Pre GE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pongezi za wananchi na waTanzania wa makundi mbalimbali nchini, zimeendelea kumiminika na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM, baada ya Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emmanuel Nchimbi kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria katika taifa letu October 2025.

Kukubalika na kuaminika kwa wagombea uongozi hao wa CCM ngazi ya Taifa, kuna ashiria wazi imani kubwa ya waTanzania kwa CCM kuelekea ushindi wa kishindo baadae October ya mwaka huu 2025.

Shauku na imani ya wananchi na waTanzania wote kwa sasa ni kuona CCM katika uchaguzi wa kura za maoni, inateua wagombea uongozi wa ubunge na udiwani mahiri, makini, wasomi wanaokubalika na wanaoaminika zaidi kwa wananchi kulingana na mipango, sera na vipaumbele vyao dhidi ya maslahi mapana ya wananchi katika maeneo yao.

Maoni ya waTanzania wote ni kwamba, wanafuatilia kwa karibu sana na kuzingatia zaidi
uteuzi wa viongozi wa CCM kwajili ya uchaguzi mkuu, kwani teuzi hizo ndizo hua uchaguzi mkuu halisi wenyewe, na ule wa Oct. hua unakua ni katika kukamilisha ratiba na kutekeleza sheria na katiba ya nchi tu.

una maoni gani.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
kachukue dawa zako milembe utakuwa umemaliza dozi nakukumbusha tu
 
1738669884066.jpg
 
Liko wazi wapi? Mbona mimi sio mmoja wa wananchi wanayempongeza Dr Samia na Dr Nchimbi?
usijali,
wewe ni miongoni mwa kundi la zile kura chache sana na kidunchu zilizoharibika gentleman,
kwahiyo,
umewakilishwa vizuri sana 🐒
 
nitagombea uspika 2030 gentleman 🐒
Usijishushe bwana ndiyo maana tulikuwa tunataka watu wakachukue form za Urais ndani ya Chama,maana tumeona uwezo wa Mama ni mdogo sana tunaamini kila mtu hiyo nafasi anaweza kuimudu,tofauti na mtangulizi wake Magufuri tuliona Urais ni kama kazi ngumu sana kutoka na akili kubwa alizokuwa anazitumia na sisi tukaona maendeleo n̈a faida
 
Pongezi za wananchi na waTanzania wa makundi mbalimbali nchini, zimeendelea kumiminika na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM, baada ya Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emmanuel Nchimbi kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria katika taifa letu October 2025.

Kukubalika na kuaminika kwa wagombea uongozi hao wa CCM ngazi ya Taifa, kuna ashiria wazi imani kubwa ya waTanzania kwa CCM kuelekea ushindi wa kishindo baadae October ya mwaka huu 2025.

Shauku na imani ya wananchi na waTanzania wote kwa sasa ni kuona CCM katika uchaguzi wa kura za maoni, inateua wagombea uongozi wa ubunge na udiwani mahiri, makini, wasomi wanaokubalika na wanaoaminika zaidi kwa wananchi kulingana na mipango, sera na vipaumbele vyao dhidi ya maslahi mapana ya wananchi katika maeneo yao.

Maoni ya waTanzania wote ni kwamba, wanafuatilia kwa karibu sana na kuzingatia zaidi
uteuzi wa viongozi wa CCM kwajili ya uchaguzi mkuu, kwani teuzi hizo ndizo hua uchaguzi mkuu halisi wenyewe, na ule wa Oct. hua unakua ni katika kukamilisha ratiba na kutekeleza sheria na katiba ya nchi tu.

una maoni gani.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Katika ulimwengu wa roho kwa sasa ccm inatawala kimabavu watu hawataki ,kwa sasa ukiipinga unatengenezewa matatizo so hao mmnao waona wana piga kelele mtano tena tukikaa nao huku wana sema tutafanyaje sasa ndio ugali hati
Kwa sasa siosa ya tanzania sio huru ni hatari sana
Waimbaji wa nyimbo za injili wametafutwa kwa razima njoo ili na wewe uonekane upo kwa mama ila si kwa hiyari kwani wanajua kukataa ni kukaribisha matatizo
 
Gentleman,
nyie kaeni nao tu na kupoteza muda kwa story na porojo huku mkiwatazama na kuwajadili wenye malengo ya kushinda uchaguzi, kushika dollar, kuunda serikali na kuongeza nchi,

Oct. mbona sio mbali 🐒
 
waTanzania wote wamepokea uteuzi wa Dr.Samia na Dr.Nchimbi kama wapeperusha bendera wa CCM uchaguzi mkuu wa Oct ijayo, kwa shauku kubwa na matumaini ya kiwango cha juu sana,

na kwamba Tanzania iko kwenye mikono salama zaidi kwa sasa ukilinganisha na vipindi vingine vilivyopita 🐒
Nani kakupa mamlaka ya kuongea kwa niaba ya wengine?
Umefanyaje kujua kama "Wananchi" wameridhishwa na uteuzi?
 
Pongezi za wananchi na waTanzania wa makundi mbalimbali nchini, zimeendelea kumiminika na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM, baada ya Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emmanuel Nchimbi kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria katika taifa letu October 2025.

Kukubalika na kuaminika kwa wagombea uongozi hao wa CCM ngazi ya Taifa, kuna ashiria wazi imani kubwa ya waTanzania kwa CCM kuelekea ushindi wa kishindo baadae October ya mwaka huu 2025.

Shauku na imani ya wananchi na waTanzania wote kwa sasa ni kuona CCM katika uchaguzi wa kura za maoni, inateua wagombea uongozi wa ubunge na udiwani mahiri, makini, wasomi wanaokubalika na wanaoaminika zaidi kwa wananchi kulingana na mipango, sera na vipaumbele vyao dhidi ya maslahi mapana ya wananchi katika maeneo yao.

Maoni ya waTanzania wote ni kwamba, wanafuatilia kwa karibu sana na kuzingatia zaidi
uteuzi wa viongozi wa CCM kwajili ya uchaguzi mkuu, kwani teuzi hizo ndizo hua uchaguzi mkuu halisi wenyewe, na ule wa Oct. hua unakua ni katika kukamilisha ratiba na kutekeleza sheria na katiba ya nchi tu.

una maoni gani.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wote kina nani? Huyu ndiye alikwa analia humu usiku na mchana tumchague Mbowe.
 
kwa vyovyote wewe maisha yako unatafuta senti ya kula kesho yako tu una maisha magumu
Gentleman,
kama wewe unafanya kazi ya kanisa,
chuki ya nini dhidi ya wanaochapa kazi ili kupata shekeli kulainisha na kuendesha maisha yao na familia zao?

waTanzania wameamua, wewe una mbwelambwela tu 🐒
 
Shida ni uwezo wake mdogo mno; na anaenda kutengeneza matatizo makubwa zaidi.

Maana kati ya Nchimbi na Samia; Samia afadhali. Nchimbi anachojua ni kucheza foul tu, lakini kichwani zero.

Imagine huyu mtu kuwa raisi 2030 baada ya Samia kufanya uharibifu wa miaka tisa.

Nchi za third world ni shida.
Hawa ndio wanatakiwa washikishwe adabu na Trump kwa kutumia vibaya maliasili ya nchi huku wakiwakandamiza wananchi wao kwa kutumia vyombo vya dola!
 
Back
Top Bottom