwamba ndoa 4 zotee zimemshinda, ni kweli wanaume wanachangamoto ndani ya ndoa nne zote?
#YNWA
Pale uliposema "sasa kama mwanamke hataki kuwa chini ya mwanaume kisa ukwasi wake kuna haja gani yeye kuruhusiwa kumiliki hizo mali", hii inamaanisha kuwa mwanamke hatakiwi kumiliki mali ili awe chini ya mwanaume, ni kama vile umeassume kila mwanamke anataka kuwa chini ya mwanaume tuDah,
Dah, sidhani kama kuna mahali nimeandika NI LAZIMA mwanamke kuolewa, bado tu hatujalewana mkuu.
Anyway, tuishie hapo!
Kila siku nawaza๐๐๐๐ we jaaaamaaa
Bibie usitumie akili nyingi wala nguvu nyingi hakuna mziki mzuri, zote ni kazi za shetani katika kuwapoteza watu.No,si Kila mziki mbaya!
Kuna secular music na non secular music.....
Tofautisha hapo...
Mziki wowote nyuma yake una roho(spirit) sa ni roho gani Iko nyuma ya huo mziki unaousikiliza ndo shida inaanzia hapo!
Na ndo maana sio Kila gospel ni gospel,nyimbo zenye Mungu kweli ndani yake km uko vzr unajua tu na za mchongo unajua tu!
Imagine mwingine kabla haajchia nyimbo/album mpk aende Kwa mganga wake ,sa unategemea unasikikiza nyimbo hiyo zile roho za kule alikoenda zitakuacha?
Same Kwa anaeomba Mungu kwanza kabla hajaziachia nyimbo zake....
Mwanamke MPUMBAVU huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, unapingana na Bible NifahHivi hii kasumba ya ndoa ikivunjika anaonekana mwanamke ndio ana makosa itaisha lini?
Sikatai katika hao huenda kuna baadhi walivunja nyumba zao kwa mikono yao ila hatuwezi kuwasema wote, ndoa zina mengi na kama watu walioana kwa mapenzi hadi wanafikia kuachana kuna sababu nzito bila kujali ni upande gani.
nimemfahamu tangu anavaa vinguo vya mtumba vya kurusha, akizunguka kwenye makanisa kuomba aimbe. hata kama aliolewa wakati ameshakuwa maarufu ila aliolewa akiwa single mother.
mfumo dume ulikuwepo tangu ulimwengu ulipoumbwa, wewe unayeukataa sasaivi fanya mpango upandikize uume ili uwe mwanaume kama mnafikiri tupo sawa.Kwanza tambua tupo katika mfumo dume so mara nyingi mwanaume ndio anasikilizaa. Tukirudi kwenye mada ni kwamba ili ndoa iweze kudumu sheria ya ukichwa wa mume na kutii kwa mke ni lazima vifwatwe,yani kiasili mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke na mke anapaswa kumtii mume wake( sio katika Kila jambo maana hata wanaume hukosea),Sasa tatizo linaanza pale mwanamke anapokuwa na nguvu ya kiuchumi yani kaijpata,kama hao waimbaji yani walopoanza kupata mafanikio katika uimbaji wao wakaanza kuwa mbali na familia na Huwa inakuwa ngum mwanamke kujitiisha kwa mwanaume asiye na kitu,so jumlisha kipato,umbali na ulimbuken wa umaarufu basi itoshe kusema Hawa waimbaji ndio chanzo
Nausubiria kwa hamu sana uzi wako huoKuimba kwaya kwangu kwa miaka 8 na kuwa mzee wa kanisa kwa zaidi ya miongo miwili, nimegundua mengi sana kuhusu wanakwaya na mahusiano.
Nitayaletea uzi siku kukirudishwa jukwaa la dino.
hii nondo uliyoshusha hapa yafaa upewe teuzi kabisa hii,..๐๐๐,..Hivi hii kasumba ya ndoa ikivunjika anaonekana mwanamke ndio ana makosa itaisha lini?
Sikatai katika hao huenda kuna baadhi walivunja nyumba zao kwa mikono yao ila hatuwezi kuwasema wote, ndoa zina mengi na kama watu walioana kwa mapenzi hadi wanafikia kuachana kuna sababu nzito bila kujali ni upande gani.
Mbona imekuuma?Angel kavunja ndoa 4๐๐๐๐๐mbona kama uongo..... Anyways hata wewe una makandokando yake ni vile tu hatukujui punguza judgement