ubavu huo hawana, wangekuwa nao wangeshavunja zamani sana. mkataba na misri umeingiwa zaidi na marekani, kila mwaka anawapa misri msaada mkubwa sana kwenye defence system kwa sharti kwamba asipigane na Israel. na hata akipigana, hatashinda. upande wa jordan, sasaivi wananchi 3,000,000 ni wahamiaji wa kipalestina, na hao ndio wamekuwa wakichafua nchi, walishajaribu hata kumuua PM wao kipindi cha nyuma. Jordan haiwapendi wapalestina mno na inawaogopa, ni bora awe na ushirika na israel na ulaya kuliko wapalestina. ni wachafua hali ya hewa sana hao jamaa.hata misri kawajengea fensi kama anakinga simba wasiingie nchini kwake, kajenga kuta mara mbili.