Pre GE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi Mwenyekiti na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwa mgombea wa urais kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Uamuzi huu wa kihistoria unaonyesha imani kubwa na matumaini makubwa ambayo CCM inayo kwa uongozi thabiti na wa kimkakati wa Rais Samia, pamoja na dhamira yake isiyotetereka ya kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025.

Katika kipindi chake cha uongozi, Tanzania imeshuhudia mafanikio makubwa ya kimaendeleo yanayogusa maisha ya watu katika ukuaji wa uchumi, ujenzi wa miundombinu, maboresho ya huduma za kijamii, uwezeshaji wananchi kiuchumi, kuimarisha muungano, kujenga umoja wa kitaifa na kukuza demokrasia kupitia falsafa yake ya “4R.”

Akiwa Rais wa kwanza mwanamke katika historia ya Tanzania, Rais Samia si tu kwamba amevunja vikwazo vya kijinsia, bali pia ameweka viwango vipya vya uongozi shirikishi na wa maono.

Uteuzi wa CCM ni hatua muhimu ya kuhakikisha maendeleo yanayoendelea na mustakabali wa neema kwa Watanzania wote.

#MkutanoMkuuCCM2025
#Tumeamua
#TunajivuniaSamia
#SafariYaUshindi
#TwendeNaSamia
#NiSamia2025
#SiasaNiMaendeleo
 

Attachments

  • IMG-20250119-WA0032.jpg
    IMG-20250119-WA0032.jpg
    111.6 KB · Views: 2
Haters wa Samia chalii

Wangapi na waganga na wapiga ramli waliosema hagombei chalii

Waliojiapiza kushindana nae Ili kuzuia chalii

Waliosema ni Mzanzibar haiwezekani chaliii

Waliosema Mwanamke hawezi kuwa mgombea Urais Tanznaia chaliii

Waliosema anamalizia awamu ya 5 chaliii


Waliosema hawezi kutekeleza miradi na ilani chaliiii


Waliomuombea kifo na kupanga chaliii

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😏😏😏😏😏😏

Sasa hivi wamesalia na ramli Moja ya kuombea kifo
Mama mwambie apeleke pesa Tanroad na Tarura acha kupiga kelele humu unajua wakandarasi wa zaidi mwaka hawajalipwa
 
Hongera sana wajumbe wa CCM, hamyumbishwi na watu wa mitandaoni. SA100 HOYEEE....
 
Ni nani waliokufa walikuwa na maamuzi magumu kwenye kupitisha jina la Rais,hata yeye jina lake halikupita 1995 , kwasababu ya hao hao anaowaita wachawi waliokufa
Kwamba bado anampiga kijembe nyerere!!?..acha uwongo babu
 
𝐂𝐂𝐌 𝐘𝐀𝐑𝐈𝐃𝐇𝐈𝐀 𝐒𝐓𝐄𝐏𝐇𝐄𝐍 𝐖𝐀𝐒𝐈𝐑𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐆𝐈𝐖𝐀 𝐊𝐔𝐑𝐀 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐍𝐀𝐅𝐀𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐌𝐔 𝐌𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄𝐊𝐈𝐓𝐈 𝐖𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐁𝐀𝐑𝐀 - 𝐃𝐊𝐓. 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀
1737290102668.jpeg

"Waheshimiwa wajumbe wa mkutano mkuu, Kamati Kuu na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa tuliangalia wana CCM na tukampata mmoja ambaye ni mbobezi naye ni ndugu yetu, mzee wetu Stephen Masatu Wasira...CCM OYEEE!"
1737290619857.jpeg
 
Back
Top Bottom