Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Sasa Mbinguni ataenda nani?
 
Ke ana kibali gani cha kuoa?

Wapi Ke katoa posa au mahari?

Kuoana [emoji777] .

Kuoa/Kuolewa [emoji736].
 
Ukristo ni dini kisheitwani wakristo wote ni waoumbavu
 
Madam kwa hapa bongo maana yake ni mwanamke anayegawa utamu kwa vijana wadogo.

Mfano ni madam Wema na huyo madam Flora
Umenikumbusha limshangazi langu,,Madam Rehema ni litamuu balaa Yuko mbali lakini Nashukuru kila tukibahatika kukutana ni patashika nguo kuchanika nafikiri kuachana Kifo ndio kitatungenisha ingawa kila mmoja na maisha yake na ubavu wake!!
 
Ukiwa superstar when uko kwenye chat wengi wanajisahau sana..imagine kuna mmoja hapo kwenye list yaani life aliyokuwa anaishi ni zuri sana ..siku alivoshuka kwenye umaarufu akawa hana hata Pakukaa na kodi akawa alipi yaani fully kujificha ficha...when yupo kwenye chat ile ya kukusanya mahela alishindwa vip kujenga kibanda cha kujishikiza?
 
Kama ni Rose nadhani alielezea namna alivyokuwa akinyonywa maslahi yake na meneja wake
 
Yupi huyo mkuu, mataje tumjue na sisi
 
Kuna vitu ukijishughulisha navyo huwezi kuepukana na maovu na machafu, hasa mambo ambayo ndani yake kuna ala za muziki, yaani kwa ujumla mziki. Mziki ni ushetani na jambo lisilo faa.

Shetani akawapambia wanadamu kwa majina mazuri kama vile Muziki wa Injili na mfano wake. Yaani huo pia ni mziki na ni ushetani.

Huwezi kutoboa haihitajiki akili kubwa kabisa.
 
Nisaidie namba Ya C Shusho pm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…