Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maoni yangu ni kwamba, an innocent neck is holding a brainless head.
CC: Numbisa
waTanzania wote wamepokea uteuzi wa Dr.Samia na Dr.Nchimbi kama wapeperusha bendera wa CCM uchaguzi mkuu wa Oct ijayo, kwa shauku kubwa na matumaini ya kiwango cha juu sana,

na kwamba Tanzania iko kwenye mikono salama zaidi kwa sasa ukilinganisha na vipindi vingine vilivyopita πŸ’
 
Mimi sikuwepo wala siyo mwanachama wa CCM
 
Gentleman,
mbona kama vile kuna chuki binafsi tu dhidi yake?
CCM katika ujumla wake imemridhia kwa kauli moja.

huoni kama ni wewe pekee mwenye tatizo nae?πŸ’
Wakati una wasiwasi itakuaje nafasi ya bi tozo kwenye kinyan’ganyiro cha uraisi 2025 kama miezi mitatu nyuma (mod wakafuta mada yako).

Nilikwambia β€˜bi-tozo’ sio fala ajatimua wakurugenzi wa TISS hovyo kwa miaka minne bure-bure na kusafisha Ikulu bila ya mikakati mahususi na Nchimbi hayuko hapo kwa bahati mbaya.

Mama ni mcheza chess na king maker ni Nchimbi kwa siasa za Tanzania. Sasa kuweza kuvuruga taratibu za nchi kwa kutumia kanuni na uwezo wa kuendesha nchi ni vitu viwili.

Nchimbi ni zero kichwani, anachoweza ni mbinu za kukwapua madaraka kwa fujo tu. Na sasa kama una akili zako timamu utaki ugomvi nae; ana nguvu kuliko mtu yeyote Tanzania (amini, usiamini).

Mimi nimeandika kwa mipaka tu; lakini β€˜bi-tozo’ hatoboi kwa Nchimbi; uraisi wake na uteuzi wake wa ghafla ni tiktaka za Nchimbi.
 
Kwanini mnapenda kutetea vitu vya hovyo?
 
Kwenye koo za nyani na wanyama huwa wanachagua wale wenye nguvu, akili, maarifa na uthubutu ndio wanakua Alpha ama viongozi.
Lakini sisi binadamu wenye akili tunachagua wajinga ndio watuongoze.
 
Acheni upuuzi...kikundi kidogo cha wahuni machawa hamna haki miliki ya kutoa maamuzi na kuyaita ya Watanzania
 
Tatizo lako wewe ndumilakuwili hueleweki leo utamponda kesho unampigia mapambio hatukuelewi jingalao
 
Kwenye koo za nyani na wanyama huwa wanachagua wale wenye nguvu, akili, maarifa na uthubutu ndio wanakua Alpha ama viongozi.
Lakini sisi binadamu wenye akili tunachagua wajinga ndio watuongoze.
Tanzania tunatumia unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo kwasasa uchawa
 
Umeamka na upumbavu wako wa kusifu na kuabudu.. aina ya watu kama nyie (machawa) mmekulia katika mazingira magumu, hii kujipendekeza ni mfumo uliotokana na umasikini wa kurithi..
Relax tafadhali kama huna mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani.

mihemko na makasiriko asubuh asubuh ni ushirikina hasa kwenye nyakati hizi za sayansi na technolojia πŸ’
 
Maoni yangu ni kuwa huna haki wala ridhaa ya kuongea kwa niaba ya watanzania wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…