Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Rose Muhando aliwahi kuoolewa na nani, si kila mtoto ana baba yake pale na walomzalisha aliimba kwamba walimkimbia?
 
Ni kwasababu mwanamke akipata pesa hutafuta namna aishi peke yake na kutumia pesa zake mwenyewe (ni wabinafsi). Na hawa wanajadiliwa kwasababu wanahubiri mafundisho ya kikristo ilhali hawayaishi. Sasa wanatuimbia ili iweje
 
Ni kwasababu mwanamke akipata pesa hutafuta namna aishi peke yake na kutumia pesa zake mwenyewe (ni wabinafsi). Na hawa wanajadiliwa kwasababu wanahubiri mafundisho ya kikristo ilhali hawayaishi. Sasa wanatuimbia ili iweje
Majibu mazuri sana haya. Asipokielewa labda arudi tena tymboni kwa mamake ili azaliwe upya na mama mwingine mwenye akili
 
Lengo ni nini haswa?
 
90% wanawake, wakipata umaarufu, wawe waimba gospel au music nyingine au siasa au waigizaji, au tajiri, wakipata umaarufu wanalewa kabisa umaarufu, na akili inalewa kabisa, wanaanza kujiona wako Mbinguni tayari, yaani juu mawinguni, kiburi, dharau, ujeuri, anageuka kichwa kikubwaaa, yaani utadhania pepo liko ndani ya nyumba, yaani shetani, kumbe ni yule mke wako kawa maarufu kageuka kawa pepo, hii hupelekea kushindwa kuwasikiliza wanaume wao wa ndoa na kujiona wao huwaambii kitu, anafanya atakavyo, hapo sasa hakuna ndoa..!!

So wanawake wachache mno mnoo, wanajua siri ya ndoa ni unyenyekevu, kujishusha, heshima, nidhamu, adabu, utii kwa wanaume wao wa ndoa baada ya kuwa maarufu au ana fedha au cheo etc.. So ndoa zinavunjika kweli sana baada ya mwanamke kuwa maarufu..!!
 
Mbona kawida tuu, hata wachungaji wanaachana. Wao sio malaika ni wanadamu kama wengine, kina Christina Shusho na wengine wengi tu mbona wanaendelea mbele na mambo yao. Ndoa ina siri nyingi ndio maana Yesu hakuzungumzia suala la ndoa
 
Watu wanawanyooshea vidole lakini hatujui yaliyowasibu hadi wakafikia huko.
Hakuna mtu anatamani ndoa yake ivunjike..ndoa Zina mengi.


Pengine kweli wao walikuwa changamoto,lakini upande mwingine turned Ile case ya yule mama mnigeria aliyefikwa na mauti kwa kipigo kisa kuvumilia ndoa.
Watu walianza kumlaumu kwanini hakuondoka.

Shetani yupo kazini ,na moja kati ya watu anaowatarget sana shetani ni waimbaji maana hiyo ndiyo idara aliyokuwa nayo zamani kabla ya kuasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hao ndiyo malaya maarufu wa kilokole, ni watam indeed ila wanamnafikia yesu iko ndo wanakosea wakuje tu tuimbe Amapiano najua shida yao ni pesa tu.
 
Na Kristina Yumo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…