Wajumbe wa UN waitaka Israel ijiondoe maeneo ya Wapalestina katika kipindi cha mwaka mmoja

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura.

Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake.

Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita.

UN members demand end to 'unlawful' Israeli occupation of Palestinian territories

‘Civilian objects should not be weaponised’: UN chief on Lebanon blasts​

Kobazi naona mnajifariji hilo halitawezekana wala hakuna wakuiwekea israel vikwazo
 
Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura.
Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake.
Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita.

UN members demand end to 'unlawful' Israeli occupation of Palestinian territories

‘Civilian objects should not be weaponised’: UN chief on Lebanon blasts​

Israel ndio dunia yenyewe
 
Hivi ile kesi ya South Africa iliishia wapi, na zile warrant za kumkamata NETANYAHU vp?
 
UN is a toothles dog kwenye nchi za ulaya ila kwa ss afrika Mbona cha mtema kuni utakiona ....
Just b coz Izrael is the birth place of Jesus doesent make them to have legality of taking Innosent lives of people of Palestine, Netanyahu na wenzake Mungu anawoana......
 
Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura.
Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake.
Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita.

UN members demand end to 'unlawful' Israeli occupation of Palestinian territories

‘Civilian objects should not be weaponised’: UN chief on Lebanon blasts​

Vita ni vita msimpangie israel silaha ya kupigana na magaidi
 
Jamaa October 7 walijua Israel kaisha.. walipoona Israel kadhibiti wakatulia, Israel alipoanza kutoa kichapo wakaanza kelele wakajisahaulisha maumivu ya Israel na Watanzania raia wake wawili, Haouthi wakanaza fujo wametulia Hezbollah kaanza fujo wametulia,Iran,Iraq wametulia ila Israel akianza kujibu wanajifanya oh sio sawa blah blah.. Me nataka Israel apige hadi Nuclear Lebanon hakuna mateka kule.. imefika muda Israel kuwafurusha arab wote kwenye nchi za historia zilizokuwa hazina waarabu... kama Lebanon ya Phoenician,Syria ya Wa assriya,Jordan jews na Misri weusi coptic christian country warejee kwao... Shetani ashindwe.
 
Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura.

Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake.

Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita.

UN members demand end to 'unlawful' Israeli occupation of Palestinian territories

‘Civilian objects should not be weaponised’: UN chief on Lebanon blasts​

UN resolutions sio binding, hata Israel akisema sitaki kuondoka hawana cha kumfanya. zaidi sana israel alishatishia kujiondoa Umoja wa kimataifa pia wakoleta za kulata, abaki na marafiki zake tu kwasababu hata hivyo umoja wa mataifa hauna meno. ungekuwa nayo ungeshafanya kitu. tangu vita vya gaza vianze, ni resolution kibao wametoa ila hazina meno.
 
Unapozungumza hivyo usiwe na mtazamo wa upande mmoja.Ujue na hao wengine wana haki ya kupuuza mikataba na maazimio
 
Jamaa October 7 walijua Israel kaisha.. walipoona Israel kadhibiti wakatulia, Israel alipoanza kutoa kichapo wakaanza kelele wakajisahaulisha maumivu ya Israel na Watanzania raia wake wawili, Haouthi wakanaza fujo wametulia Hezbollah kaanza fujo wametulia,Iran,Iraq wametulia ila Israel akianza kujibu wanajifanya oh sio sawa blah blah.. Me nataka Israel apige hadi Nuclear Lebanon hakuna mateka kule.. imefika muda Israel kuwafurusha arab wote kwenye nchi za historia zilizokuwa hazina waarabu... kama Lebanon ya Phoenician,Syria ya Wa assriya,Jordan jews na Misri weusi coptic christian country warejee kwao... Shetani ashindwe.
Akili yako inaangalia upande mmoja tu.Huoni kwamba majirani wa Israel watakuwa na nguvu ya kupuuza mikataba waliyofikiana nao.Nani atawazuia au kuwauliza.
 
Unapozungumza hivyo usiwe na mtazamo wa upande mmoja.Ujue na hao wengine wana haki ya kupuuza mikataba na maazimio
hao wengine wepi sasa wakati resolution imefanywa kwa ajili ya Israel na ndicho tunachoongelea hapa?
 
Tunazungumzia upana wa tatizo la Israel kwamba wanatamba kwa kupuuza maazimio na kuna watu wanawasifia kwa hilo.Ujue ina mikataba na Misri na Jordan vipi na wao wakiamua kupuuza mikataba na kuacha watu wao wavuke mipaka bila kizuizi.
 
UN ni baraza la nn...mbona Israel haijawahi kuheshimu azimio lolote la baraza hilo? Guterrez ashasema wazi UN lishapoteza uhalali wa kuwepo kama chombo maalum cha umoja wa Mataifa
 
1726787036692.png
 
Malawi wana ugomvi gani na wapalestina.
Kenya,Rwanda,Sudan ya kusini na Ethiopia wamejiondoa kupiga kura.
 
Back
Top Bottom