Muite na InfropreneurYoda na jopo lako njoo huku..........
Mkuu Kiranga anapaswa kuwepo piaMuite na Infropreneur
Summon zitakua zimewafikia.......Muite na Infropreneur
Kwa ushahidi wa kusikia Wapo mkuu..... nini maana yako!Sina jopo, ila hujawahi kumuona daktari anavuta sigara na kunywa pombe ?
kwaiyo wasingeiamin na ww usingeiamin??Hawa ni wasomi/wanasayansi walio hai ambao wamekiri wazi imani yao katika Kristo:
Francis S. Collins — PhD in Physical Chemistry; MD in Medicine
Huyu aliongoza Human Genome Project. Human Genome Project (HGP) ulikuwa mradi mkubwa wa kimataifa wa kisayansi wa kuchora na kubaini mpangilio wa DNA ya binadamu.
Francis alikuwa atheist kijana lakini alipofikia umri wa miaka 27 alibadilika akawa Mkristo baada ya kuchunguza suala la imani kwa kina. Huyu amesema wazi kwamba haoni mgongano wa lazima kati ya kuwa mwanasayansi makini na kuwa Mkristo.
John C. Lennox — DPhil (PhD) in Mathematics; DSc in Mathematics
Huyu ni Emeritus Professor of Mathematics, University of Oxford. Ana zaidi ya machapisho 70 ya hisabati na ameshiriki mijadala ya wazi na Richard Dawkins, Christopher Hitchens na wengine kuhusu Mungu, sayansi na imani. Yeye mwenyewe anaeleza kwamba aliweka imani yake katika Kristo tangu akiwa mdogo na baadaye akawa na conviction kwamba ujumbe wa Kikristo ni wa kweli.
Alister McGrath — DPhil (PhD) in Molecular Biophysics; DPhil (PhD) in Intellectual History.
Alisoma Chemistry Oxford na akapata doctorate katika molecular biophysics. Huyu pia alikuwa atheist, lakini baadaye akabadilika na kuwa Mkristo. Oxford yenyewe inaeleza safari yake hiyo.
Wewe unayeupinga Ukristo na kusema eti Biblia ni kitabu cha riwaya, umeandika vitabu vingapi vya kisomi/kisayansi au una PhDs ngapi? Labda tuanzie mjadala wetu hapo.
Mkatae shetani anayepofusha fikra zako ili nuru ya Kristo isikuangazie.
2 Kor 4:4
"ambao ndani yao mungu wa dunia hii(shetani) amepofusha fikra zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."
Kwa sababu MUNGU ni mmoja tu! "Mimi NIKO ambaye NIKO" na amejulikana kwa matendo yake makuu......Kwa nini hao wasomi wanamuamini mungu wa Israel/Ibrahim na sio Allah au Brahma wa Wahindu??
Religion is Evolutionary Adaptation or Byproduct. Most cognitive scientists agree that the human brain evolved specific traits that make supernatural belief very easy and intuitive.Kwa ushahidi wa kusikia Wapo mkuu..... nini maana yako!
Kama hiyo list haitoshi, mfahamu C.S. Lewis - Oxford scholar, literary critic and author. Huyu alikuwa atheist kwa kipindi cha maisha yake ya ujana, kisha akaamua kuwa Mkristo.Hawa ni wasomi/wanasayansi walio hai ambao wamekiri wazi imani yao katika Kristo:
Francis S. Collins — PhD in Physical Chemistry; MD in Medicine
Huyu aliongoza Human Genome Project. Human Genome Project (HGP) ulikuwa mradi mkubwa wa kimataifa wa kisayansi wa kuchora na kubaini mpangilio wa DNA ya binadamu.
Francis alikuwa atheist kijana lakini alipofikia umri wa miaka 27 alibadilika akawa Mkristo baada ya kuchunguza suala la imani kwa kina. Huyu amesema wazi kwamba haoni mgongano wa lazima kati ya kuwa mwanasayansi makini na kuwa Mkristo.
John C. Lennox — DPhil (PhD) in Mathematics; DSc in Mathematics
Huyu ni Emeritus Professor of Mathematics, University of Oxford. Ana zaidi ya machapisho 70 ya hisabati na ameshiriki mijadala ya wazi na Richard Dawkins, Christopher Hitchens na wengine kuhusu Mungu, sayansi na imani. Yeye mwenyewe anaeleza kwamba aliweka imani yake katika Kristo tangu akiwa mdogo na baadaye akawa na conviction kwamba ujumbe wa Kikristo ni wa kweli.
Alister McGrath — DPhil (PhD) in Molecular Biophysics; DPhil (PhD) in Intellectual History.
Alisoma Chemistry Oxford na akapata doctorate katika molecular biophysics. Huyu pia alikuwa atheist, lakini baadaye akabadilika na kuwa Mkristo. Oxford yenyewe inaeleza safari yake hiyo.
Wewe unayeupinga Ukristo na kusema eti Biblia ni kitabu cha riwaya, umeandika vitabu vingapi vya kisomi/kisayansi au una PhDs ngapi? Labda tuanzie mjadala wetu hapo.
Mkatae shetani anayepofusha fikra zako ili nuru ya Kristo isikuangazie.
2 Kor 4:4
"ambao ndani yao mungu wa dunia hii(shetani) amepofusha fikra zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."
Wewe na Wagalatia wenzako mwasema hivyo.Kwa sababu MUNGU ni mmoja tu! "Mimi NIKO ambaye NIKO" na amejulikana kwa matendo yake makuu......
Ok! hao cognitive scientists.....hakuna anaye mwamini Mungu?Religion is Evolutionary Adaptation or Byproduct. Most cognitive scientists agree that the human brain evolved specific traits that make supernatural belief very easy and intuitive.
Mimi sio mgalatia, Unataka tuseme nini mkuu!Wewe na Wagalatia wenzako mwasema hivyo.
Kuna hadi wanaoamini ng'ombe huko India.Ok! hao cognitive scientists.....hakuna anaye mwamini Mungu?
Nini comment yako, kuhusu hawa Atheist walio mwamini MUNGU yupo....Au na wewe tukutarajie shambani mwa BWANA.Kuna hadi wanaoamini ng'ombe huko India.