Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na wasiwasi huwenda YEYE akaingilia kati asifike hiyo oktoba, hili la Leo limepangwa kiustadi kabisa...
 
Ili kumpata mgombea Uraisi wa CCM, hivi utaratibu wa kikatiba wa chama cha ccm ukoje? Huu utaratibu wa ndio au hapana hapo hapo na majibu hapo hapo, ipo siku wapinzani wake watampeleka mahakamani na kusema she was not duly elected. Na mahakama ikiupitia utaratibu wao na ikakubariana na walalamika, ccm yaweza kukosa mgombea. Wanasheria wa JF -hebu tuchambulieni huo utaratibu tuone kama kweli umefuatwa...
 
Yaani amewapiga chenga ya mwili. Japo taratibu zimekiukwa. Sijui kama 'wazee' wana plan B ya kumwondoa. Nineona JK ameamua kuwa na akiba ya maneno na kwenda na upepo.
 
Mi nimepiga kura ya hapana kumweka Samia kuwa mgombea kiti cha urais 2025 lakini nashangaa eti ameptishwa kwa 100%.
Ndio mueleewe chukuwachakomapema walivyo MAFIA!
HAWA JAMAA NI HATARII KWA MAISHA YA WADANGANYIKA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…