Sina Million 30
JF-Expert Member
- Jan 17, 2025
- 243
- 156
Tatizo limeondoka BILa Fundi kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wasiwasi huwenda YEYE akaingilia kati asifike hiyo oktoba, hili la Leo limepangwa kiustadi kabisa...
Kinawaka muda si mrefu wee subiri💥💥💥Mi nimepiga kura ya hapana kumweka Samia kuwa mgombea kiti cha urais 2025 lakini nashangaa eti ameptishwa kwa 100%.
Tume round off to the nearest hundred mkuu.Mi nimepiga kura ya hapana kumweka Samia kuwa mgombea kiti cha urais 2025 lakini nashangaa eti ameptishwa kwa 100%.
Kwani huoni utitiri wa miradi huko? Kwa nini kuwe na miradi kama hakuna hela? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DEuOlXFqamL/?igsh=eG9kdmQ3d2E1cHNu
Mtakufa kwa roho mbayaMi nimepiga kura ya hapana kumweka Samia kuwa mgombea kiti cha urais 2025 lakini nashangaa eti ameptishwa kwa 100%.
WangemgawanaSasa si ungepinga palepale.
mpotoshaji relaxMi nimepiga kura ya hapana kumweka Samia kuwa mgombea kiti cha urais 2025 lakini nashangaa eti ameptishwa kwa 100%.

Ndio mueleewe chukuwachakomapema walivyo MAFIA!Mi nimepiga kura ya hapana kumweka Samia kuwa mgombea kiti cha urais 2025 lakini nashangaa eti ameptishwa kwa 100%.
🤣🤣🤣 Au sio, tungepoteza member mwengine wa JF.Wangemgawana