Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwenye koo za nyani na wanyama huwa wanachagua wale wenye nguvu, akili, maarifa na uthubutu ndio wanakua Alpha ama viongozi.
Lakini sisi binadamu wenye akili tunachagua wajinga ndio watuongoze.
Hakina nyani na jamii ya wanyama kwa ujumla ili uwe mbabe inabidi uwatwange wapinzani.

Sisi binadamu tunaongozwa na sheria za kuishi tulizojitungia; ikitokea kwa kudra za mwenyezi mungu akatokea kiongozi ambae anaweza abuse hizo sheria hakuna namna.

Jamii ya watu wenye akili ujifunza makosa yao na kuhakikisha matatizo wanayafanyia kazi.
 
relax and calm down gentleman,

ni muhimu sana ukatiririka yote walau upate relief, itakusaiadia sana.

But,
kama Taifa, wananchi na waTanzania wote wameshaamua kwamba Dr Samia Suluhu Hassan atagombea urais wa Tanzania na Dr Nchimbi atakua mgombea mwenza wa wa uraisi kupitia CCM. Full stop πŸ’
 
Umevuta bangi na ugoro kigentlemen unakuja kuandika uharo hapa..... WANANCHI GANI HAO WAMEMKUBALI?
wananchi wote na waTanzania wa makundi mbalimbali wanaendelea kuipongeza CCM, lakini pia kuwapongeza Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emanuel Nchimbi kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CCM Oct 2025.

Chuki binafsi Haifai gentleman πŸ’
 
Kwenye koo za nyani na wanyama huwa wanachagua wale wenye nguvu, akili, maarifa na uthubutu ndio wanakua Alpha ama viongozi.
Lakini sisi binadamu wenye akili tunachagua wajinga ndio watuongoze.
wenye chuki binafsi hupata tabu sana nyakati hizi gentleman, dah,

ukweli mchungu, ukweli unauma sana aise πŸ’
 
DR.EMANUEL NCHIMBI KUA MGOMBEA MWENZA, Dr Mpango ulikuwa mpango wa Mungu,ila Rostam kaingilia kati.

Tumepigwa na kitu kizito 2025-2040
 
Vijana wa CCM,hivi sijui wewe ni wa kike au wa kiume Huna uwezo wa kugombea hiyo nafasi ya Uraisi?
 
Maoni yangu ni kuwa huna haki wala ridhaa ya kuongea kwa niaba ya watanzania wote.
hili liko wazi gentleman,
kwamba wanainchi wote na waTanzania wa makundi mbalimbali wanaendelea kuipongeza CCM lakini pia wanawapongeza Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emanuel Nchimbi kwa kupewa dhamana na ridhaa ya kuongoza Taifa letu kwa kipindi kijacho.

Ni muhimu sana kuzingatia hilo gentleman πŸ’
 
wananchi wote na waTanzania wa makundi mbalimbali wanaendelea kuipongeza CCM, lakini pia kuwapongeza Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emanuel Nchimbi kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CCM Oct 2025.

Chuki binafsi Haifai gentleman πŸ’
Ungekuwa jaribu ningeponda Hilo fuvu akili ikukae sawa shenzi type ...
 
Wanaume wa CCM mnatukosea sana watanganyika kwa kuhakikisha tutanatawaliwa na mmama kutoka Zenji.
Chama Cha Mapinduzi CCM kitaendelea kubaba dhamana ya uongozi wa Taifa hili, ili hatimae azma ya kuwapelekea wananchi maendeleo itimie.

ubaguzi wa aina yoyote utaendelea kupingwa kwa nguvu zote πŸ’
 
Liko wazi wapi? Mbona mimi sio mmoja wa wananchi wanayempongeza Dr Samia na Dr Nchimbi?
 
Mbona kama una wasiwasi garmah
unakuaje na wasiwasi my lady wakati mambo ni mwemwere mwemwere kila kona ya nchi kuhusu Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea urais na Dr Emanuel Nchimbi kua mgombea mwenza?

hiyo si mpaka 2040 my lady?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…