Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,
waTanzania wote wamepokea uteuzi wa Dr.Samia na Dr.Nchimbi kama wapeperusha bendera wa CCM uchaguzi mkuu wa Oct ijayo, kwa shauku kubwa na matumaini ya kiwango cha juu sana,Maoni yangu ni kwamba, an innocent neck is holding a brainless head.
CC: Numbisa
Mimi sikuwepo wala siyo mwanachama wa CCMPongezi za wananchi na waTanzania wa makundi mbalimbali nchini, zimeendelea kumiminika na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM, baada ya Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emmanuel Nchimbi kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria katika taifa letu October 2025.
Kukubalika na kuaminika kwa wagombea uongozi hao wa CCM ngazi ya Taifa, kuna ashiria wazi imani kubwa ya waTanzania kwa CCM kuelekea ushindi wa kishindo baadae October ya mwaka huu 2025.
Shauku na imani ya wananchi na waTanzania wote kwa sasa ni kuona CCM katika uchaguzi wa kura za maoni, inateua wagombea uongozi wa ubunge na udiwani mahiri, makini, wasomi wanaokubalika na wanaoaminika zaidi kwa wananchi kulingana na mipango, sera na vipaumbele vyao dhidi ya maslahi mapana ya wananchi katika maeneo yao.
Maoni ya waTanzania wote ni kwamba, wanafuatilia kwa karibu sana na kuzingatia zaidi
uteuzi wa viongozi wa CCM kwajili ya uchaguzi mkuu, kwani teuzi hizo ndizo hua uchaguzi mkuu halisi wenyewe, na ule wa Oct. hua unakua ni katika kukamilisha ratiba na kutekeleza sheria na katiba ya nchi tu.
una maoni gani.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wakati una wasiwasi itakuaje nafasi ya bi tozo kwenye kinyan’ganyiro cha uraisi 2025 kama miezi mitatu nyuma (mod wakafuta mada yako).Gentleman,
mbona kama vile kuna chuki binafsi tu dhidi yake?
CCM katika ujumla wake imemridhia kwa kauli moja.
huoni kama ni wewe pekee mwenye tatizo nae?🐒
Kwanini mnapenda kutetea vitu vya hovyo?Pongezi za wananchi na waTanzania wa makundi mbalimbali nchini, zimeendelea kumiminika na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM, baada ya Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emmanuel Nchimbi kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria katika taifa letu October 2025.
Kukubalika na kuaminika kwa wagombea uongozi hao wa CCM ngazi ya Taifa, kuna ashiria wazi imani kubwa ya waTanzania kwa CCM kuelekea ushindi wa kishindo baadae October ya mwaka huu 2025.
Shauku na imani ya wananchi na waTanzania wote kwa sasa ni kuona CCM katika uchaguzi wa kura za maoni, inateua wagombea uongozi wa ubunge na udiwani mahiri, makini, wasomi wanaokubalika na wanaoaminika zaidi kwa wananchi kulingana na mipango, sera na vipaumbele vyao dhidi ya maslahi mapana ya wananchi katika maeneo yao.
Maoni ya waTanzania wote ni kwamba, wanafuatilia kwa karibu sana na kuzingatia zaidi
uteuzi wa viongozi wa CCM kwajili ya uchaguzi mkuu, kwani teuzi hizo ndizo hua uchaguzi mkuu halisi wenyewe, na ule wa Oct. hua unakua ni katika kukamilisha ratiba na kutekeleza sheria na katiba ya nchi tu.
una maoni gani.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
KapongezaKwanini mnapenda kutetea vitu vya hovyo?
kwanini unachukia ukweli kiasi hicho gentleman?🐒Kwanini mnapenda kutetea vitu vya hovyo?
Acheni upuuzi...kikundi kidogo cha wahuni machawa hamna haki miliki ya kutoa maamuzi na kuyaita ya WatanzaniaPongezi za wananchi na waTanzania wa makundi mbalimbali nchini, zimeendelea kumiminika na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM, baada ya Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emmanuel Nchimbi kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria katika taifa letu October 2025.
