Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio njia yake ya kuimbaMrisho mpoto haimbi bali anaongea
Hakuna msanii bongo anayejua kuperfom kama MwanaFa.Bisheni niwawekee show zake kumi hapa.
Bella kulalamika Na kulalama tu...Diomond mpango mzima kwakubembeleza hakunaga anaimba kwa mastep mvuto Na hamasa ktk backing
hahahahahaha mnajikazaje kutokumtaja platnum???? hihuhihihuhihuhiuuhiii, mja wivu mpaka unawapalia
jamani kuna dada anaitwa vumi wa HK namkubali ila tu hajapata promo ya kutosha!!
jamani kuna dada anaitwa vumi wa HK namkubali ila tu hajapata promo ya kutosha!!
Huyu Vumi anaimba asee..
"Utanikumbuka kwa mema niliyo kutendea" Yaani huu wimbo sijachoka kuusikiliza..
yuko vzuri sana, mashairi yake yana ubunifu kwekweli,
"macho yanaona mbali
.....lakini hayawezi kuona sikio
.....shimoo walilokuchimbia
.....mimi nimelifukia"
siku hizi anaimba kwenye bendi!
Yani Mkuu enhance kuna vipaji..Lakini ni ajabu wanaosifika siyo wanaojua