Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM Mkoa wa Ruvuma wakubaliana Rais Magufuli aendelee kuongoza miaka 20 mbele


Wana guarantee gani kuwa atakuwa na capacity ya kuongoza next 5 years let alone 20?
 
Mimi nasapoti hii idea ya miaka 20 zaidi kama mtu anafanya maendeleo huyo mwingine wa kazi gani ingekua kuna kelele za ufisadi sawa lakini hakuna malalamiko yoyote so aendelee tu
kichwa chako kina mavi
 
Baraka zikitolewa zimetoka kwa mtoa baraka na mpokeaji hana mamlaka ya kuzuia kubarikiwa.
Kwenye hili la Magufuli kuongezewa miaka 20, kuna popote katiba imevunjwa?.
Hata kwa hili ubarikiwe pia.
P
You're now getting out of critical sense completely.Nan kasema mpokeaji hana mamlaka za kukataa kupokea baraka kutoka kwa mtu mwingne?Tayar umejipa mamlaka ya kulazimisha mwingne apòkee baraka zako?Wasukuma bhana !Utakua malaika msaidizi wa Jiwe.
 
Wala haujakosea,kweli mimi muoga si unaona hata hapa natumia fake name.Inabidi tuushinde uoaga.Tuwe kama kina MALCOM X,Nelson Mandela,Luther King ,Rosa Parks n.k
Kama Hong Kong maandamano ndiyo solution ya uonevu...
 
Naunga mkono hoja.
P

Kuna sababu ya kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wanaosifu tu na kuimba mapambio bila kujali katiba ya nchi.

Hata kama mtu anatenda vizuri kiasi gani tuilinde na kuiheshimu katiba yetu.

Kwa Wakristo kukiuka makubaliano yaliyowekwa au sheria ni dhambi. Tukiuke katiba na tutende dhambi sio, yaani mnatuaminisha zaidi ya Mwenyekiti wangu hakuna mwingine ktk taifa hili?
 
Hao ni watu wajinga ajabu
 
Sina shida na Magufuli, naukubali utendaji wake sana tu. Ila linapokuja suala la kuvunja utaratibu uliowekwa na kufuatwa na marais watatu waliopita, kamwe siko upande wake hata kwa mtutu.

Nyerere was very visionary leader, kuna mambo aliyaona na kuyakataa mapema sana kwa aina na makundi fulani ya watu linapokuja suala la uongozi hasa taasisi ya Urais
 
Wastaafu wa naogopa kama jamaa akiamua kufukua makaburi. Huoni hata alipowaita Ikulu wote walimgwaya. Hakuna hata mmoja wao aliyesema la maana.
 
Tupange vema, ila tujue tu tunapopanga mipango yetu, Mungu naye ana mipango yake.

Ukizingatia baadhi yetu tumekuwa na kiburi hata kufikia hatua ya kumtaki Mwenyenzi MUNGU (Mola turehemu kulingana na nia zetu} amshukuru Mh. Rais!!!
 
Baraka zikitolewa zimetoka kwa mtoa baraka na mpokeaji hana mamlaka ya kuzuia kubarikiwa.
Kwenye hili la Magufuli kuongezewa miaka 20, kuna popote katiba imevunjwa?.
Hata kwa hili ubarikiwe pia.
P
Nasema hivi,wewe ni mpuuzi na mpumbavu mno.

Pascal Mayalla,WEWE NI MPUMBAVU,

narudia kwa mara ya tatu, WEWE NI MPUMBAVU MKUBWA
 
Mbona mi naona shida. Hata kwa Mugabe, watu walikuwa wanampamba hivyo hivyo.
Hata Hitler alikuwa na wafuasi.
 
atakuja kuvurumishwa na Bokoharam na Alshabab versions za Tanzania one day!!
 
Naunga mkono hoja.
P
Pascal naweza kukubaliana na ww kile unacho jaribu kuwaza juu ya JPM na ni kizuri kabsaa ndio maana umeunga mkono hoja...lakin umesahau kuwa huwezi kujua usiku kama hujawai ona mchana!
Tafsiri yake ni kwamba huwezi uona uzuri wa JPM bila kuona utawala wa watangulizi wake.
Na mtu hujifunza kutokana na weakness ya mwenziye aliyo ya-observe, mfano safar za nje, ku-centralize ie GePG.
Na si wajinga walio kaa na kusema tuweke "ukomo" wa almost 10yrs.
 
Sioni tatizo ikiwa wananchi Wa chini kama Mimi bado wanamwamini mh.nadhani hata miaka 50 yeye atawale tu.pamoja sana mh rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…