Kukubalika na kuaminika kwa wagombea uongozi hao wa CCM ngazi ya Taifa, kuna ashiria wazi imani kubwa ya waTanzania kwa CCM kuelekea ushindi wa kishindo baadae October ya mwaka huu 2025.
Shauku na imani ya wananchi na waTanzania wote kwa sasa ni kuona CCM katika uchaguzi wa kura za maoni, inateua wagombea uongozi wa ubunge na udiwani mahiri, makini, wasomi wanaokubalika na wanaoaminika zaidi kwa wananchi kulingana na mipango, sera na vipaumbele vyao dhidi ya maslahi mapana ya wananchi katika maeneo yao.
Maoni ya waTanzania wote ni kwamba, wanafuatilia kwa karibu sana na kuzingatia zaidi
uteuzi wa viongozi wa CCM kwajili ya uchaguzi mkuu, kwani teuzi hizo ndizo hua uchaguzi mkuu halisi wenyewe, na ule wa Oct. hua unakua ni katika kukamilisha ratiba na kutekeleza sheria na katiba ya nchi tu.
una maoni gani.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Tatizo lako wewe ndumilakuwili hueleweki leo utamponda kesho unampigia mapambio hatukuelewi jingalaoShida ni uwezo wake mdogo mno; na anaenda kutengeneza matatizo makubwa zaidi.
Maana kati ya Nchimbi na Samia; Samia afadhali. Nchimbi anachojua ni kucheza foul tu, lakini kichwani zero.
Imagine huyu mtu kuwa raisi 2030 baada ya Samia kufanya uharibifu wa miaka tisa.
Nchi za third world ni shida.
Tanzania tunatumia unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo kwasasa uchawaKwenye koo za nyani na wanyama huwa wanachagua wale wenye nguvu, akili, maarifa na uthubutu ndio wanakua Alpha ama viongozi.
Lakini sisi binadamu wenye akili tunachagua wajinga ndio watuongoze.
Relax tafadhali kama huna mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani.Umeamka na upumbavu wako wa kusifu na kuabudu.. aina ya watu kama nyie (machawa) mmekulia katika mazingira magumu, hii kujipendekeza ni mfumo uliotokana na umasikini wa kurithi..
Maoni yangu ni kuwa huna haki wala ridhaa ya kuongea kwa niaba ya watanzania wote.Pongezi za wananchi na waTanzania wa makundi mbalimbali nchini, zimeendelea kumiminika na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM, baada ya Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emmanuel Nchimbi kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria katika taifa letu October 2025.
Kukubalika na kuaminika kwa wagombea uongozi hao wa CCM ngazi ya Taifa, kuna ashiria wazi imani kubwa ya waTanzania kwa CCM kuelekea ushindi wa kishindo baadae October ya mwaka huu 2025.
Shauku na imani ya wananchi na waTanzania wote kwa sasa ni kuona CCM katika uchaguzi wa kura za maoni, inateua wagombea uongozi wa ubunge na udiwani mahiri, makini, wasomi wanaokubalika na wanaoaminika zaidi kwa wananchi kulingana na mipango, sera na vipaumbele vyao dhidi ya maslahi mapana ya wananchi katika maeneo yao.
Maoni ya waTanzania wote ni kwamba, wanafuatilia kwa karibu sana na kuzingatia zaidi
uteuzi wa viongozi wa CCM kwajili ya uchaguzi mkuu, kwani teuzi hizo ndizo hua uchaguzi mkuu halisi wenyewe, na ule wa Oct. hua unakua ni katika kukamilisha ratiba na kutekeleza sheria na katiba ya nchi tu.
una maoni gani.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman wananchi na waTanzania wote wana imani nae na kwakweli wanamkubali mno.Samia hakubaliki basi tu